Breaking News-Tanzanian Ivory Worth $1.4 seized in Hong Kong

Breaking News-Tanzanian Ivory Worth $1.4 seized in Hong Kong

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,550
Reaction score
3,092
Habari bandugu,

Mzigo mwengine wa ivory kutoka Tanzania umekamatwa. Ningependa wahusika wajiangalie wenyewe waachie ngazi maana this is too much. Miaka ya baadae huko sisi watanzania tutalazimika kupeleka watoto wetu Dubai ili wakaone Tembo na Simba.Hii nimeikuta CNN leo.

African ivory worth $1.4 million seized in Hong Kong - CNN.com

Hong Kong (CNN)
-- Hong Kong authorities said Friday that they had confiscated $1.4 million worth of ivory that arrived smuggled in a shipping container from Africa, the second large seizure of tusks at the busy port in the past month.Customs officials discovered the 1,330 kilograms (about 2,900 pounds) of illegal ivory Thursday in a container from Tanzania that was marked as carrying sunflower seeds, authorities said.The 569 tusks, worth 10.56 million Hong Kong dollars (about $1.4 million U.S.), were in the back of the container, buried under hundreds of bags of the seeds.The Hong Kong government said customs officials are investigating the case and are still trying to find "the smuggling syndicate members." The container had been picked out for inspection based on "risk assessment," authorities said.

Poaching on the rise in Africa
The seizure follows the roughly $3.4 million worth in ivory found in two shipping containers last month, one of the largest amounts ever seized in Hong Kong.Those containers arrived from Tanzania and Kenya, according to Hong Kong customs officials. The agency seized 1,209 pieces of ivory tusks and 3 pounds of ivory ornaments from the two containers, discovered over a period of two days.In that case, Hong Kong customs officials were on alert after a tip-off from officials in Guangdong, China.

Read more: Priest embroiled in ivory smuggling controversy

Seven people, including one Hong Kong resident, were arrested by Chinese officials in connection with the case, authorities said at the time.Hong Kong is viewed as a transit point for the illegal ivory trade, feeding into increasing demands in China, according to a Time article published last month.Elephants are being killed in Africa at an alarming rate as international demand soars for ivory. Much of the demand comes from increasingly affluent Asian countries, particularly China and Thailand.Before this year, the most recent major bust in Hong Kong occurred in 2011, when officials seized a shipment of ivory and rhinoceros horns valued at $2.2 million Hong Kong dollars
 
Halafu eti watu wanashangaa kuona malori 78 ya mizigo ya Ridhwani.This is chicken feed.Not to mention nyara zingine za serikali na undeclared taxes from many many private companies ambazo zinaingia mifukoni kwa wajanja in dubious circumstances.
Habari bandugu,

Mzigo mwengine wa ivory kutoka Tanzania umekamatwa. Ningependa wahusika wajiangalie wenyewe waachie ngazi maana this is too much. Miaka ya baadae huko sisi watanzania tutalazimika kupeleka watoto wetu Dubai ili wakaone Tembo na Simba.Hii nimeikuta CNN leo.

African ivory worth $1.4 million seized in Hong Kong - CNN.com

Hong Kong (CNN)
-- Hong Kong authorities said Friday that they had confiscated $1.4 million worth of ivory that arrived smuggled in a shipping container from Africa, the second large seizure of tusks at the busy port in the past month.Customs officials discovered the 1,330 kilograms (about 2,900 pounds) of illegal ivory Thursday in a container from Tanzania that was marked as carrying sunflower seeds, authorities said.The 569 tusks, worth 10.56 million Hong Kong dollars (about $1.4 million U.S.), were in the back of the container, buried under hundreds of bags of the seeds.The Hong Kong government said customs officials are investigating the case and are still trying to find "the smuggling syndicate members." The container had been picked out for inspection based on "risk assessment," authorities said.

Poaching on the rise in Africa
The seizure follows the roughly $3.4 million worth in ivory found in two shipping containers last month, one of the largest amounts ever seized in Hong Kong.Those containers arrived from Tanzania and Kenya, according to Hong Kong customs officials. The agency seized 1,209 pieces of ivory tusks and 3 pounds of ivory ornaments from the two containers, discovered over a period of two days.In that case, Hong Kong customs officials were on alert after a tip-off from officials in Guangdong, China.

Read more: Priest embroiled in ivory smuggling controversy

Seven people, including one Hong Kong resident, were arrested by Chinese officials in connection with the case, authorities said at the time.Hong Kong is viewed as a transit point for the illegal ivory trade, feeding into increasing demands in China, according to a Time article published last month.Elephants are being killed in Africa at an alarming rate as international demand soars for ivory. Much of the demand comes from increasingly affluent Asian countries, particularly China and Thailand.Before this year, the most recent major bust in Hong Kong occurred in 2011, when officials seized a shipment of ivory and rhinoceros horns valued at $2.2 million Hong Kong dollars
 
hahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:eyebrows::eyebrows::eyebrows::bump2:
 
Hizi ni baishara za wakubwa..wanafikiri wenzao bado wanafanya kazi kiuzembe kama wao..hapo kuna waziri au katibu mkuu,maofisa wa wizara,maofisa wa Police,maofisa wa TRA,na idara ya wanyama pori wamo pia..

NANI ATAKAYEMFUNGA PAKA KENGELE?
 
Wiki mbili zilizopita kova na kenyela walikamata mzigo unaogharimu 2.1 bilioni za kitanzania, nadhani mwisho wa nyara hizi ni kupeleka huko huko, kenya wameliachilia sana hili hivyo tz hii hali haiwezi kupungua maana wana njia ya kupitishia.

Sent from my GT-S5570 using Tapatalk 2
 
These things are like series (prison break....) And we still let these to happen for the next 7years when we plan to give our precious votes to the same same same same..........
 
Hii ni aibu kwa Taifa letu,wala si kitu cha kuchekelea. Iwaje kwetu vipite kwao ndio vikamatwe?
 
Wandugu naomba msome hii taarifa ndio mjue nchi yetu imeoza

KAMPUNI ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo ambayo yalikamatwa nchini Vietnam, inamilikiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya CCM, Abdulrahman Kinana, imefahamika.
Taarifa zinaonyesha kuwa Kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za kampuni hiyo inayoitwa Sharaf Shipping Company iliyosajiliwa Dar es Salaam.
Mshirika mwenzake katika kampuni hiyo, Rahma Hussen anamiliki hisa 2,500 zenye thamani ya shilingi 1,000 kila moja.
Kwamujibu wa taarifa za usajili, wamiliki wote wawili, Kinana na Rahma wanapatikana kwa S.L.P 10910, Kiwanja Na. 403 Mtaa wa Tosamaganga, Msasani Peninsular, Dar es Salaam.
Nyaraka zilizopo katika ofisi ya Wakala wa Usajili wa Makampuni na Biashara (BRELA), zinaonyesha kuwa kampuni ya Kinana ilisajiliwa Oktoba 2003 na kupewa hati Na. 47221.
Sakata la kukamatwa kwa nyara hizo za serikali zilizosafirishwa na kampuni ya Sharaf Shipping Agency liliibuliwa bungeni kwa mara ya kwanza na mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela.
Hati ya kusafirisha makontena hayo mawili yaliyokuwa yamesheheni pembe za ndovu ilisainiwa na mfanyakazi mwenye asili ya India wa kampuni hiyo Samir Hemani.
Nyaraka zote zilionyesha kuwa kilichokuwa ndani ni plastiki zilizorudufiwa, wakati baada ya makontena kukamatwa, walikuta yamesheheni pembe za ndovu.
Taarifa zinasema kibali cha kusafirishwa kontena hilo kilisainiwa 13 Novemba 2008 na Meneja wa Fedha na Utawala wa Kampuni hiyo.
Wakati Hemani anasaini nyaraka hizo, kibali chake cha kuishi nchini tayari kilikuwa kimeshaisha. Kibali cha Hemani kiliisha 7 Mei 2008.
Makontena yalikamtwa nchini China yakisafirishwa kwenda Hong Kong.
Akichangia makadirio ya bajeti ya wizara ya Maliasili na Utalii ya mwaka 2009/2010, Kilango alisema utafiti wake umeonyesha kuwa makontena hayo yalipitia bandari ya Dar es Salaam na nyaraka zinaonyesha ndani kulikuwa na plastiki.
Kilango alisema nchi zinazoongoza kwa kupokea nyara kutoka Tanzania ni Phillipines, China, Singapore na Hong Kong.
Kutokana na kutopatikana kwa Kinana juzi kuzungumzia suala hilo, haikufahamika iwapo kampuni ya spika huyo wa zamani wa Afrika Mashariki au yeye mwenyewe, walijua kilichokuwamo katika makontena hayo.
Lakini afisa mwandamizi katika wizara ya Viwanda na Biashara alisema kazi ya kukagua kilichomo kwenye kontena linalosafirishwa si ya wakala wa meli kwani wenye mamlaka na idhini ya kufanya hivyo ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Alisema wanaowajibika kusitisha mzigo kusafirishwa pindi wanapoutilia mashaka ni TRA.
"TRA ndio wanakagua na baada ya kujiridhisha kama kilichomo ndani ndicho kilichotamkwa kwenye nyaraka na ni halali, ndipo wanaweka muhuri (seal) wa mwisho," alisema afisa huyo.
"Ukitamka kwa mfano, kuwa katika nyaraka ndani ya kontena kuna matairi 40 ya magari, lazima TRA wafungue na kukagua kuona kama kweli yako matairi 40 au kitu kingine. Baada ya hapo wanaweka seal; sasa kuna kila sababu ya kujenga mashaka," alieleza.
Alisema, "Wakala wa meli kazi yake ni kusafirisha mzigo wa mteja wake. Hata mteja akija na kontena tupu na kusema anataka liende nchi fulani, kazi yake ni kulipeleka kunakohusika na si kuhoji kilichomo."
Alifafanua kuwa watu muhimu wa kuhojiwa na ambao wanaweza kuwa wanajua mchezo wote, kama upo, ni wafanyakazi wa TRA.
Hadi juzi Jumatatu hakukuwa na taarifa zozote za maofisa wa TRA kuhojiwa kuhusiana na sakata hilo.
 
na rais wetu amekaa kimya, .............. inaker sana

some people need to be killed to stop this
 
wandugu naomba msome hii taarifa ndio mjue nchi yetu imeoza

kampuni ya uwakala iliyosafirisha kontena lililokuwa na meno ya tembo ambayo yalikamatwa nchini vietnam, inamilikiwa na mjumbe wa kamati kuu (cc) ya ccm, abdulrahman kinana, imefahamika.
Taarifa zinaonyesha kuwa kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za kampuni hiyo inayoitwa sharaf shipping company iliyosajiliwa dar es salaam.
Mshirika mwenzake katika kampuni hiyo, rahma hussen anamiliki hisa 2,500 zenye thamani ya shilingi 1,000 kila moja.
Kwamujibu wa taarifa za usajili, wamiliki wote wawili, kinana na rahma wanapatikana kwa s.l.p 10910, kiwanja na. 403 mtaa wa tosamaganga, msasani peninsular, dar es salaam.
Nyaraka zilizopo katika ofisi ya wakala wa usajili wa makampuni na biashara (brela), zinaonyesha kuwa kampuni ya kinana ilisajiliwa oktoba 2003 na kupewa hati na. 47221.
Sakata la kukamatwa kwa nyara hizo za serikali zilizosafirishwa na kampuni ya sharaf shipping agency liliibuliwa bungeni kwa mara ya kwanza na mbunge wa same mashariki (ccm), anne kilango malecela.
Hati ya kusafirisha makontena hayo mawili yaliyokuwa yamesheheni pembe za ndovu ilisainiwa na mfanyakazi mwenye asili ya india wa kampuni hiyo samir hemani.
Nyaraka zote zilionyesha kuwa kilichokuwa ndani ni plastiki zilizorudufiwa, wakati baada ya makontena kukamatwa, walikuta yamesheheni pembe za ndovu.
Taarifa zinasema kibali cha kusafirishwa kontena hilo kilisainiwa 13 novemba 2008 na meneja wa fedha na utawala wa kampuni hiyo.
Wakati hemani anasaini nyaraka hizo, kibali chake cha kuishi nchini tayari kilikuwa kimeshaisha. Kibali cha hemani kiliisha 7 mei 2008.
Makontena yalikamtwa nchini china yakisafirishwa kwenda hong kong.
Akichangia makadirio ya bajeti ya wizara ya maliasili na utalii ya mwaka 2009/2010, kilango alisema utafiti wake umeonyesha kuwa makontena hayo yalipitia bandari ya dar es salaam na nyaraka zinaonyesha ndani kulikuwa na plastiki.
Kilango alisema nchi zinazoongoza kwa kupokea nyara kutoka tanzania ni phillipines, china, singapore na hong kong.
Kutokana na kutopatikana kwa kinana juzi kuzungumzia suala hilo, haikufahamika iwapo kampuni ya spika huyo wa zamani wa afrika mashariki au yeye mwenyewe, walijua kilichokuwamo katika makontena hayo.
Lakini afisa mwandamizi katika wizara ya viwanda na biashara alisema kazi ya kukagua kilichomo kwenye kontena linalosafirishwa si ya wakala wa meli kwani wenye mamlaka na idhini ya kufanya hivyo ni mamlaka ya mapato tanzania (tra).
Alisema wanaowajibika kusitisha mzigo kusafirishwa pindi wanapoutilia mashaka ni tra.
"tra ndio wanakagua na baada ya kujiridhisha kama kilichomo ndani ndicho kilichotamkwa kwenye nyaraka na ni halali, ndipo wanaweka muhuri (seal) wa mwisho," alisema afisa huyo.
"ukitamka kwa mfano, kuwa katika nyaraka ndani ya kontena kuna matairi 40 ya magari, lazima tra wafungue na kukagua kuona kama kweli yako matairi 40 au kitu kingine. Baada ya hapo wanaweka seal; sasa kuna kila sababu ya kujenga mashaka," alieleza.
Alisema, "wakala wa meli kazi yake ni kusafirisha mzigo wa mteja wake. Hata mteja akija na kontena tupu na kusema anataka liende nchi fulani, kazi yake ni kulipeleka kunakohusika na si kuhoji kilichomo."
alifafanua kuwa watu muhimu wa kuhojiwa na ambao wanaweza kuwa wanajua mchezo wote, kama upo, ni wafanyakazi wa tra.
Hadi juzi jumatatu hakukuwa na taarifa zozote za maofisa wa tra kuhojiwa kuhusiana na sakata hilo.

ccm watechagua majambazi kuwawakilisha kwa 2015....
 
Yaani hii nchi inakera sana, mambo yanafanywa ya ajabu na wananchi hawafanyi lolote.
 
Hapo bila shaka kinana,nyalandu na the prince hawakosi,juzi juzi nilienda nyumbni kwa nyalandu nikakuta pembe za ndovu kama nane kapambia lisebule lake nikajiwa na swali kazipata wapi? nikajipa jawabu kua ni naibu waziri.,nikajiuliza tena inaruhusiwa? mpaka sasa nawork on that nipate jawabu.
 
Back
Top Bottom