Search results

  1. D

    Ester Matiko ashindwa nguvu na madiwani wake

    Katika hali isiyo ya kawaida kikao cha madiwani kimevunjika huku baadhi ya madiwani wakitaka kushikana mashati wakipingana kile wanachokiona kuwa ni utaratibu mbovu wa uchaguzi baada ya kutaka kupitisha jina la mwenyekiti wa halmshauri ambaye siyo chaguo la madiwani bali ni maelekezo ya mbowe na...
  2. D

    CCM Mleteni huyu atachukua kura za vyama vyote na kujenga chama

    Nimetulia sana nikisoma maoni ya watu wengi hasa yanaonyesha jinsi gani watu wanatabiri kwa kufuata ushabiki biala kuangalia masilahi ya Taifa. Kwa muda niliozunguka Nchi hii maeneo ya mjini na vijijini nimeona ukweli ulio dhahiri kuwa watu wengi wamechoshwa na mifumo iliyoko serikali na...
  3. D

    Msaada wakuu. Duplicate file finder software.

    Jamani wandugu nimechoka kupambana kuendelea kuitafuta software kwa zaidi ya siku tatu sasa maana kunawakati mtaalam mmoja aliitupia humu jamvini nikainyonya lakini ni muda mrefu sana simkumbuki hata aliyeiweka na ile mashine niliyoiwekea hiyo software nimeshaigawa sasa ninahitaji mno...
  4. D

    R.C.O Temeke na mwakilishi wa mkemia mkuu wazomewa na wajasiriamali

    Ni baada ya kuja na kufanya jaribio la kutaka kuzuia semina ya wajasiria mali kwa madai kwamba wanatumia chemicals katika kufundisha na kutumia chemicals wakati wa kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa njia rahisi ambazo kila moja anaweza kumudu hata yule wa hali ya chini kabisa. Walikuja mapema...
  5. D

    Mnaohama CHADEMA kwenda CCM, jiulizeni haya kabla ya kuropoka kwenye vyombo vya habari!

    Napenda kutoa ushauri wa bure kwa watu wanaopenda kujiropokea hasa pale wanapohama chama kimoja kwenda kingine kwa kauli wanazotoa na kujisafisha mbele ya chama wanachohamia kwa sababu wengi wao ni watu ambao wameshindikana mtaani nyumbani na maeneo mbalimbali na hivyo kutafuta mahali ambapo...
  6. D

    Nauza nyumba bei ya kutupa

    wajameni nibanwa kuna nyumba nimeshindwa kuimalizia ujenzi wake iko kwenye lenta iko Arusha maeneo karibu na fire mtaa wa jaluo ccm jirani kabisa na kwa malai freight. Ina vyumba vitatu na sebule jiko na choo na bafu hakuna matatizo ya barabara bei yake ni 20 ml. mazungumzo yapo kwa...
  7. D

    Happy birthday to me. Alaaa!

    Happy Birthday to me usipojipenda nakujithamini mwenyewe hakuna wa kukufanyia hivyo. Psalm 103 Praise for the Lord’s Mercies A Psalm Of David. 1 Bless athe Lord, O my soul; And all that is within me, bless His holy name! 2 Bless the Lord, O my soul, And forget not...
  8. D

    Arusha kata ya Kaloleni yatema viwanja vya soweto kwenye Mkutano wa CHADEMA

    Yaani kila dakika zinavyowenda ndivyo watu wanavyozidi kujaa kwa wingi kwenye viwanja vya soweto kwenye mkutano wa Chadema ambapo kwa wakati huu Mbunge Lema anahutubia na wengi ya wakazi wa kata ya kaloleni hasa wale ambao nyumba zao zinataka kuvunjwa ili kumpisha mwekezaji anayetaka kujenga...
  9. D

    Lema alipukiwa na vigelegele na Shangwe kwenye msiba wa wana CCM

    Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa Arusha mjini amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu za rambirambi na huku akishangiliwa na umati mkubwa na wanawake kumsindikiza kwa vigelegele katikati ya wana ccm bila kujali Lema alikuwa amevalia gwanda lake na amefunika kuliko wengine na mc. Anatamani...
  10. D

    Polisi Central Arusha: Shangwe na wimbo wa Taifa vyarindima

    Jamani bado hali ni tete mkoani Arusha kuliko inavyodhaniwa na wengi.
  11. D

    Anachosema Kova kuhusu Al Shabab kina ukweli Mkubwa

    Kutokana na taarifa ya kupigwa marufuku kwa maandamano ya kupinga malipo ya Dowans ni kweli Kova anajua kutakuwa na vitisho vya shambulio la ki gaidi la Al Shabaab maana anawajua na anawapa ulinzi na kwa namna moja au nyingine, yuko kwenye payroll yao maana operations na fedha nyingi za Al...
  12. D

    Nyumba inauzwa Arusha

    Nyumba kubwa nzuri ya Ghorofa Moja vyumba 4 na cha 5 ni masterbedroom min library na vingine muhimu vya ndani inauzwa kwa bei nzuri eneo la kwa mrefu karibu na Cet Garden mt.200 kutoka barabara kuu ya Moshi/Arusha kiwanja kina ukubwa wa hatua 35/35 imejengewa ukuta na getikama utaipenda ni PM...
  13. D

    Tigo mkifanya bei za Internet kama za airtel nitatupa line zingine zote!

    Naitumia airtel, voda na Tigo nadhani kwa maisha ya kawaida ya kitanzania ni kwamba gharama za mtandao wa tigo ziko chini sana kiasi cha kujaribu kuendelea kuchukuliana na hali ya mtanzania wa kawaida lakini gharama zenu za Internet ziko juu tofauti na Airtel unaweka 2500 unatumia mwezi mzima...
  14. D

    I lost My Only Brother I have

    Wapendwa marafiki zangu Nimempoteza kaka yangu mpendwa aliyefariki jana Hospital ya RC.Tunduma mbaye ni wa pekee kwenye familia yetu David Mwampashi najiandaa kuondoka kesho asubuhi kwenda Mbozi Mbeya kwa ajili ya mazishi siku ya Ijumaa. NB: Nawashukuru kwa marafiki wate ambao wamenipigia...
  15. D

    Kikwete alikuwa anafaa sana kuwa waziri wa mambo ya nje

    Kutokana na Rais kufikisha safari zaidi ya 310 nje ya nchi nashawishika kusema kuwa huyu jamaa wizara hii ilimfaa sana namheshimu Brother Ben kwa kumpa hii maana anaitumikia mpaka sasa na sijui raisi wa nchi ni nani hasa kwa sasa maana kama makamu wa rais hawezi kushika kiti chake anaishia...
  16. D

    Lowassa siyo mrahisi kama RA; ni Mtu wa visasi zaidi

    Watanzania wengi wanasubiri nani atafuatia baada ya RA kujiuzulu wakimsubiri kwa hamu kubwa Edward Lowassa kuliko hata Andrew Chenge maana hawa mapacha watatu wamepamba sana vyombo vya habari siku za hivi karibuni. Lowassa siyo mtu mrahisi kwa kiwango ambacho watu wengi wanamdhania na ni kosa...
  17. D

    Je ni kweli tunayataka mabadiliko yanayotokea tunisia, misri nk?

    Mgaya wa TUCTA ameandaa ya kwake na hataki wanasiasa waingilie anadai wasije kuingiza mambo ya siasa kupitia wao na maandamano yake yanashonewa sare kabisa wakati wanaoteseka ni wananchi wengi tuseme karibu wote swali kwani nchi inaongozwa na nani kama siyo wanasiasa ambao watu hujiunga nao...
  18. D

    Hellow JF! Mambo iko Tarangire

    Mimi nachoka kabisa Preta pembeni na ila nachoka kugeuza shingo nyuma pamepambwa na Lili Flower, Wiselady,Pj.chipkizi yaani watu kibao gari limepambwa na marafiki wa ukweli familia ya upendo hatujali itikadi wala dini ya mtu utadhani tumezaliwa pamoja kuna upendo wa ajabu sana natamani kama...
  19. D

    "Nimechoka" Sijawahi kuyafurahia mahusiano ya siri

    Nimeshawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake mbalimbali kwa nyakati tofauti na pia katika vipindi hivyo nimejaribu kuwa na wapenzi wa pembeni (Sub) kwa siri sana na sijawahi kushtukiwa na wangu wa maukweli kwa namna yeyote nimecheza vizuri sana siku zote lakini nikiwa na wa pembeni...
  20. D

    Ana mimba na Condom imetumika kwa usahihi

    Leo nimekutana na mkasa tata sana nimeshindwa kuamua kesi hii iliyonichukulia zaidi ya masaa matano. Kuna rafiki mmoja anatembea na dada moja aliyeolewa kwa ndoa na ana watoto wawili ila ANA MATATIZO MAKUBWA NA MUMEWE NA SUALA LA MALAVIDAVI KWAO NI KIKAO KIKAE na mpaka mkasa huu unatokea ni...
Back
Top Bottom