Hongereni sana uongozi wa Simba SC

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Ikiwa Harakati za Usajiri, Uhamisho wa Wachezaji na Pre Seasons Zikiendelea katika huu Mwezi, Huku Azam FC wakionesha Kuwa This Time Around wako Serious Sana na Pre Season Kipekee Kabisa Niwapongeze Viongozi wa SIMBA SC.

Baada Ya Kujifunza Kwa Misimu Miwili ni Wapi Walikosea, Sasa Wamerekebisha Makosa Kwa 90%. Kwa Misimu 2 Simba Sc Ilikuwa ina Tatizo Kubwa Katika Bench La Ufundi Upande wa Kocha Wa Viungo, na Mtaalamu wa Tiba Ya Viungo.

Hii Changamoto imetutesa Simba Kwa Misimu Miwili Mfululizo baada ya Adel Kuondoka. Lakini This Time Around Viongozi Wamelifanyia kazi Mapema sanaaa Kabla Msimu Kuanza na Kwa Hakika Bench La Ufundi Sasa Limesheheni Wataalamu kweli kweli. Sina Hakika Kama Tutaendelea Na Mgunda kwa Sababu sijamuona Muda mrefu Mazoezini.

Simba Msimu huu Logistics zimekaa Vizuri sanaaa, Hadi Sasa Wamewaacha Wachezaji 5 wakigeni Wamesajiri Wanne 4 bila Kumuuza Yeyote Wamebaki na Nafasi 1, Kati Ya 4 walio sajiriwa Wameziba nafasi Muhimu ambazo zilionekana ni Changamoto msimu uliopita.

Hii Nafasi 1 inaweza kuwa Ya Luis na Kama Wataamua Kumuacha Mchezaji mwingine Wa Kigeni bado watakuwa na nafasi ya Kusajiri Mshambuliaji mwingine wa Kigeni. Wamesha Waacha OKWA, OKRA, QOUTTARA, AKPAN na ONYANGO. Wamesajiri CHE, AKRAM, ONANA na NGOMA. Hii imekaa kitaalamu Sanaa, Bado Baleke na Phiri wanaweza kuleta Impact kubwa.

Manula Bado Anafanya Kazi Nzuri sanaaa, Kumleta Kipa Wa Kigeni Itakuwa Ni Matumizi Mabaya ya Nafasi za Kigeni na Pesa, Huwezi Kumleta Kipa Wa Kigeni kuwa Kipa Namba Mbili, Wote tujaujua Mziki wa Manula akiwa Sawa. So Twende Timu ya Ligi Kuu Tanzania Tuwavuruge tuchukue kipa Wao, Kuna Timu za Ndani zina Makipa Wazuri sana wamefanya makubwa msimu Ulio Pita.

Wasiwasi ni Kama Kocha Anaweza Kwenda Sawa na Hawa wachezaji wazuri wote walio Sajiliwa, Anaweza Muweka Akram Bench na Akaenda na Kibu Denis Ambaye Mechi 10 anacheza Ovyo mechi Moja ndio anacheza Vizuri

Ili simba Ifunguke Vizuri, Saidoo Alipaswa Kuuzwa Pamoja Na Makubwa aliyo fanya msimu Uliopita, Msimu huu anaweza asitupatie kile alicho Tupatia msimu Uliopita, nina Wasiwasi... Na Saido Kwa Kigezi cha Umri na Ubora wake Msimu ujao, Bila Kujari nini amefanya msimu huu ulio malizika. Pale Kati Chama Angepavuruga Peke Yake huku Pembeni kuna Akram, Onana na Luis ile Simba ya 2020 ingekuwa imerudi.

So Far so Gooood..... Sina wasiwasi na Kambi inayoendelea, Kwa Timu zote kipindi hiki huwa ni ngumu kuwakutanisha wachezaji wote kwasababu wachezaii ni binadamu pia. Hadi Sasa Timu nzima Ipo Kambini Isipokuwa Chama, Ngoma na Sakho.

Mgunda na Robertihno hawapo Kambini lakini tunaamini Wiki inayokuja Mambo yatakuwa Mazuri. Wachezaji wote walio Uzwa ni Wale waliokuwa Bench hivyo simba Wiki 3 tuu zinawatosha kujuana na Wachezaji wakigeni walio sajiriwa na Kuanza Mikiki Mikiki.

Kipekee niseme hongereni sana uongozi wa Simba Sc
 
Hapa ndio UMEPUYANGA, Saidoo auzwe?? kwanini unajitabirisha kwamba msimu huu hatafanya kile alifanya mwaka jana
 
Bandiko zuri ila tathmini yako kwa Kibu haiko sahihi sana. Kibu amekuwa na muendelezo mzuri kwa muda sasa.

Nakuunga mkono kuhusu Saido, nadhani alikuwa na mkataba mfupi na aliongezewa msimu ulivyoisha. Angeachwa fyokofyoko na kebehi kutoka puyanga zingekuwa nyingi. Alikuwa na performance nzuri mechi ya kwanza alipojiunga na Simba na za mwishoni kabisa za ligi. Labda alibakizwa ili ile first 11 isitikisike sana kipindi hiki cha mpito lakini inawezekana mkataba wake bado ni mfupi.
 
Wewe utakua wakala wa Kibu sio bure
 
Sasa beki ya kati, baada ya Onyango kuondoka, ni Inonga na Malone pekee katika michuano yote hiyo? Au mnamtegemea Kennedy?
 
Msimu huu Chama asichezeshwe pebeni, Chama ni 10 sio winga
Inakera sana speed ya konokono inawezekana mwalimu hakuwa na option, Triple C pembeni hapamfai nafikiri hata yeye mwenyewe hapendi basi tu.
 
Tunasubiria pia kuziona hizi pongezi zenu pale Ligi itakapokuwa imechanganya.
 
Sasa beki ya kati, baada ya Onyango kuondoka, ni Inonga na Malone pekee katika michuano yote hiyo? Au mnamtegemea Kennedy?
Kumepungua nini? Kaondoka Onyango kaingia Malone...na Kennedy atakua kama zamani mbonaa?.
Ila SteveMollel ulituacha vibaya kule entertainment
 
Back
Top Bottom