Search results

  1. R

    Kwa hapa tulipofika, ni Dr Slaa tu anastahili kuwa rais wa Tanzania: Sababu ni hizi...

    Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa na mafisadi. Akataka wale wanaopinga wampeleke mahakamani. Hakuna aliyethubutu kujitokeza kumpeleka...
  2. R

    Zanzibar haihitaji UN kuvunja muungano: Mbinu ni hii hapa!

    Umoja wa mataifa unatambua haki ya kila nchi kujitawala yenyewe. Na hivi iwapo Zanzibar itapeleka mapendekezo yake, ni wazi yatatiliwa maanani. Lakini kwa hoja za demokrasia na style za diplomacy walizonazo UN, jambo hilo laweza kurudishwa nchini kwa ajili ya mchakato wa kidemokrasia...
  3. R

    Tahadhari: Tutarajie hoja ya misaada ya mashoga kutumiwa kisanii kuwahadaa wananchi

    Tayari serikali ya ccm iko mahututi. Ni ufisadi umewafikisha hapo walipo kiasi kwamba hawana hoja za kuwadanganya wananchi kuhusu ugumu wa maisha. Wananchi wanaelewa kinachoendelea. Lakini nionavyo mimi: Sasa watapata mahali pa kupumulia! Usanii wa kisiasa utatungwa ili kuwadanganya wananchi...
  4. R

    Ni kweli Agha-Khan walishindwa kugundua Malaria ya Zitto?

    Ni malaria gani ya namna hiyo ambayo hata Agha khan hawakuigundua? Mbona waandishi wa habari hawawahoji Agha khan ili waseme kwa nini vipimo vyao havikugundua Malaria ya Zito? Huyo daktari wa Muhimbili tu ndiye mtaalamu wa malaria kuliko madaktari wote wa Tanzania? Tukumbuke siasa za Tanzania...
  5. R

    Mauaji Igunga: Watuhumiwa ni ccm - Mbona wako kimya ?

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinahusika na kifo cha wakala wake aliyepotea tangu Oktoba 2, mwaka huu na mwili wake kuokotwa Agosti 9, mjini Igunga mkoani Tabora. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, mmoja wa...
  6. R

    Mauaji ya Kijana wa Kiislamu Igunga: Mbona sasa Bakwata kimya?

    Taarifa rasmi inaeleza kuwa Marehemu Mbwana Masoud, aliekuwa Wakala wa CDM kutokea Ubungo DSM, alipotea tar 2/10/2011, siku ya uchaguzi, lakini ukweli ni kuwa siku hiyo ndiyo ilipogundulika kuwa amepotea baada kuhitajika kupelekwa kituoni kwake na kukosekana. Hali halisi ni kuwa Mbwana Masoud...
  7. R

    Ukweli umepatikana: Sasa DC Igunga anastahili kupigwa mawe kwa kuasi dini - Sheikh Ponda!

    Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, "Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa." Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, "Hilo ni kosa...
  8. R

    Uozo mwingine wa Serikali ya Kikwete huu hapa...

    Ninaishi U.S.A. Mara nyingi napenda kuwasiliana kwa simu na jamaa zangu huko nyumbani Tanzania na marafiki wengine walioko Uganda. Kinachonishangaza ni hiki: Iwapo unaweka $ 2 kwenye simu na unampigia mtu wa Tanzania unatumia dakika 11 za Maongezi. Lakini ukiweka $ 2 na kumpigia simu mtu aliye...
  9. R

    Serikali kutamka Katiba mpya hadi 2014 - Ni hila chafu za CCM!

    Serikali imetamka kuwa katiba mpya hadi mwaka 2014. Chadema kuweni macho! Hizi ni hila chafu sana za kupooza vuguvugu la maandamano ya madai ya Katiba yanayoendelea kwa sasa kwa kuwapa watanzania matumaini hewa. Itakapofika 2014 katiba mpya itapigwa tena tarehe ili kupisha maandalizi ya uchaguzi...
  10. R

    Utabiri wa Sheikh Yahya mbioni kufanyiwa kazi ndani ya Chadema

    Rais anataka kutimiza utabiri wa kishirikina wa mlinzi wake wa majini, Sheikh Yahya? Anatafuta kukutana na Chadema. Bila kupambana na ufisadi kwanza huko si kutapatapa? Hiyo ni danganya toto kwa vile ameona maji yako shingoni kwani hapo tulipofikia, hata taahira anahisi kuwa upepo sio mzuri...
  11. R

    Kikwete dawa yake sasa ni migomo ya nchi nzima na si maandamano tu

    Watanzania tunajuta kwa vile tuliyataka wenyewe! Sasa dawa iliyopo ambayo haihitaji polisi kupiga watu risasi ni migomo ya nchi nzima. Wafanyakazi mko wapi? Wanafunzi wa vyuo mko wapi? AMKENI. Ninyi tu mkitaka inawezekana. Fedha za Dowans zitumike kutoa elimu bure! Mwisho wa CCM UMEKARIBIA...
  12. R

    Fedha za Dowans ni mchango kwa Magaidi

    Watanzania kuweni macho. Haiingii akilini kwa serikali kukwapua kiasi chote hicho cha pesa na kudai kuwalipa fidia watu wasiojulikana majina yao. Hiyo ni mikakati mizito ya kusaidia kueneza uislamu na wala sio fedha kwa ajili ya maandalizi ya kampeni ya uchaguzi wa mwaka 2015 kama mwandishi...
  13. R

    Dawa ya kupinga ufisadi: Ni maandamano au Migomo?

    CUF na TUCTA wanapanga kuandamana. Ni sawa! Lakini jamani tungepiga kura kwa uangalifu, tungekuwa na sababu ya kuandamana? Si tuliyataka wenyewe? Tulipiga kura kama vipofu, sasa tunalalama kama vichaa! Na bado tutaandamana kama vipofu na kujikuta tunajikuna maji ya kuwasha kama vichaa...
  14. R

    Kada wa CCM: Mandamano ni upuuzi, yaishe...

    Mchangiaji mmoja amehoji hapa kwamba maadamano ya upuuzi yatakwisha lini? Amewataka wananchi watulie kwa vile uchaguzi umekwisha na CHADEMA wasilete chokochoko. Waiache ccm iendelee kutekeleza sera zake. Ni swali zuri. Nampongeza. Naomba ndugu yangu nikupe "lecture". Chukua kalamu na karatasi...
  15. R

    CCM na Mpango wa Kumuua Zitto

    Hivi karibuni kwenye taarifa ya habari TBC1 Manumba alisikika akitamka kwamba Zitto anatishiwa kuuawa! Ni habari ya kuogopesha na kushangaza kwa vile watanzania hatuna utamaduni wa mauaji. Hadi mkuu wa jeshi la polisi atoe kauli kama hiyo, upelelezi wa kina umekwishafanyika na ushahidi wa...
  16. R

    Elections 2010 Watanzania poleni kwa msiba- Mmeyataka!

    Kupanga ni kuchagua. Hakuna haja ya kulaumu tena kwamba maisha ni magumu. Adhabu tumeitaka wenyewe. Kwa hapa Marekani, Chama kinachosababisha umaskini kwa namna yoyote ile, kinanyimwa uongozi wa nchi hata kwa miaka 20. Sasa Tanzania ni kinyume. Haiingii akilini kwa mfano: watu wa Singida ambao...
  17. R

    Elections 2010 Hebu Shimbo ajitokeze sasa tuone

    Shimbo aliviasa vyama kukubali matokeo. Sehemu nyingi sasa CCM wanayakataa matokeo na hata kuyachakachua. Amekaa kimya kana kwamba amesahau kuwa alitoa kauli kali, tena akiwa amekunja uso na kukodoa macho mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango. Hebu iwapo kama ana mbavu ajitokeze sasa awakemee...
  18. R

    Elections 2010 Vituko: Tisheti za Kikwete avishwa mbwa

    Watu wameonekana kuchoka na ufisadi. Hiyo ni picha halisi ya kutoka Songea. Ndizo dakika za lala salama. Tisheti za Rushwa wanavishwa mbwa. Watu wanataka maendeleo ya kweli na si maendeleo ya ufukunyuku. Safari hii watanzania hawadanganyiki!:israel:
  19. R

    Elections 2010 Ni haki mbwa kuvalishwa tisheti ya Kikwete?

    Polisi huko Songea wanamtafuta mtoto wa darasa la Sita kwa kumvisha mbwa tisheti ya CCM. Hata watoto wamechoshwa na CCM. Huyo mtoto asisumbuliwe. Ameonyesha uzalendo wake. Watanzania wote waige mfano. Popote pale mbwa walipo wakamatwe, wapewe zawadi za CCM dakika hizi za lala salama.
  20. R

    Elections 2010 Acheni mbwa wavae tisheti za CCM

    Polisi huko Songea wanamtafuta mtoto wa darasa la Sita kwa kumvisha mbwa tisheti ya CCM. Hata watoto wamechoshwa na CCM. Huyo mtoto asisumbuliwe. Ameonyesha uzalendo wake. Watanzania wote waige mfano. Popote pale mbwa walipo wakamatwe, wapewe zawadi za CCM dakika hizi za lala salama.
Back
Top Bottom