Elections 2010 Vituko: Tisheti za Kikwete avishwa mbwa

RMA

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
409
87

Watu wameonekana kuchoka na ufisadi. Hiyo ni picha halisi ya kutoka Songea. Ndizo dakika za lala salama. Tisheti za Rushwa wanavishwa mbwa. Watu wanataka maendeleo ya kweli na si maendeleo ya ufukunyuku. Safari hii watanzania hawadanganyiki!:israel:
 
Watakoma kuandaa mitisheti huku watu wana taabu kibao! Wala sio suala la uisilamu wa Kikwete! Matusi ya kujitakia wenyewe CCM
 
Watu wameonekana kuchoka na ufisadi. Hiyo ni picha halisi ya kutoka Songea. Ndizo dakika za lala salama. Tisheti za Rushwa wanavishwa mbwa. Watu wanataka maendeleo ya kweli na si maendeleo ya ufukunyuku. Safari hii watanzania hawadanganyiki!:israel:

hebu ngoja nikuulize swali ndugu yangu......hivi hii habari ya umbwa kuvaa tisheti imekuinspaya sana?....duh umetuchosha sasa....huna habari nyingine?
 
mwenye nayo nina ngo'mbe wangu pls naomba nimvishe nae ajisikie kidogo
 
Back
Top Bottom