Fedha za Dowans ni mchango kwa Magaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fedha za Dowans ni mchango kwa Magaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RMA, Dec 30, 2010.

 1. R

  RMA JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania kuweni macho. Haiingii akilini kwa serikali kukwapua kiasi chote hicho cha pesa na kudai kuwalipa fidia watu wasiojulikana majina yao. Hiyo ni mikakati mizito ya kusaidia kueneza uislamu na wala sio fedha kwa ajili ya maandalizi ya kampeni ya uchaguzi wa mwaka 2015 kama mwandishi mmoja alivyoandika hivi karibuni. Ni fedha zinazokwapuliwa kwa nguvu ili kuanzisha mahakama ya kadhi na kueneza uislamu, . Ee Mungu uinusulu nchi yetu na viongozi wabovu wasio na uzalendo, waliojawa na udini na ushirikina! Rais aseme wazi hizo pesa zinakwenda kwa nani!
   
 2. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,195
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Mpira umesha pewa MH SAANA RAISI WA JAMHURI YETU NAOMBA UJIBU MH: Mtu unapo ambiwa wee mchawi inabudi ukanushe la ukikaa kimya watu kirahisi wataamini wewe ni mchawi kweli!
   
 3. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli nyani huwa halioni ***** lake!
   
Loading...