Desalination machine

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,081
Habari

Naomba kufahamu kama hapa kwetu Tanzania kuna supplier wa mashine ambazo zinatoa chumvi kwenye maji. Mashine iweze kutumia solar. Maji ya kisima cha ardhini.
 
Check na Davis and Shitliff pale Kamata,Ili kutumia Solar utahitaji system kubwa ya kuweza kuendesha mtambo watakao ku'supply'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom