FT: Mchezo wa kirafiki: Malindi SC 0-1 Simba SC

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Kama kawaida Kama Dawa. Mashabiki wa Simba Hatuna Dogo.

Tunakuletea Live uptdates Za Mechi Ya Kirafiki kati Ya Malindi Sc Ya Zanzibar Na Simba Sc.

01” Mpira Umeanza

05” Msc 0 SSC 0

13” MSC 0 SSC 1

20” MSC 0 SSC 1

23” Jimmyson Mwanuke Anaingia kuchukua nafasi ya PB aliye umia.

32” MSC 0 SIMBA SC 1

47” MSC 0 SSC 1

Simba Wanafanya Mabadiriko Anaingia Kibu Denis na Kanoute
 
IMG_5898.jpg

KIKOSI CHA MNYAMA
 
Mkuu ni Malindi siyo Mlandizi waombe mode warekebishe
Kama kawaida Kama Dawa. Mashabiki wa Simba Hatuna Dogo.

Tunakuletea Live uptdates Za Mechi Ya Kirafiki kati Ya Malindi Sc Ya Zanzibar Na Simba Sc.

01” Mpira Umeanza

05” Msc 0 SSC 0

13” MSC 0 SSC 1
 
Back
Top Bottom