I lost My Only Brother I have

Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
306
Wapendwa marafiki zangu Nimempoteza kaka yangu mpendwa aliyefariki jana Hospital ya RC.Tunduma mbaye ni wa pekee kwenye familia yetu David Mwampashi najiandaa kuondoka kesho asubuhi kwenda Mbozi Mbeya kwa ajili ya mazishi siku ya Ijumaa.

NB: Nawashukuru kwa marafiki wate ambao wamenipigia simu tuliongea nao na wale ambao wameshindwa kunipata hewani kutokana na simu yangu kuwa busy nawaomba radhi na ninathamini sana faraja zenu najivunia kuwa na marafiki wa JF ni zaidi ya ndugu maana wamekuwa karibu sana.
 
Derimito hamna maneno naweza ongea yakakutoa katika majonzi uliopo...
Pole saana na matatizo yalokukuta na Nakumbea Mwenyezi Mungu akupe
moyo wa amani na kukubali... na pia kukutia nguvu kuweza shinda majonzi...

Sijui ni dini gani but sie Waislamu hua tunaombea marehemu walotutangulia
kwa kuwatilia ubani.... Na naamini pia Christians wana taratibu zao... Hivo walau
ni muhimu ukamfanyia hivo....

Nakutakia Safari njema na Mungu akuwekee wepesi ktk safari yako.
 
Pamoja na kukupa pola kwa sms niliyokutumia lakini kumbuka ya kuwa at JF you have brothers too...............................we grieve in your loss but we would also like to remember that lost one is not the only brother you have ever had..............pole sana.........................and we pray for him too to have Our Lord have mercy on his poor soul.........................
 
Derimito hamna maneno naweza ongea yakakutoa katika majonzi uliopo...
Pole saana na matatizo yalokukuta na Nakumbea Mwenyezi Mungu akupe
moyo wa amani na kukubali... na pia kukutia nguvu kuweza shinda majonzi...

Sijui ni dini gani but sie Waislamu hua tunaombea marehemu walotutangulia
kwa kuwatilia ubani.... Na naamini pia Christians wana taratibu zao... Hivo walau
ni muhimu ukamfanyia hivo....

Nakutakia Safari njema na Mungu akuwekee wepesi ktk safari yako.

My Dearest sister where was you hiding......................i was about to board a bus to Dar and see for myself what is happening 2 u.......
 
Poleni sana Mkuu, wewe na familia....
Mungu awape nguvu na uvumilivu ili muweze kupita katika hili....RIP David...
 
Mkuu Pole sana, Mungu awafariji kipindi hiki kigumu. inanikumbusha mwaka 2004 nilimpoteza kaka yangu Kipenzi Arusha, kwa kweli ilikuwa pigo kubwa sana kwenye family yetu!! Poleni sana wafiwa
 
Wapendwa marafiki zangu Nimempoteza kaka yangu mpendwa aliyefariki jana Hospital ya RC.Tunduma mbaye ni wa pekee kwenye familia yetu David Mwampashi najiandaa kuondoka kesho asubuhi kwenda Mbozi Mbeya kwa ajili ya mazishi siku ya Ijumaa.

NB: Nawashukuru kwa marafiki wate ambao wamenipigia simu tuliongea nao na wale ambao wameshindwa kunipata hewani kutokana na simu yangu kuwa busy nawaomba radhi na ninathamini sana faraja zenu najivunia kuwa na marafiki wa JF ni zaidi ya ndugu maana wamekuwa karibu sana.

Pole sana Derimto tupo pamoja kwa sala

Nakutakia safari njema
 
Derimto pole sana kaka yangu kumbuka ingawa tulimpenda sana Kaka David, MUNGU alitemtoa amempenda zaidi akamtwaa. Jina lake na libarikiwe.

Rip Kaka David
 
Back
Top Bottom