Kikwete dawa yake sasa ni migomo ya nchi nzima na si maandamano tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete dawa yake sasa ni migomo ya nchi nzima na si maandamano tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RMA, Jan 6, 2011.

 1. R

  RMA JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania tunajuta kwa vile tuliyataka wenyewe! Sasa dawa iliyopo ambayo haihitaji polisi kupiga watu risasi ni migomo ya nchi nzima. Wafanyakazi mko wapi? Wanafunzi wa vyuo mko wapi? AMKENI. Ninyi tu mkitaka inawezekana. Fedha za Dowans zitumike kutoa elimu bure! Mwisho wa CCM UMEKARIBIA. Tukio la mauaji Arusha linatufanya sasa kuipenda CHADEMA bure hata kama wengine tulikuwa hatuna ushabiki na chama hicho!
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mkigoma wazalisha watashindwa kuwalipa mishahara kutokana na kusitishwa uzalishaji. Uzalishaji ukisitishwa serikali itakosa mapato ya kodi kama VAT na PAYE na itashindwa kuwalipa wafanyakazi wake wakiwemo Walimu Wa Vyuo na Mikopo ya Wanafunzi
   
Loading...