Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Habari wandugu,
Jamani nina siku mbili mfululizo sina umeme nyumbani kwangu. Na huwa nina mazoea ya kunua vitu vya mwezi mzima.
Hivi ninavyoongea Samaki wote waliotoka kanda ya ziwa kwishne nimetupa na nyama nayo haitamaniki. Nyanya ndio hizo nazo zinaelekeaa.
Kila nikijaribu kuwapigia Tanesco huduma hawapokei toka jana na hawajafahamisha lolote kuhusu kukatika kwa umeme!
Naombeni namba ya huyu dada ambaye ni PR wao, i have nice words for her seriously!!!!