vitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Unasikiaga wanasema hakuna aijuaye kesho, si kweli. Nioneshe hivi vitu vitatu na mimi nitakuonesha kesho yako

    1. Nioneshe vitu unafuatilia mara nyingi mitandaoni au page unazo-follow (Insta, Facebook, WhasApp, TikTok n.k.) 2. Nioneshe marafiki zako angalau watano tu. 3. Nioneshe ratiba yako ndani masaa 24 ya siku
  2. R

    Kuelekea uchaguzi, vyama vya siasa viwe vitatu pekee

    Salaam, Shalom. Ili kudhibiti matumizi mabaya ya pesa kwenye uchaguzi, pia Ili kuhakikisha vyama vinagharimia ipasavyo wagombea wao, na Ili kuondoa ubaguzi Kwa wagombea wasio njema kiuchumi, nashauri yafuatayo; 1. Vyama vya siasa nchini viwe vitatu pekee. 2. Vyama vingine vifutwe au...
  3. Roving Journalist

    Serikali yasema inajenga vituo vingine vitatu vya Nishati ya gesi ya magari

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Mradi wa Umeme wa Kinyerezi One ambao pia itatumika katika Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kueleza kufurahishwa na maendeleo ya mradi huo, leo Jumatano Desemba 13, 2023. Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Kamati...
  4. BARD AI

    EWURA yavifungia vituo v3 vya Mafuta, yatoa onyo

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imevifungia vituo vitatu vya mafuta kwa miezi sita baada ya kubainika vilificha mafuta kati ya Julai na Agosti 2023. Vituo hivyo ambavyo vipo katika mikoa mitatu tofauti vimekumbwa na shubiri hiyo baada ya kuthibitika vilificha mafuta...
  5. MK254

    Viwanja vitatu vya ndege Urusi vyafungwa kisa mashambulizi ya drone za Ukraine

    Warusi wanaishi maisha ya kukazia macho angani muda wote Russia blocks fresh drone attack on Moscow, says mayor Russia reported a new drone attack on Moscow in the early hours of Saturday which again forced authorities to temporarily shut down all three major airports serving the capital...
  6. R-K-O

    Kutumia simu kumerahisishwa ila nashangaa wapo wenye simu za android zenye gesture bado wanatumia Vitufe vitatu vya chini?

    KUPERUZI SIMU KWA VITUFE VITATU Tukiachana na wazee and the likes, Nashangaa kuona bado kuna watu wamekomaa kuendelea kutumia vile vitufe vitatu vilivyopo chini ya screen. KUPERUZI SIMU KWA GESTURE Gesture imerahisisha sana kutumia simu, ukiswipe pembeni kulia au kushoto unarudi nyuma (back)...
  7. K

    Plot4Sale Viwanja vitatu pamoja vinauzwa (6193 SQM) Morogoro

    Viwanja vitatu vipo pamoja vinauzwa Mkundi - Morogoro. Vilipo: Unaingilia Shule ya Green City ni kama 2KM. Kutoka Mjini mpaka ilipo Green City ni kama 10KM. Kwa hiyo ni kama 12KM kutokea mjini, ukiwa unaelekea Dodoma. Hilo eneo linajulikana kama Nguvu Kazi. Baadhi ya Majirani wameshajenga...
  8. Equation x

    Maisha yanakuhitaji umiliki vitu vitatu tu

    Maisha yanahitaji umiliki vitu vitatu tu:- Makazi -nyumba ya kuishi Usafiri- wa kukutoa sehemu moja kwenda kwingine Biashara- kitu cha kukuingizia kipato, iwe majengo, usafirishaji n.k Na wengi wanapambana kuajiriwa, kutafuta nafasi n.k ili tu kuweza kufanikisha hayo mambo makuu matatu...
  9. Mangi shangali

    Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu..

    Salaam wasalaam. Ukiwa shabiki wa pili lazima ujue vitu hivi vitatu.. KUSHINDA KUFUNGWA DROO ukishajua hivi kamwe hautaumizwa na matokeo yeyote. Ndo maana mpira nime ufanya ni starehe kama sterehe zingine. Siwezi nikaumia kisa mpira. Siwezi nikagombana kisa mpira. Daima sitauwamini mchezo...
  10. M

    Unapojenga nyumba ya kuishi fikiria sana mahitaji yako halisi, vyumba vitatu vinatutesa wengi

    kipindi hiki cha likizo, mimi kama mwalimu ili kupunguza zarau maana tunaonekana walimu ndio watu maskini na hatuna akili nchi hii,so kama kawaida likizo hii nimendelea kufanya biashara zangu za mazao na nimejikuta nipo zambia , hulka yangu napenda kudadisi na kujifunza vitu vipya...
  11. evans555

    Naomba kujuzwa gharama za ujenzi vyumba vitatu mpaka lenta

    Naomba kujua ujenz wa room 3(kimoja masta) na public toilet moja na jiko ndan, eneo sq20 kwa 15. Dar es Salaam
  12. JanguKamaJangu

    Malawi: Serikali yafungia vituo vitatu vya TV na 6 vya radio

    Serikali ya Malawi imevifungia vituo vitatu vya Televisheni na sita vya radio kutokana na kutolipa ada ya mwaka ya leseni, ambapo pia zoezi linatarajiwa kuendelea kwa kufungia leseni za vyombo vya habari 30 kufikia mwisho wa 2022. Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari kwa Kusini mwa Afrika...
  13. GENTAMYCINE

    Kuna watu najua tu vigingi hivi vitatu vitawaacha vichwa chini, watagombana na hadi kutafutana uchawi

    1. Kwa Simba SC anaziacha Alama 3 2. Kwa Namungo FC anaziacha Alama 3 3. Kwa Azam FC anaziacha Alama 3 4. Kwa Mbeya City FC anaziacha Alama 2 5. Kwa Biashara United FC anaziacha Alama 2 6. Kwa Coastal Union FC anaziacha Alama 2 7. Kwa Polisi Tanzania anaziacha Alama 2 Na katika ASFC dhidi...
  14. Mshana Jr

    Vitu vikubwa vitatu vilivyosababisha kesi ya ugaidi ifutwe na DPP

    Achana na ajabu la kesi ya ugaidi kufutwa! Kuna vitu havitokei bahati mbaya ama kwa mara moja. Kila kitu kina mchakato wake. Mipango na utekelezaji Kesi ya ugaidi iliyokuwa ikimkabili mwenyekiti Taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake watatu imefutwa na washtakiwa wote wameachiwa huru kwa...
Back
Top Bottom