Happy birthday to me. Alaaa!

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Happy Birthday to me usipojipenda nakujithamini mwenyewe hakuna wa kukufanyia hivyo.

Psalm 103

Praise for the Lord’s Mercies

A Psalm Of David.

1 Bless athe Lord, O my soul;

And all that is within me, bless His holy name!

2 Bless the Lord, O my soul,

And forget not all His benefits:

3 bWho forgives all your iniquities,

Who cheals all your diseases,

4 Who redeems your life from destruction,

dWho crowns you with lovingkindness and tender mercies,

5 Who satisfies your mouth with good things,

So that eyour youth is renewed like the eagle’s.

6 The Lord executes righteousness

And justice for all who are oppressed.
 
ha ha....sikujua kama una birthday moja na one of my sugarcakes.....
Happy Birthday honeycake.......
 
Uwe na amani sana siku ya leo kiongozi!
Naamini kimya chako hakikuwa bila sababu, bali ulikuwa unaandaa karamu.
 
Happybirthday to You, wishing you the best, Good to see that you have the same day with two of my Kids.
 
ha ha....sikujua kama una birthday moja na one of my sugarcakes.....
Happy Birthday honeycake.......
Ooohhh swiiiry!
Kumbe unanikumbuka kiasi hicho...ujue mm mwenyewe nilikuwa nimesahau!..asante potato-cake!
 
Happy bday Derimto...Uwe na kheri katika siku utakazopewa na Mungu.
Na wewe umeibukia wapi?
Sikutegemea kuwa nitajifunza jipya katika umri huu!...kumbe na wewe unaweza kususa watu kiasi hiki?..ok!..ok!...ok!
 
Na wewe umeibukia wapi?
Sikutegemea kuwa nitajifunza jipya katika umri huu!...kumbe na wewe unaweza kususa watu kiasi hiki?..ok!..ok!...ok!

hahaha! Hutaamini kuwa nimekufikiria kiasi gani! Kabla jua halijazama nitasema na wewe..Huyu derimnto anatokea wakati wa bday tu!
 
Sikujua kama leo ni hollyday kwa maana ya siku ya mapumziko!
Sante kunikumbusha
Hepi besdei !
 
heri kwa kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa.
Mungu akujaalie maisha marefu.
 
ha ha....sikujua kama una birthday moja na one of my sugarcakes.....
Happy Birthday honeycake.......
You mean shemeji mtu chake au TANMO?...

@ Derimto happy birthday to you, happy birthday to you, happy birthday dear Derimto happy birthday to you, how old are you now?, how old are you now?.. Kata keki tule...

Mie, Preta na Black Woman tushafika ukumbini kwaajili ya kuanza shughuli ya upambaji...
 
Ooohhh swiiiry!
Kumbe unanikumbuka kiasi hicho...ujue mm mwenyewe nilikuwa nimesahau!..asante potato-cake!

ooh...my arrowroot pie....kumbe unashare sikukuu hii na my Captain Haddock.....
ha ha ha....yu no wora I mini....
 
ha ha....sikujua kama una birthday moja na one of my sugarcakes.....
Happy Birthday honeycake.......

duh..mara hii ushakimbilia huku..kwenye B'day..haya..uwahi kurudi

Ooohhh swiiiry!
Kumbe unanikumbuka kiasi hicho...ujue mm mwenyewe nilikuwa nimesahau!..asante potato-cake!​

kaka mkubwa...kwema lakini?
 
we kijana vipi?mwaka jana Birthday yako si ilikuwa mwezi August?anyway...HAPPY BIRTHDAYS TO YOU!ikifika August usinidai tena!
 
You mean shemeji mtu chake au TANMO?...

@ Derimto happy birthday to you, happy birthday to you, happy birthday dear Derimto happy birthday to you, how old are you now?, how old are you now?.. Kata keki tule...

Mie, Preta na Black Woman tushafika ukumbini kwaajili ya kuanza shughuli ya upambaji...

TANMO kalowekewa nguo na jimama sijui zitaanikwa lini.....
my sweet caramel.....mtu chake....yeye huwa tunaadhimisha kila siku.....

Black woman lete zile futuza tuweke hapa....sweetlady toa hii meza weka kule....wee Kabakabana yule DJ kasemaje..? Lily wapi mpishi...
 
Preta!
Hayo mapishi yenu kama ni chipsviazi,
viazi mie siliiiii !
Inakuaje kuhusu m'badala ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom