Wadada acheni hii tabia mnatukwaza mjue!

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,550
Reaction score
3,092
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.
 
He he he, pole Mau.
Hii sio tabia wala kujifanya ndivyo ilivyo.

Final touches, itabidi tu uzoee

Punguzeni hii inaonesha ni kama weakness kwenye time management lol
 
Ndiyo kawaida yao

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hata kama akiwa kaweka lips bado atajiangalia kwenye kioo akipata nafas
 
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.

Sio mbaya sana, ili mradi km anang'arisha kidogo yaani final touches!
Utazoea taratibu tu!
 
Maundumula na wewe jamani hayo ni mambo yanayomtofautisha mwanamke na mwanaume...potezea tu
 
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.

pole sana mkuu ndo maana wajapani wameweka kioo cha kujiangalia kwenye kile kidude cha kuzuia jua upande wa abiria ndo kazi zake hizo..
 
Yani kama una hasira za karibu unaweza uka'ghairisha hata safari yenyewe au ukaamua usepe umwache.
 
pole sana mkuu ndo maana wajapani wameweka kioo cha kujiangalia kwenye kile kidude cha kuzuia jua upande wa abiria ndo kazi zake hizo..

Kumbe solution ni kukachomoa hako kakioo?
 
Ni element za umasikini kutokujali muda,na ulimbukeni

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ungekuwa ushayaona au yamekukuta ungekuwa mpole tu na kuleta stori za kuvumiliana kama madam t
 
yawezekana wewe uummoja wao hao wadada wakujihakikishia..

Hakuna kitu, ila najua ni tabia ya kwaida kwa wadada wengi kufanya hizo final touches wakikua kama mimi wataacha.
 
sasa hapa cha ajabu kitu gani jamani?? kama unampenda mtu wako hata mkiwa mnatumia tz 11, akaamua kujibanza pembeni ya mti na kuongeza wanja uliofutika kidogo kwa joto, tatizo nini?? sembuse kwenye gari ya boyfurendi??
 
Means;all weakness ar for womens n strengh shall be for gentleman." U can avoid all except changes"
 
Wewe mdada unakuta umeshajua kesho au jioni kuna safari ya pahala fulani tena anafahamu masiku au weeks kabla lakini inafika time ya kuondoka anakuja kumalizia kupaka make ups kwenye gari. Halafu mbaya zaidi sometimes sio usiku ni mchana kweupee upo kwenye traffic wewe mwanaume una drive gari hamna tinted unabaki unajikunjakunja uwe mdogo ili usionekane sababu kwenye gari nyingine wote wanakukodolea macho wewe . Tuacheni hii sio poa.

Mueleze kabisa kuwa hupendi apake make-up kwenye gari, ajiandae mapema, akirudia park gari pembeni umwambia unamsubiri amalize haijalishi kama mtachelewa. Unajua wanawake wakikuona uko serious wanaogopa kukuudhi. Hint women do love attention, kama kujikarabati barabarani kunafanya watu wakodoe mimacho that makes her day?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom