Ni kweli Agha-Khan walishindwa kugundua Malaria ya Zitto?

RMA

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
409
87
Ni malaria gani ya namna hiyo ambayo hata Agha khan hawakuigundua? Mbona waandishi wa habari hawawahoji Agha khan ili waseme kwa nini vipimo vyao havikugundua Malaria ya Zito? Huyo daktari wa Muhimbili tu ndiye mtaalamu wa malaria kuliko madaktari wote wa Tanzania? Tukumbuke siasa za Tanzania kwa sasa ni chafu mno! Uwezekano wa madaktari kutumiwa kwa hujuma za kisiasa ni mkubwa pia! Kama ni kweli Agha khan walishindwa kugundua kuwa Zito alikuwa na malaria, basi ni bora hospitali ifungiwe au uongozi ujiuzulu! Tofauti na hapo, Tanzania bado tuna safari ndefu!
 
Mkuu! Hii kitu imenichanganya kichwa sana! Kama jamaa wameshindwa na malaria sasa ina maana hawatoweza gundua magonjwa mengine mengi sugu! can someone remind me what does the word hospital means?? I hate politics!!
 
Kwa kuendekeza siasa za majitaka hospital ya agha khan wamejishushia hadhi,wafunge hospital au watoe maelezo yatakayo kidhi haja kwa watanzani
 
Hata mimi nashangaa ni kwa nini wamekuwa kimya mpaka sasa! Yaan dispensary huku uswahilin zinaweza kuona hata Malaria 3, sembuse Aghakhan Hosp!? Tena malaria kubwa namna hiyo! Tumeambiwa ni 150. Mmh! Kazi ipo
 
He he he he you people hamjui kabisa madokta wa sa hv kwenye hizi hospital,ndugu yangu tulimpeleka hospital kafanyiwa eti vipimo dokta akaandika normal kila k2 had kizazi na wakati kilishatolewa mwaka wa tisini hivi na dokta kasain na nihospital tuliyokuwa tunasema nzuri hivi tanzania tuna madokta je wana wito au ni pesa mbele,jamani madokta mjali uhai wa watu kwa sababu wewe unamuambia m2 normal wakati analalamika mgonjwa na tukaenda hospital ingine akapata matibabu kwani ndugu yangu alijua wanadanganya yeye pia ni muuguzi,
 
Agha Khan ni hovyo kama shule za kata.
Bei zao ni za juu, huduma mbovu.
Kifo cha mapema kinapatikana Aga Khan.

Mkuu usinikumbushe hapo kwenye red. Jana, 29 Oct. 2011, tulimzika FRED V. KANUTI best wangu ambaye tumehitimu wote Mzumbe University mwaka huu na graduation yetu inatarajiwa kuwa 02 Nov. 2011. Huyu jamaa alikuwa amelazwa Aga-Khan kwa tatizo dogo tu lakini maskini amekufa kijana mdogo na shahada yake ya Finance and Accounting.

Halafu hawa jamaa (Aga-Khan) kwa uroho wa pesa huwa ni mara chache wanatoaga referral labda ndugu waje juu sana vinginevyo watakomaa na wewe hadi roho ikutoke ili wapate na hela ya mochuari. Nashangaa wanaoichagua Aga-Khan kama first choice.

TANGAZO LA KIFO: Kwa wale Masela wote waliomaliza Kumbukumbu Primary School (Dar) 2000, Azania Sec. School 2004, Tambaza High School 2007, na Mzumbe University 2011; wale Masela wa Kinondoni Shamba, ndugu, jamaa na marafiki wote waliomfahamu FRED V. KANUTI nasikitika kuwatangazia kwamba jamaa hatunaye tena. Amefariki 26 Oct. 2011 Aga-Khan Hospital na kuzikwa huko Mbezi (Dar) tar. 28 Oct. 2011. Marehemu apumzike kwa amani, Amen.
 
Ni malaria gani ya namna hiyo ambayo hata Agha khan hawakuigundua? Mbona waandishi wa habari hawawahoji Agha khan ili waseme kwa nini vipimo vyao havikugundua Malaria ya Zito? Huyo daktari wa Muhimbili tu ndiye mtaalamu wa malaria kuliko madaktari wote wa Tanzania? Tukumbuke siasa za Tanzania kwa sasa ni chafu mno! Uwezekano wa madaktari kutumiwa kwa hujuma za kisiasa ni mkubwa pia! Kama ni kweli Agha khan walishindwa kugundua kuwa Zito alikuwa na malaria, basi ni bora hospitali ifungiwe au uongozi ujiuzulu! Tofauti na hapo, Tanzania bado tuna safari ndefu!

Kwa kweli hichi kitu na mimi kimenishangaza, najaribu kukifikilia mara kwa mara sipati jibu, yaani The Agha Khan wameshindwa kabisa kugundua malaria? Alafu ninachofahamu mimi ni kuwa mgonjwa hakishindikana Muhimbili anapelekwa The Agha Khan, sasa hii imekuwa Vise Versa wakuu? hivi imekahaje hii?
 
He he he he you people hamjui kabisa madokta wa sa hv kwenye hizi hospital,ndugu yangu tulimpeleka hospital kafanyiwa eti vipimo dokta akaandika normal kila k2 had kizazi na wakati kilishatolewa mwaka wa tisini hivi na dokta kasain na nihospital tuliyokuwa tunasema nzuri hivi tanzania tuna madokta je wana wito au ni pesa mbele,jamani madokta mjali uhai wa watu kwa sababu wewe unamuambia m2 normal wakati analalamika mgonjwa na tukaenda hospital ingine akapata matibabu kwani ndugu yangu alijua wanadanganya yeye pia ni muuguzi,

Hitaje hiyo hospitali ili na sisi tusiende au tusipate kuwapeleka ndugu na jamaa zetu? Unaificha nini!! una maslahi nayo? Taja
 
Kwa kweli hichi kitu na mimi kimenishangaza, najaribu kukifikilia mara kwa mara sipati jibu, yaani The Agha Khan wameshindwa kabisa kugundua malaria? Alafu ninachofahamu mimi ni kuwa mgonjwa hakishindikana Muhimbili anapelekwa The Agha Khan, sasa hii imekuwa Vise Versa wakuu? hivi imekahaje hii?

wewe ni mbumbumbu mpaka unaboa!
 
Unajua huu wimbo?'DAWA MSETO YA MALERIA SASA INAPATKANA KWA BEI NAFUU'
Ni malaria gani ya namna hiyo ambayo hata Agha khan hawakuigundua? Mbona waandishi wa habari hawawahoji Agha khan ili waseme kwa nini vipimo vyao havikugundua Malaria ya Zito? Huyo daktari wa Muhimbili tu ndiye mtaalamu wa malaria kuliko madaktari wote wa Tanzania? Tukumbuke siasa za Tanzania kwa sasa ni chafu mno! Uwezekano wa madaktari kutumiwa kwa hujuma za kisiasa ni mkubwa pia! Kama ni kweli Agha khan walishindwa kugundua kuwa Zito alikuwa na malaria, basi ni bora hospitali ifungiwe au uongozi ujiuzulu! Tofauti na hapo, Tanzania bado tuna safari ndefu!
 
Hata mimi nashangaa ni kwa nini wamekuwa kimya mpaka sasa! Yaan dispensary huku uswahilin zinaweza kuona hata Malaria 3, sembuse Aghakhan Hosp!? Tena malaria kubwa namna hiyo! Tumeambiwa ni 150. Mmh! Kazi ipo

siku nilpoambiwa nna 9 nikashangaa,150 ndo nikajkwaa kwa mshangao
 
Mkuu! Hii kitu imenichanganya kichwa sana! Kama jamaa wameshindwa na malaria sasa ina maana hawatoweza gundua magonjwa mengine mengi sugu! can someone remind me what does the word hospital means?? I hate politics!!

kuna rafiki yangu alikufa kwa malaria akiwa russia kwa sababu ilichelewa kugundulika.
 
quote_icon.png
By Bujibuji
Agha Khan ni hovyo kama shule za kata.
Bei zao ni za juu, huduma mbovu.
Kifo cha mapema kinapatikana Aga Khan.

Mkuu usinikumbushe hapo kwenye red. Jana, 29 Oct. 2011, tulimzika FRED V. KANUTI best wangu ambaye tumehitimu wote Mzumbe University mwaka huu na graduation yetu inatarajiwa kuwa 02 Nov. 2011. Huyu jamaa alikuwa amelazwa Aga-Khan kwa tatizo dogo tu lakini maskini amekufa kijana mdogo na shahada yake ya Finance and Accounting.

Halafu hawa jamaa (Aga-Khan) kwa uroho wa pesa huwa ni mara chache wanatoaga referral labda ndugu waje juu sana vinginevyo watakomaa na wewe hadi roho ikutoke ili wapate na hela ya mochuari. Nashangaa wanaoichagua Aga-Khan kama first choice.

Wakubwa kama hali iko hivi Agakhan !!!!Mhhh.....Tumuombeee mweshiwa Zito apone halafu na yeye aje atujuze humu juu ya yaliyomsibu Agakhan....Isiwe ni uzuri wa majengo tuu na Vitanda na chakula kumbe maaana ya Hospital Haipo!!!!
 
Wandugu

Kabla ya 'kulaumu' na kubeza uwezo wa hosp ya Aga Khan na madaktari kwa ujumla, mfahamu na naamini mnajua ya kwamba nchi hii kila kitu ni politiks. Siyo kila anayepelejwa india amekosa matibabu hapa nchini.....

Malaria iligundulika Aga Khan by the way na matibabu aliyaanzia pale pale na alikuwa akiendelea vema but alikuwa pia anatibiwa maradhi mengine, kipanda uso. Mengine siyajui coz i'm not his doctor anyway......

What is malaria 3 or 150? Even the best microscopist can miss malaria.......it's not uncommon to miss it though. By the way muhi2 do not refer pts to aga khan but vice versa...,
 
Sitaki hata kuisikia mpaka watakapo toa maelezo ya kuniridhisha,Agha Khan wapo after money zaidi,unakatwa hadi hela ya simu wakati sijatumia,KWELI AGHA KHAN ni MDANANDA
 
Back
Top Bottom