wajameni nibanwa kuna nyumba nimeshindwa kuimalizia ujenzi wake iko kwenye lenta iko Arusha maeneo karibu na fire mtaa wa jaluo ccm jirani kabisa na kwa malai freight.
Ina vyumba vitatu na sebule jiko na choo na bafu hakuna matatizo ya barabara
bei yake ni 20 ml. mazungumzo yapo kwa anyehitaji kweli Ni pm. nikupe namba.