Search results

  1. ESPRESSO COFFEE

    Neymar Jr. ataweza kurudi na uwezo wake wa zamani?

    Itakumbukwa kuwa Mwaka 2023 Mwezi wa 9, Mshambuliaji wa The Al-Hilal ya Saudi Arabia, Neymar JR alipata majeraha kwenye Goti ambayo yanamfanya kukaa nje ya Uwanja kwa Muda wa Miezi 6-12 Majeraha haya ya goti yatamfanya Neyma JR kukosa Michuano ya Copa America 2024 inayo tarajia kuanza June...
  2. ESPRESSO COFFEE

    Ni kweli Robertihno kocha?

    Kuna Vitu Vinafikirisha Sanaa, hasa Ukiangalia Namna Kocha Mkuu wa Simba anavyo ongoza Timu. Nahisi Kocha Wa Simba Anabebwa na Matokeo zaidi kuliko uwezo wake. Najiuliza Maswali Mengi sana 1. Kwanini Kocha wa Simba Anacheza Na Timu as If ina Wachezaji 11 tuu? Kwanini Hafanyi Rotation ya...
  3. ESPRESSO COFFEE

    Je, Simba SC tunalo la kujifunza kutoka kwa Yanga SC?

    Sio Kwa Ubaya, Nikiri Wazi Mimi ni Shabiki Kindakindaki wa Simba Sc. Naipenda Hii Timu mnoo. Ila Katika mpira au Biashara yoyote ya Ushindani Ni Vizuri kujifunza Mpinzani wako wa Karibu yeye anafanye ili uweze kufika Mbali. Timu Za Simba Na Yanga Zote zilifanya Usajiri kwa Muda unao fanana na...
  4. ESPRESSO COFFEE

    Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

    Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika Finali ya Ngao ya Jamii. Mchezo wa awali utakuwa ni majira ya saa tisa alasiri leo kati ya Azam FC...
  5. ESPRESSO COFFEE

    FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023

    Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa wana simba. Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja. Kuanzia Saa 2...
  6. ESPRESSO COFFEE

    Kibarua cha Robertinho kipo hatarini

    Uongozi wa Simba Umeamua, Uongozi Wa Simba Umewasha Moto, Uongozi wa Simba This Time Around hawacheki na Mtu yeyote, Uongozi wa Simba This Time Ni Kimodaaa, Ni waya Ya Umeme. Kwa Usajiri unaofanywa na simba hakika Sio Mapendekezo ya Kocha, Ni wao Kwa Utashi wao wameangalia Timu kwa Misimu...
  7. ESPRESSO COFFEE

    Hongereni sana uongozi wa Simba SC

    Ikiwa Harakati za Usajiri, Uhamisho wa Wachezaji na Pre Seasons Zikiendelea katika huu Mwezi, Huku Azam FC wakionesha Kuwa This Time Around wako Serious Sana na Pre Season Kipekee Kabisa Niwapongeze Viongozi wa SIMBA SC. Baada Ya Kujifunza Kwa Misimu Miwili ni Wapi Walikosea, Sasa Wamerekebisha...
  8. ESPRESSO COFFEE

    Usajiri wa Samatta Paok. Mashabiki waonekana kutofurahia usajili wake

    Club ya PAOK ya Nchini Ugiriki imetangaza Kumsajiri Mtanzania Mwenzetu SAMATTA akitokea Fenabache, Cha Kushangaza nimepia Comment za Mashabiki asilimia 99% hawajapenda Usajiri wake. Kwa msaada wa Insta Translator nimeweza kuelewa wanacho kimaanisha, Wengi wanasema ni Striker Mbovu kuwahi...
  9. ESPRESSO COFFEE

    Kwanini Simba wameshindwa kumsajiri Feisal Salum?

    Habari, Kwa mwenendo ulivyo katika Timu ya Simba hasa upande wa kikosi, nilifikiri katika maboresho ya kikosi chao ili kuweza kufanya vizuri kimataifa na ligi ya ndani walikuwa wanahitaji mchezaji mzawa kama Feisal Toto. Hili sakataka la Feisal Toto lilivyokuwa linakwenda ulikuwa ni wakati...
  10. ESPRESSO COFFEE

    Isemavyo mitandao ya kijamii kuhusu uzinduzi wa Ikulu Dodoma

    Baada Ya Safari Ndefu Ya Milima na Mabonde, Leo Ikulu Imezinduliwa Dodoma. Kwasababu sijaweza kwenda Dodoma, Nimekuwa nikifuatilia hili Jambo Kupitia Mitandao ya Kijamii na Blogs Mbalimbali. Nimekuwa Msomaji Mzuri wa Comments za Watu kuhusu Uzinduzi wa Ikulu hii Ya Dodoma Leo. Hakika Niseme...
  11. ESPRESSO COFFEE

    Wasanii wa Kike mna la kujifunza kutoka kwa Rosa Ree

    Katika Hali Ambayo kila mmoja hakutegemea, Rosa Ree Leo ikiwa ni Siku Ya Kina Mama Duniani, Ameamua Kuweka wazi Kuwa Alikuwa Mjazimto na akafanikiwa kujifungua mtoto wake ambaye anamlea hadi sasa. Dalili zinaonesha Rosa Ree imepita miezi kadhaa tuu Toka Ajigungue mtoto huyo. Watu wengi sana...
  12. ESPRESSO COFFEE

    Ni nani atusaidie Tanzania Kama Taifa katika Matamasha?

    Nimekuwa Nikufuatilia Matamasha Mbali Mbali Ya Muziki Tanzania, Muziki wa Injili hata Ule wa Kizazi Kipya. Ni kiri wazi Kuwa Wapenzi wa haya Matamasha Wamekuwa Hawatendewi Haki kabisa Kabisa Kutokana na Gharama wanazo tumia Kuhudhuria haya Matamasha na Burudani wanayo pewa. Hakuna Tamasha...
  13. ESPRESSO COFFEE

    Logitech Speakers Vs Samsung TV

    Wakuu habarini. Majuzi nilinunua Speaker za Logitech 5.1 hizi speaker mwisho zina pins 3 (Nyeusi, Orange na Kijani) hizi Pins zina Size ya pins za PC headphones / EarPhones. Halafu nikanunua Smart TV Samsung 65 nch 4k QLED. Hii TV hiana Sehemu ya Kuconnect Hizo Pins za Logitech Speaker kupata...
  14. ESPRESSO COFFEE

    Hamornize ni lini ataacha malalamiko?

    Namkumbuka Mwanasiasa Maarufu Kuwahi Kutokea Tanzania, Mh. Edward Ngoyai Lowassa (Mungu amsaidie Apone Haraka) aliwahi kusema kuwa, Watanzania Hatuhitaji mambo Makubwa na Mengi zaidi ya ELIMU..!!! ELIMU..!!! ELIMU…!!! Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya...
  15. ESPRESSO COFFEE

    Ukweli kuhusu tuzo ya Mayele

    Wakuu…. Naona Sakata la Fei Toto Linakuja na Propaganda nyingi. Leo Watu pamoja na Page Rasmi ya Yanga, zimepost na kumpongeza Mayele kuwa Mchezaji Bora wa Congo. Bahati mbaya sana Watanzania Wengi sio Wafuatiliaji na kujua ni nani Yupo Nyuma Ya Hizi Tuzo. Hizi tuzo zimetolewa na “Media” ya...
  16. ESPRESSO COFFEE

    Kwanini wanawake wa Kitanzania wanadharau za kijinga?

    Leo Nipo Na Nyie humu, Baada Ya Kutembelea “Robo Tatu” ya Nchi za Afrika na Nchi kadhaa za Ulaya na Asia, Nimegundua Wanawake wakitanzania Huwa na Dharau za Kijinga mbazo Baadae hufanya Wajutie. Wanawake wa Kitanzania akikuona Kwa Mara ya Kwanza Hushusha “Value” Ya Mwanaume Chini Kabisa Hadi...
  17. ESPRESSO COFFEE

    Ushauri wa bure kwa wanawake na wanaume

    Leo nimeamua Kuja Kwenye Jukwaa langu Pendwa Baada Ya Kupotea Kwa Muda Mrefu. Sote Tunajua Kuwa mapenzi na Siasa Ndio vinavyo ‘Run’ dunia Kwa Sasa. Mimi Sio Mwanasiasa “So” Siwezi Kuongelea Siasa…. Nitaongelea vitu muhimu ambavyo ndani yake kuna “Mapenzi” Ni Kawaida Sana Mwanaume kumtongoza...
  18. ESPRESSO COFFEE

    Yanga SC 4-1 Singida Big Stars FC | Ligi Kuu Tanzania Bara | 17-11-2022

    90' Mpira umekwisha 85' Shuti la Kagere akiwa na kipa linapanguliwa. 82' Kisinda anakosa goli akiwa yeye na kipa, shuti lake linapanguliwa. 74' Singida wamepata uhai kidogo na wanafanya mashambulizi, Kagere anaipatia Singida goli. 65' GOOOOOOOOOOOOOO! Mayele anafunga goli la nne kwa Yanga na la...
  19. ESPRESSO COFFEE

    Dalili zinaonesha kuwa Simba hawana malengo na Kombe la CAF

    Mimi ni shabiki kindaki ndaki wa Simba, na nimekuwa mfuatiliaji wa timu yangu pendwa ya Simba, lakini kuna muda inakosesha amani na kunikatisha tamaa ya kuendelea kuipa imani yangu. Najihisi kupata ugonjwa wa moyo na hii timu. Nimekuwa nikifanya kila viongozi wa timu watakalo i.e kwenda...
  20. ESPRESSO COFFEE

    FT: Mchezo wa kirafiki: Malindi SC 0-1 Simba SC

    Kama kawaida Kama Dawa. Mashabiki wa Simba Hatuna Dogo. Tunakuletea Live uptdates Za Mechi Ya Kirafiki kati Ya Malindi Sc Ya Zanzibar Na Simba Sc. 01” Mpira Umeanza 05” Msc 0 SSC 0 13” MSC 0 SSC 1 20” MSC 0 SSC 1 23” Jimmyson Mwanuke Anaingia kuchukua nafasi ya PB aliye umia. 32” MSC 0...
Back
Top Bottom