Search results

  1. N

    Unasikiaga wanasema hakuna aijuaye kesho, si kweli. Nioneshe hivi vitu vitatu na mimi nitakuonesha kesho yako

    1. Nioneshe vitu unafuatilia mara nyingi mitandaoni au page unazo-follow (Insta, Facebook, WhasApp, TikTok n.k.) 2. Nioneshe marafiki zako angalau watano tu. 3. Nioneshe ratiba yako ndani masaa 24 ya siku
  2. N

    Yuda Iskariote

    ...
  3. N

    2024

    Enemy vs me
  4. N

    Ni muhimu kushukuru hata kwa kidogo

    ..
  5. N

    Hivi Wabongo shida nini lakini?

    Deleted
  6. N

    Ritta Kabati(Mb)- Viti Maalumu Iringa: Mama akichepuka anarudi nyumbani. Mtoto anashiba. Nani mama mama?

    Ebu nyie endeleeni kwanza mimi nitakomenti kesho, nimechoka saizi napumzika
  7. N

    Nakutafuta wewe usiyesikia

    Ni uchungu lakini ndio ukweli wenyewe. Inawezekana umetangatanga sana kutafuta mchumba,mke au mahusiano mitandaoni. Sikiliza mke au mume huwezi kumpata mtandaoni. Wengi wa huku ni waigizaji ni wengi huku, hawaishi uhalisia. Lakini huenda ni mbinu ya shetani kukupotezea muda kufikia hatma yako...
  8. N

    Fanya hivi kama unahitaji amani moyoni

    1. Jichunguze wapi mahusiano yako na Mungu hayako sawa. 2. Chunguza ni tabia gani mbaya ambazo umeshindwa kuziacha. ✓ Mambo hayo mawili yatakufanya ukose amani muda mwingi kwa sababu roho yako itakuwa na hofu. ✓ Mambo hayo yatampa kibali shetani cha kukunyanyasa kwa magonjwa na mikosi...
  9. N

    Kuhusu tendo la Ndoa usiku

    Video
  10. N

    Uovu unaendelea kwa sababu ya ukimya wa wenye haki

    Mchungaji Dickson Kabigumila, amekemea kipindi cha Mr Right kinachorushwa na channel iliyoko kwenye king'amuzi cha startimes. Amesema katika kipindi hiko wanawaka kwa wanaume hutafuta wapenzi ambao amesema njia hiyo inaua maana ya ndoa kwa kuwa ni uchafu. Mchungaji amesema kama TCRA wanahusika...
  11. N

    Chanzo cha ufisadi na uhujumu Uchumi

    Hiki hapa
  12. N

    Kijana chukua huu ushauri kabla hujapotea

    Ukiamua kupuuza sawa,,,lakini amini usiamini kuna siku utanikumbuka
  13. N

    Tuna imani na wewe

  14. N

    Tuna imani naye

    Kazi iendelee Afande cgp
  15. N

    Ujumbe kwa mabinti ambao hawajaolewa kuhusu wanaume wakatili kwenye ndoa

    1. Usiogope kuolewa kwa hofu kwamba utauwawa au kupewa ulemavu na mumeo kwenye ndoa! Tangu mwaka umeanza umeanza au ndani ya miaka 10 iliyopita ni ndoa ngapi unazifahamu au za watu maarufu ambazo umesikia mke kauwawa na mumewe? Shetani anakuza ubaya wa mmoja ili kuwakatisha tamaa muone ndoa na...
  16. N

    TCRA /COSOTA au Mamlaka zinazohusika hamuoni tamthilia ya BONDITA Azam two unavyoharibu watoto kwa kuhamasishwa ndoa za utotoni.?

    -Hao waigizaji wakuu Bondita na mumewe mbona wanatofautiana sana umri. -Watoto wanajifunza nini wakiona mtoto mwenzao analiita baba zima ''mumewangu'' -watoto wadogo wanawaza kuolewa kuliko hata homework -Na Mamlaka zinazohusika mpo tu,, sasa mna msaada gani kama tatizo kama hili hamulioni? -Ee...
  17. N

    Short course ya video production

    Kwema wakuu! Natafuta chuo kinachofundisha Mambo ya video production kiwepo Dar au Dom. Mwenye kufahamu anifahamishe tafadhal
Back
Top Bottom