Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Ni siku nyingine tena, siku nzuri kwa wapenda burudani za mpira wa miguu. Kilele cha Ngao ya Jamii kutokea Mkwakwani Tanga. Watani wa jadi watashuka dimbani majira ya saa 1 usiku kukipiga katika Finali ya Ngao ya Jamii.

Mchezo wa awali utakuwa ni majira ya saa tisa alasiri leo kati ya Azam FC na Singida Fountain Gate wakiwania kumpata mshindi wa tatu.

Nitakuletea live updates za michezo yote kutokea Mkwakwani Tanga, kivumbi ni leo.

Baki na mimi hapa hapa.

IMG_9580.jpg

FINAL NI KARIAKOO DERBY
IMG_9579.jpg
======

Kutafuta mshindi wa tatu

MCHEZO UMEANZA

0’ AZAM FC VS SINGIDA FOUNTAIN GATE

01 AZAM FC wanapata Goli Kupitia Kwa Dube baada ya Makosa Ya Kipa Beno

42’ AZAM wanapata Goli la Pili kupitia kwa Sopu

FT : AZAM SC 2 SINGIDA FOUNTAIN GATE 0

AZAM SC NI MSHINDI WA TATU WA NGAO YA JAMII 2023/2024

NEXT : YANGA SC Vs SIMBA SC

View attachment 2716475

View attachment 2716476

01’ YANGA SC 0 SIMBA SC 0

Kipindi cha kwanza kimekamilika, matokeo bado ni 0-0, ushindani ni mkali na timu zote zinashambuliana kwa zamu lakini kumekuwa na uhaba wa mashuti yaliyolenga lango (on target).

Tusubiri Kipindi cha Pili tuone mambo yatakuwaje.

F3bGprnWUAAzu7j.jpg
Kipindi cha Pili

FT 0-0

PENALTIES YANGA 1 SIMBA SC 3
 
Naitakia ushindi mnono timu yangu ya Wananchi, hata kama hao waandaji wana ajenda zao za siri za kutaka kuibebba timu fulani kupitia waamuzi wa kike! Ila naamini haki itapatikana tu.
Malalamiko mapema hivii...

Utopolo hamjiamini kabisa masikini, sijui tuwaachie tu mshinde?!

Tatizo mnalia sana..
 
Naitakia ushindi mnono timu yangu ya Wananchi, hata kama hao waandaji wana ajenda zao za siri za kutaka kuibebba timu fulani kupitia waamuzi wa kike! Ila naamini haki itapatikana tu.
Usipeleke timu uwanjani otherwise haya ni majungu tu
 
Back
Top Bottom