Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,550
- 3,092
Habari wanandugu,
Jamani mwezi huu mwishoni mwishoni nategemea kufurahia tarehe ya kuzaliwa ya mama nanihii teh teh teh. Nafahamu kuna wana darisalama wengi hapa sasa naomba msaada mnijuze wapi napata zawadi nzuri kwa ajili ya mamsap.
Naomba uzingatie kwamba kipato changu duni:happy: sasa msinitajie majina ya maduka yenu mliyozoea nyie ya bei kubwa ; sijui Splash sijui city mlimani mimi sitaki :evil:. Nataka sehemu ya kawaida tu ambapo napata viwalo vya kina dada lakini quality. Hebu naombeni ideas kidogo wana darisalama.
Shukrani zangu nazitanguliza
Wenu katika kujenga nchi