ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Leo nimeamua Kuja Kwenye Jukwaa langu Pendwa Baada Ya Kupotea Kwa Muda Mrefu. Sote Tunajua Kuwa mapenzi na Siasa Ndio vinavyo ‘Run’ dunia Kwa Sasa. Mimi Sio Mwanasiasa “So” Siwezi Kuongelea Siasa…. Nitaongelea vitu muhimu ambavyo ndani yake kuna “Mapenzi”
Ni Kawaida Sana Mwanaume kumtongoza Mwanamke anakuletea “Maringo”, akakukataa na muda mwingine akakudharirisha…. Hilo Lisikuumize ukiwa Wewe Ni “Mwanaume”. Kuna Muda unaweza kumpenda “Mtoto wa Mama Mkwe” ukawa na Malengo naye Makubwa lakini “Mwanamke” akakuumiza sanaa na kujuta au kutaka kutoka Uhai wako kaa chini kama “Mwanaume” tulia na Tafakari haya Ninayo kwambia.
Mwanamke Akifikisha “Miaka 35” “kisayansi” na “kimedicali” huwa tunamuweka kundi la “ADVANCED MARTENAL AGE”, Kwa Lugha Nyepesi ni “Mzee” Najua wanawake Hamkujua Hili, Ila Tuseme ukiwa Mjamzito ukaenda Hospitali Ukaandikisha Una miaka 35 automatically tunakuweka kwenye kundi la Mtu alieshika Mimba Uzeeni na Anahitaji uangalizi wa karibu na Vipimo vya mara kwa mara kuhakikisha kuwa Mtoto anakuwa salama na hapati “abnormality” yoyote ile kifupi kwenye “Notes” zetu wewe ni Mzee (Advanced Maternal Age). Kitu Kingine Mwanamke Kadri anavyokua “Matiti” yanazidi kufunguka, yanafunguka zaidi akifika umri wa “Miaka 35” na Huo ndio umri wa kuweza kuanza kufanya uchunguzi wa Saratani ya Matiti kwa Mwanamke kwasababu huwa na “Matiti ya Kizee” ambayo ni rahisi zaidi kufanya Uchunguzi. Nimeongea kwa Lugha Nyepesi lengo sio kuwasema Wanawake Hapana Lengo ni kuonesha Kwa Kiasi Gani Mwanamke Akifikisha Umri wa Miaka 35 basi sio kijana Tena.
Kwa Upande Wa wanaume wao Hawana Huo Umri, Zaidi Kwa Mwanaume tunaweza kuwaza Tezi dume kuanzia Miaka 45 na Kuendelea Tofauti ya “Miaka 10” na Mwanamke. Mwanaume hana “Advanced Partenal Age” anaweza kuwa na “Miaka 75” na Bado akampa Mimba Mtoto wa “Miaka 20” so Kwa Upande wa Umri Graphy ya Mwanamke huwa inashuka kwa Kasi kuanzia Miaka 35 na Kuendelea wakati huo Mwanaume akidunda na Graph yake Kupanda.
Lengo La Kusema Haya Ni nini? Ewee Mwanaume ukisumbuliwa na Msichana wa “Miaka 18-30” isikuumize kwa Namna Yoyote ile Tambua Kuwa Mwanamke Ana Miaka 12 tu! Ya Kuringa na Kumsumbua Mwanaume. Mwanamke mwenye Miaka 18-30 huamini vitu “vikuu 3” Moja Ni Wakati uliopo, Huamini kuwa ule ni wakati wake anaweza kufanya lolote (Ni kweli Tunakubali), Pia Huamini katika “Future” yake ndio Umri ambao huamini anaweza kuja kuwa Yeyote yule kama Anasoma Anaamini atakuja kuwa Mwanasheria, Daktari nk. So kuamini katika Future yake kunamuongezea majivuno na Maringo… Mwisho Ni Uzuri kwasababu hutongozwa sana Katika Umri huo hivyo hujiona yeye ni Mzuri na Anaweza kuwa na Yeyote hata akikuacha wewe leo… Ewe Mwanaume Haya Yasikuumize, Mpe Muda Wa Miaka kadhaa Atakutafuta baada Ya kufika “Miaka 35” ndio maana Ni Mara Chache sana Mwanamke mwenye Miaka 35 na Kuendelea kumkatalia mwanaumwe.
Ni kutie Moyo Mwanaume Unaye Sumbuliwa na Mapenzi, Angalia Anaye Kusumbua Umri waka Kama ni “Below 35” mpe Muda Akifaka 35 na Kuendelea “Atakusalimia Kwa Heshima” Sikumbuki Ni Wanawake wangapi wenye Umri zaidi Ya Miaka 35 ambao nimesha Tembea nao Kirahisi mnooo.
Ni Hayo Tuuuu….