"Nimechoka" Sijawahi kuyafurahia mahusiano ya siri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Nimechoka" Sijawahi kuyafurahia mahusiano ya siri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Derimto, Dec 24, 2010.

 1. D

  Derimto JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimeshawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanawake mbalimbali kwa nyakati tofauti na pia katika vipindi hivyo nimejaribu kuwa na wapenzi wa pembeni (Sub) kwa siri sana na sijawahi kushtukiwa na wangu wa maukweli kwa namna yeyote nimecheza vizuri sana siku zote lakini nikiwa na wa pembeni kinachonipata ni maumivu ambayo athari zake zinakuwa kubwa kama vile kukosa utulivu kazini yaani binafsi ni tabu tupu maana unaathirika akili mpaka majirani wanakushtukia.

  Najaribu kuangalia kasoro zangu zaidi ili nijirekebishe kwenye mahusiano najikuta napewa alama nzuri na bora ambazo wanawake wengi wanatamani wanaume wao wawe nazo.

  Nimejaribu kuuliza marafiki zangu na baadhi ya watu wa karibu na wao wakinieleza kwa uaminifu kabisa kuwa ni kuwa ni kero na karaha za kutosha.

  Wengine wanasema eti tatizo langu kubwa NAPENDA KIHINDI najiachia mwili mzima mzima na kuwaamini wanawake kupitiliza ilhali wanahitaji stamina yangu hivyo lazima niwe mbabe kidogo na kuwaumiza kimtindo ndiyo wananyooka kitu ambacho siyo fani yangu.

  Najaribu kuchunguza zaidi zaidi nagundua ni pale napotaka kumfurahisha mpenzi wangu na kuwa karibu naye ndipo nafika mahali najikuta nagundua mambo mengi ya kudanganywa na zabibu zangu kuliwa na wengine na wale niliowahi kuwabana vizuri wengi walikiri na hapo nakosa ujasiri zaidi ya kuwasamehe na baada ya muda wanaachia ngazi wenyewe baada ya kujisikia aibu.

  Hivi hili ni kwangu mwenyewe au wengine wanakutana na vitu kama hivi? Hebu jamani tuambine ukweli pasipo ushabiki, kujilinda au kuhukumiana wote tunaishi kwenye hizi jamii.
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  acha infidelity. kumbuka viapo ulivyoapa kumpenda mkeo mpaka kifo kiwatenganishe. You have obligation to that (if you are married).
  Kwa namna ulivyojieleza, mkeo (huyo wa maukweli wako) anakuamini sana ndiyo maana unasema hajakustukia. Siku akijua u-mchafu hivyo.......!!!!!!!
   
 3. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bila infidelity ulimwengu hauwezi kuzunguka vizuri mwache aendelee na anachokifanya ma ukweli si anapendwa tuu...kumbuka wanawake wote wanataka service na idadi yao ni kubwa kuliko wanaume watapata wapi huduma kama tutazuia unfidelity?
   
 4. D

  Derimto JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135

  Tayari umeshatangaza hukumu tushauriane hapa jamvini jamani kwani niko mwenyewe?
   
 5. D

  Derimto JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama jina lako lilivyo una sifa za kuitwa MAMA BIG. Watu wanashambulia bila kufanya utafiti wa kutosha naweza kusema kusema 65% ya wanaume wana sub. Tena wengine zaidi ya moja tuelimishane wandugu wapendwa
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Spare tyre muhimu sana mkuu,

  Hongera kwa kucheza vizuri bila kushtukiwa maana ingekuwa balaa.
   
 7. D

  Derimto JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimekusoma mtu wangu Fide ila wabongo hatupendi kuambiana ukweli kwenye mambo yanayotuzunguka kila siku
   
 8. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Natamani ningekuwa na hiyo infidelity kama yako,coz sipati kabisa amani ya kudumu ndani kwangu na mke wangu,mpaka nafikia kupruv tht marry to educated woman is an isue to a man..Wamwambia hivi,yeye anakuwa na ya kwake kichwani na kukupuuza kwake ni jambo la kawaida kabisa..
   
 9. D

  Derimto JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pole sana kaka kila moja ana jaribu lake ila inaweza kurekebishika kama utaamua hivyo
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unajua mkuu nyumba ndogo inaishape nyumba kubwa bila nyumba ndogo nyumba kubwa haisimami
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  yes SOME educated women wanashida sana katika ndoa, but I think it all involves malezi na kampani yake. Nimeona watu wameoa educated and they are happy too but others is like passing through hell.

  jamaa mmoja ni daktari aliyehitim muhimbili, he went to Israel and German for his Graduate and Postgraduate study. Mkewe ni graduate wa nursing, the guy ended running to the nurse - to be fair not a nurse ila wale wasaidizi wa manesi au nurses in training, form four liver.

  Hili ni tatizo kubwa sana katika ndoa.
   
 12. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,610
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh my friend si umeokoka wewe, haya sasa ndo nini, na my wife wako inakuaje.
   
 13. hee-wewe

  hee-wewe Member

  #13
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mshahara wa dhambi ni mauti, kama wewe unamsaliti mkeo.. kwann wewe inakuuma unaposalitiwa? hebu fikiri kile unamfanyia mkeo kama ni sahihi,, alafu eti unajisifia unafanya kwa siri, chungu usije leta ukimwi nyumbani
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  mkuu soma paragraph ya nne ya post yako, hapo ndipo pana jibu lote. Siku zote huwezi kutegemea infi akutendee kama mkeo. Acha infidelity. siku mkeo akijua utajilaumu sana kwa uamuzi atakaouchukua. usiyatendee kazi unayoyasoma au kuyasikia.
   
 15. hee-wewe

  hee-wewe Member

  #15
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wanadhani kuokoka ni mchezo, ni maamuzi toka ndani ya vilindi vya moyo, tuwacheni kutafuta vivuli vyakujifichia ili tuweze kufanya maovu yetu,
   
 16. AIZAK

  AIZAK Member

  #16
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Solomon 8: 6,7 - shows that love is as strong as death itself; it cannot be killed by time or disaster. It cannot be bought; it is freely given; it is priceless and must be shared within the guidelines that God provides. It urges that we accept the love of our spouse as God's gift. Make your love a reflection of the perfect love that comes from God.
   
 17. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,784
  Likes Received: 1,970
  Trophy Points: 280
  2011 hiyo inakuja, badilika ndugu yangu
   
 18. D

  Derimto JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Thnx. Am working on
   
 19. D

  Derimto JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimekupata mkuu nadhani humu siko peke yangu swali ni kwamba hiki ninachopata na wengine wanapata kero kama hizi
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Dec 24, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Tafuta sababu inayokufanya uende huko nje halafu umwambie mkeo akishindwa ndo utafute hiyo altenative maana wanaume wa siku hizi bwana wanafata sana T**** nje sababu hawezi kumwambia mkewe. Hizi nyumba ndogo mie sizipendi mwenzenu basi tu sina jinsi
   
Loading...