Kwanini wanawake wa Kitanzania wanadharau za kijinga?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,660
Leo Nipo Na Nyie humu,

Baada Ya Kutembelea “Robo Tatu” ya Nchi za Afrika na Nchi kadhaa za Ulaya na Asia, Nimegundua Wanawake wakitanzania Huwa na Dharau za Kijinga mbazo Baadae hufanya Wajutie. Wanawake wa Kitanzania akikuona Kwa Mara ya Kwanza Hushusha “Value” Ya Mwanaume Chini Kabisa Hadi pale atakapo jua “Status” ya Mwanaume aliyepo Mbele yake ndio hupandisha Juu “Value” ya yule Mwanaume,Muda Mwingine Hujikuta Wamechelewa.

Mwanamke wa Kitanzania tofauti na wanawake wengine wa Kiafrika Hawezi kukupa heshima unayostahili mwanaume hadi akujue wewe ni nani? Ndio Muda Ambao Hata ukimsalimia anahisi unamtaka.

Hawa Wanawake Wa Kitanzania kwa Sababu ya Ushamba na Ulimbukeni hata wakifika Nchi za Watu hujikuta wanapoteza dhamani yao kwa Wa Nigeria, Wa Ghana na Wanaume wa nchi zingine kwasababu wanaamini kuwa hao wanaume wana status fulani kumbe shida ni Kama Zetu.

Nimekutana na Wanawake wa Kitanzia katika nchi nilizotembelea wakiteseka sana na Mapenzi kwasababu ya Ulimbukeni na wakizalishwa na Kuacha. Hakuna Kitu kirahisi kama Kutembea na Mwanamke wa Kitanzania Mkiwa Nchi za Ugenini ni rahisi Mnoo.

Ni wapongeze wanaume wakitanzania, ndio wanaume wanaopendwa na kutafutwa mnooo na wanawake wa Mataifa Mengineee. Muda mwingine nikiwa Nchi za Watu nimekuwa Sijitambulishi kama Mtanzania kuogopa Kusumbuliwa na Wanawake wa Mataifa Mengine.

Kwasababu, Kwanza Wanaume wa Kitanzania Ni wachache sana Nchi zingine, Lakini Pili sifa Zao ni nzuri mnooo zinazofanya wanawake wa Mtaifa Mengine wavutiwe nao sanaaaa…(Mlio Nje Ya Nchi Mtakubaliana na Mimi katika Hili).

Mfano, Nigeria Kwa Population Wanawake ni Wachache sana Kuliko Wanaume, Hivyo wanaume huhitaji kutumia nguvu kubwa sana Kumpata Mwanamke ikiwa ni pamoja na Kuhonga, Ile imekuwa Culture yao, Hata wakiwa Nchi zingine hufanya Hivyo, Lakini Ndio wanaume wanao ongoza kwa kuwachezea wanawake hasa wa Kitanzania, Kutembea nao na Kuwaacha, Lakini hilo huwezi kuona Kwa Mwanaume wa Kitanzania.

Mwanaume wa Kitanzania hata kumtelekeza mtoto au mimba akiwa Nchi za Ugenini ni ngumu sana no matter magumu gani anayapitia. Kongole wanaume wa Kitanzania.

Turudi kwenye Mada, Nina Scenario Mbili ndogo, ukitaka Safari yako ya Ndege iwe ya kuboa, na Kukera basi pata Siti Moja na Mwanamke wa Kitanzania utasimlia, Nakumbuka Kuna Dada wa kitanzania Tulikaa siti moja, mimi yeye na Mwanaume wa kiburundi, Yule Dada Anafanya Biashara ya Nguo, na Ilikuwa mara yake ya pili kusafiri na Ndege.

Mwanaume wa kiburundi alijaribu kumuongelesha yule dada, alioneshwa dharau ambayo utasema hawa watu wanajuana na wana ugomvi. Moyoni niliwaza huyu dada Biashara yake itakuwa kweli kama Anadharau watu ambao wanaweza kuja kuwa wateja wake?

Scenario Nyingine Nilikaa siti moja na Mwanamke wa Ki South Afrika tukitokea nchi Fulani, Japo Kingereza Changu, Cha Shilole kina nafuu ila Safari ilikuwa ni nzuri Mnoo kwa Uchangamfu wa Yule Dada, Mwisho Aliniambia kazi yake kubwa ni Tax auditing katika nchi za Afrika Zilizo Chini ya AU hivyo anasafiri sana na Hela Anayo. Nikawaza Hii status angekuwa nayo mtanzania ningejuta kuzaliwa leo. Yule Dada Ni Rafiki Yangu mkubwa hadi leo.

Wanawake wa kitanzania Acheni dharau mnapoteza Opportunity ambazo hamzijuii Maisha ya Kitanzania ni Lazima Uwe na “Connection” tengenezi connection na watu hamjui kesho yenu.
 
Uko sahihi sana sana, japo umetoa mifano michache ila experience yangu hujakosea kbisa
 
Ukimuita umsabahi, anajua unamtaka.
Wajinga kweli na washamba na siyo wanawake ata wanaume tena wanaume akishapata cheo ata salamu atoi, tofauti na wazungu, mzungu anaweza kuwa na cheo kikubwa na mkapiga naye story bila kuangalia mavazi vyako, na ukitongoza mademu wa nje wao awangalii mavazi ndiyo waanze kukusikiliza

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi sana sana, japo umetoa mifano michache ila experience yangu hujakosea kbisa

Mkuu nina Mifano Mingi uzi usingetosha, Tatizo ni Kubwa. Kuna Dada alileta dharau tuliwa Lounge tunasubiri kubord kumbe anako enda amepewa hela za Kigeni na Hajabadilisha, hana hata Visa / Master Card, tulipo fika ile nchi alikaa bila uelekeo hajui kwa kwenda na Mwenyeji wake hapatikani kwenda counter kubadirisha hela ile hela ilikuwa ni ndogo mnooo….

Utanzania ndio ulinifanya nimsaidie kusema huyu naweza kuja mkuta kwa Millard Ayo ngoja nimsaidie… ..
 
Ni ushamba wanasumbuliwa nao.

Kingine wanaume wa kibongo wengi ni maboya kwahyo washazoea kupigiwa magoti na kubembelezwa kama wanakunya cake
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Mkuu nina Mifano Mingi uzi usingetosha, Tatizo ni Kubwa. Kuna Dada alileta dharau tuliwa Lounge tunasubiri kubord kumbe anako enda amepewa hela za Kigeni na Hajabadilisha, hana hata Visa / Master Card, tulipo fika ile nchi alikaa bila uelekeo hajui kwa kwenda na Mwenyeji wake hapatikani kwenda counter kubadirisha hela ile hela ilikuwa ni ndogo mnooo….

Utanzania ndio ulinifanya nimsaidie kusema huyu naweza kuja mkuta kwa Millard Ayo ngoja nimsaidie… ..
Kuna tatizo kubwa sana Kwa wabongo hata wanaume one love ya kweli hasa ugenini haipo wengine hate na majungu, mfano south Africa Adui mkubwa wa mtanzania ni mtanzania mwenyewe
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom