Ukweli umepatikana: Sasa DC Igunga anastahili kupigwa mawe kwa kuasi dini - Sheikh Ponda!

RMA

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
409
87
Naye mwanazuoni mashuhuri nchini, Sheikh Issa Ponda alipoulizwa kuhusu suala hili, alisema, "Kwanza, hakuna ndoa kati ya muislamu na asiyekuwa muislamu. Mtu akifanya hivyo atahesabika anafanya zinaa."

Kuhusu mwanamke wa kiislamu au mwanamme kubadili dini, Sheik Ponda amesema, "Hilo ni kosa kubwa sana. Mtu wa aina hiyo, anakuwa ameleta mfano mbaya kwa uislamu. Anastahili kuadhibiwa kwa kupigwa mawe hadi kufa kutokana na kuritadi (kuondoka kwenye uislamu)."

Baadhi ya viongozi wa dini wamesema hatua ya viongozi wa BAKWATA na wanazuoni kukimbilia kulaani, imetokana na shinikizo la viongozi wa CCM. SOURCE - Gazeti la Mwanahalisi.
 
Kicheche

Member
Jan 11, 2008
47
8

hoja hiyo ya mwandishi wa mwanahalisi imeshajibiwa katika radio imani na pia katika gazeti la kiislamu la al-nuul ya kwamba mama huyo bado muislamu na mumewe ni muislamu na hajawahi kuwa mkristo, kubenea alipotosha ukweli kwa kutaka kuwasaidia CHADEMA
 
Filipo

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,335
5,509
Waandishi wetu wa habari wanasubiri nini kumhoji huyu mama tuufahamu ukweli halisi. Hizi stori za kusikia msikitini na kutoka kwa masheikh zinakaa kiudaku udaku tu! Wamtafute huyo mama au bwana'ake wahoji ukweli ujulikane.
Huku Arusha waislam wameambiwa kuwa huyo mama huwa anasali msikiti mkuu wa Igunga swala ya Subuhi kila siku na hajawahi kuingia kanisani tangu amefika Igunga. Ndio maana nataka ukweli ujulikane kutoka kwake!
 
Blessingme

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
250
52
hoja hiyo ya mwandishi wa mwanahalisi imeshajibiwa katika radio imani na pia katika gazeti la kiislamu la al-nuul ya kwamba mama huyo bado muislamu na mumewe ni muislamu na hajawahi kuwa mkristo, kubenea alipotosha ukweli kwa kutaka kuwasaidia CHADEMA

kweli we kicheche hustahili kuwa hapa
 
samito

JF-Expert Member
May 16, 2011
631
175
kwel mashehe wa bar-kwata ni walopokaji, hawajipang au vihela walivyohongwa na magamba vimeisha. eti apigwe mawe! mpeleken kwa kadhi basi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom