Serikali kutamka Katiba mpya hadi 2014 - Ni hila chafu za CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali kutamka Katiba mpya hadi 2014 - Ni hila chafu za CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RMA, Mar 25, 2011.

 1. R

  RMA JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 410
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Serikali imetamka kuwa katiba mpya hadi mwaka 2014. Chadema kuweni macho! Hizi ni hila chafu sana za kupooza vuguvugu la maandamano ya madai ya Katiba yanayoendelea kwa sasa kwa kuwapa watanzania matumaini hewa. Itakapofika 2014 katiba mpya itapigwa tena tarehe ili kupisha maandalizi ya uchaguzi mkuu 2015. Wizi wa kura utabaki palepale kwa vile bila katiba mpya, tume ya taifa ya uchaguzi, itaendelea kubaki mali ya CCM. Mabadiliko ya katiba yafanyike ndani ta mwaka 2011-2013. Hakuna sababu za kuchelewesha!
   
 2. markach

  markach Senior Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nakuunga mkono Asilimia 100
   
 3. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,125
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Lakini sijui kama tutachagua tena rais bila katiba mpya na tume huru! Kitakachohairisha labda ni uchaguzi.
   
 4. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni kweli unayosema, kinachotakiwa kuendeleza moto kuwaka kwa makundi yote sio tu CHADEMA bali wanazuoni, asasi za kiraia, wanaharakati na wananchi wote kwa ujumla wake. Hakuna sababu za msingi za kuchelewesha mchakato wa katiba mpya hadi 2014.
   
 5. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,017
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  CCM na serikali yake haiko tayari kwa katiba mpya. Ni namna pekee ya kujifanyia mambo un-regulated.
   
 6. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,626
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  uuph!nimehemwa....Naamini huo ni mpango mahsusi kabisa.Ni vema sasa kuongeza nguvu za kudai katiba mpya.hivi sasa ni dhahiri tumeanza kuacha kuishinikiza serikali kuanza mchakato kudai katiba mpya!
   
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,363
  Likes Received: 4,812
  Trophy Points: 280
  kweli, ingebidi 2013 angalau iwe imekamilika ili tuizoee by 2015 iwepo kazi moja tu ...KUMTOA KANGA MANYOYA!
   
 8. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wana mpango wa kuchelewesha ili walau kikwete amkabidhi ikulu mwanaccm wake 2015 bila katiba mpya au iliyochakachuliwa. Wanaona katiba ni kikwazo. Sisi Chadema tuliharibu hilo dili lao kwa nguvu ya Umma.
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,527
  Likes Received: 2,614
  Trophy Points: 280
  mnaona mbali sana wadau..tumelegeza kamba kudai katiba jamani,hamna sababu ya ucheleweshaji kiasi hiki..watch out guys
   
 10. s

  sawabho JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,378
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  Kuwa kuwa Rais alishakubali, yetu macho. Maana uwike usiwike kutakucha.
   
Loading...