Tigo mkifanya bei za Internet kama za airtel nitatupa line zingine zote!

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Naitumia airtel, voda na Tigo nadhani kwa maisha ya kawaida ya kitanzania ni kwamba gharama za mtandao wa tigo ziko chini sana kiasi cha kujaribu kuendelea kuchukuliana na hali ya mtanzania wa kawaida lakini gharama zenu za Internet ziko juu tofauti na Airtel unaweka 2500 unatumia mwezi mzima hii inanifanya niitumie Airtel muda mwingi kuweka pesa na kupiga na kutumia Net. Hebu wafanyakazi wa Tigo mlioko humu jaribuni kurekesha hili
 
2500 kwa mwezi muda sio mrèfu nitaiaga tigo maana wanatoza 450 kwa siku au 2500 kwa week ambayo airtel ni mwezi 1
 
Cjawahi kutumia net ya airtel,kwani iko fasta kaka,km iko fasta,nahama tigo leoleo,kwan haiwezekan nikijiumga mwenyewe nakatwa 450 kwa siku mbili,km kuna crdt kwenye 4n yangu km 500 na kwendelea wakiniunga automatically inakuwa ni siku moja,kama airtel wako fasta tujuzane ili niwahi kusajili kabla jua alijazama
 
Kwa uzoefu wangu mimi,tigo wapo fasta kidogo kuliko airtel,ila tigo speed yake kwa hapa town dar,mimi mwenyewe nawashauri tigo washushe banah!
Alafu airtel ucku net ni free kama haujajiunga na buddle ila kama umejiunga unakatwa kama kawaida.
 
Cjawahi kutumia net ya airtel,kwani iko fasta kaka,km iko fasta,nahama tigo leoleo,kwan haiwezekan nikijiumga mwenyewe nakatwa 450 kwa siku mbili,km kuna crdt kwenye 4n yangu km 500 na kwendelea wakiniunga automatically inakuwa ni siku moja,kama airtel wako fasta tujuzane ili niwahi kusajili kabla jua alijazama
<br />
<br />
iko fasta mkuu usipime, ijaribu hutahama nakwambia
 
Airtel kwa sh 2500 unapata mb 400 kwa mwezi kwa matumizi ya kusoma mail tu vinginevyo utaimaliza ndani ya wiki na modem zao kichinachina kila baada ya dk 30 inadisconect. Hakuna raha ya kutumia tena internet mi nimegawa juzi modem yao nimerudi kutumia zantel
 
Back
Top Bottom