Hebu Shimbo ajitokeze sasa tuone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu Shimbo ajitokeze sasa tuone

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by RMA, Nov 1, 2010.

 1. R

  RMA JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shimbo aliviasa vyama kukubali matokeo. Sehemu nyingi sasa CCM wanayakataa matokeo na hata kuyachakachua. Amekaa kimya kana kwamba amesahau kuwa alitoa kauli kali, tena akiwa amekunja uso na kukodoa macho mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango. Hebu iwapo kama ana mbavu ajitokeze sasa awakemee wana CCM.
   
 2. K

  King kingo JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Apate wapi ubavu huo na ngoma imekula kwao
   
 3. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hivi kwanza anastahili hata kuwa Mnadhimu Mkuu wa jeshi??
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  siingilii..teh teh
   
Loading...