Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Habari wandugu,
Hivi kuna anayefahamu wataalam wa kutengeneza cheap windmill water pump hapa Dsm?

yupo external mandela road dsm. kama unatokea ubungo utamwona kushoto kwako kabla ya mataa ya external
kwa jina anaitwa Mchau.

sio mimi nimekuelekeza kwa mtaalamu labda kama uko mbali nikipita hapo jioni nikuchukulie number ya simu,