Hamornize ni lini ataacha malalamiko?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Namkumbuka Mwanasiasa Maarufu Kuwahi Kutokea Tanzania, Mh. Edward Ngoyai Lowassa (Mungu amsaidie Apone Haraka) aliwahi kusema kuwa, Watanzania Hatuhitaji mambo Makubwa na Mengi zaidi ya ELIMU..!!! ELIMU..!!! ELIMU…!!!

Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya Kumaliza Kuzungusha Mikono bado alisisitizia ELIMU…!!! ELIMU…!!! ELIMU…!!! kwa Watanzania.

Leo Nimemkumbuka Mh. Edward Ngoyai Lowassa baada ya Kuona Malalamiko Ya Harmonize kupitia Insta Stort Yake. Harmonize Analalamikia kutokulipwa Pesa Za Mauzo ya Mziki wake na Kutishia Kutafuta Distribution and Publucation company Mpya Kama kampuni Ya Mzikii haitaweza Kumsaidia.

Ameenda Mbali zaidi na Kusema kuwa hata Kwangwaru ambayo ilifikisha Views Millioni 100 hakupata Hata USD Dollar 1 ya Distrubution and Publication. Ameomba Mzikii wamuoneshe njia Ya Yeye kupata hizo haki zake. Back to the Point, Harmonize Anakosa ELIMU..!!! ??? Au Ameamua Maisha Yake yawe kuwa Kila Mwaka Awe na Jambo…??

Harmonize katika Maandiko yake Ameonesha Kuwaalaumu na Kuwavaa Record Lable ya Wasafi Kama Wanyonyaji na wanaendelea Kumnyonya kupitia Distribution and Publication ya Kazi Zake. Tulisha Jadiri na Kumshauri Harmonize Kuwa Sisi anao Tulalamikia Instagram hatuna Mkataba wake wala Hatuna kitu chochote kinacho Tuonesha Makubaliano waliyo yafanya Kati yake na Wasafi.

Ni vyema Harmonize Akaenda Mahakamani na Kufanya Mambo Yake kimya Kimya Bila Kuwatishia Mzikii kuwa aanaondoka Au ata fight na mtu kama anahisi Ana Haki ya Kupata Anacho stahili. Ni vyema sana hawa wasanii wakawa na ELIMU…!!! Ya Sheria Kuelewa Kwa Undani Mikataba wanayo ingia badala ya kuja Public na kutafuta Huruma Ya watu Wa Instagram kuhisi unanyonywa wakati Sio. Nacho elewa ni kuwa Ukiwa Chini Ya Record label Au Kampuni Yoyote kuna Vitu vingi kisheria unakuwa hauhisiki moja Kwa Moja na Badala Yakd kampuni inakuwa inakusimamia.

Ni wakati sasa Wa Harmonize kukubari kuwa kuna Pahala Alikosea na Hayupo Tena Wasafi. Otherwise afanye Publication ya Makubaliano waliyo yafanya Ili wale waliobobea Sheria Wamsaidie. Management ya Harmonize inakosea Vitu vingi sana na Ipo siku watakuja Kulipa Gharama kubwa sana kama wenye Hizi Kampuni anazo Zishambulia Public wakiamua Kutafuta Heshima Yao mahakamani na Kuchoshwa Kuuliwa Brand Yao. Harmonize Hajafikia Level ya Kuwatishia Mzikii au Wasafi kwasababu Alikotokea Kila Mmoja Anakujua.

Ni wakati sasa wa yeye kuacha Wachumba zake kuwa Ma-manager na Kuwatafuta watu wenye uweledi wamsaidie katika management ya Mziki wake. Huwezi Ukamuweka Mpenzi wako ambaye hata hamjaoana kuwa Manager wako ukategemea mafanikio.
IMG_2585.jpg

IMG_2586.jpg

IMG_2587.jpg
 
Yaani huyu jamaa kanishangaza sana na hizo post zake inaelekea hata music industry haelewi na haelewi hata Royalties zinakuwaje katika music industry yaan kifufupi yeye na team yake hawaelewi haya masuala...

1..Anasema anamiliki asilimia 100 ya kazi zake wakati hapohapo anasema anacollect kazi zake kwa distribution company(ambayo kaitaja hapo ni ziiki media) hadi hapo kashakosa uhalali wa kumiliki kazi yake kwa asilimia 100 maana hizo distribution companies music royalties zote wanakuwa wanazishikilia wao kazi yao hapa inakuwa tu kugawana rights za royalties kwa songwriters, recording artists, labels, publishers, producers kulingana na mkataba wa aslimia..sasa hatujui mkataba walioingia na hao ziiki media maana sometimes Distributors wanakuwa na hatimiliki ya asilimia mia ya kazi zako sometimes labda wanakupa kiasi ladhaa cha fedha mwanzoni ya kwamba kazi zake zilete hasara au faida hiyo itakuwa haikuhusu wewe umeshakula chako before,sasa hatujui huenda kuna malipo ya advance ya awali Harmo alipokea kajala kammalizia Mmakonde wa watu kashasahau

2.sijamuelewa anaposema anataka distribution company na publishing company..wakati kwa maelezo yake kashasaini mkataba na Ziiki wa distribution hapohapo anatangaza instagram anataka distrobution company asap,Lol! Anasema anamiliki kazi zake asilimia mia na wakati hapohapo ziiki wanafanya distribution ya kazi zake huu mkataba na ziiki kauona na kuusaini kweli huyu mmakonde au kasainiwa mbona kama haelewi anachokitaka!?
 
Namkumbuka Mwanasiasa Maarufu Kuwahi Kutokea Tanzania, Mh. Edward Ngoyai Lowassa (Mungu amsaidie Apone Haraka) aliwahi kusema kuwa, Watanzania Hatuhitaji mambo Makubwa na Mengi zaidi ya ELIMU..!!! ELIMU..!!! ELIMU…!!!

Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya Kumaliza Kuzungusha Mikono bado alisisitizia ELIMU…!!! ELIMU…!!! ELIMU…!!! kwa Watanzania.

Leo Nimemkumbuka Mh. Edward Ngoyai Lowassa baada ya Kuona Malalamiko Ya Harmonize kupitia Insta Stort Yake. Harmonize Analalamikia kutokulipwa Pesa Za Mauzo ya Mziki wake na Kutishia Kutafuta Distribution and Publucation company Mpya Kama kampuni Ya Mzikii haitaweza Kumsaidia.

Ameenda Mbali zaidi na Kusema kuwa hata Kwangwaru ambayo ilifikisha Views Millioni 100 hakupata Hata USD Dollar 1 ya Distrubution and Publication. Ameomba Mzikii wamuoneshe njia Ya Yeye kupata hizo haki zake. Back to the Point, Harmonize Anakosa ELIMU..!!! ??? Au Ameamua Maisha Yake yawe kuwa Kila Mwaka Awe na Jambo…??

Harmonize katika Maandiko yake Ameonesha Kuwaalaumu na Kuwavaa Record Lable ya Wasafi Kama Wanyonyaji na wanaendelea Kumnyonya kupitia Distribution and Publication ya Kazi Zake. Tulisha Jadiri na Kumshauri Harmonize Kuwa Sisi anao Tulalamikia Instagram hatuna Mkataba wake wala Hatuna kitu chochote kinacho Tuonesha Makubaliano waliyo yafanya Kati yake na Wasafi.

Ni vyema Harmonize Akaenda Mahakamani na Kufanya Mambo Yake kimya Kimya Bila Kuwatishia Mzikii kuwa aanaondoka Au ata fight na mtu kama anahisi Ana Haki ya Kupata Anacho stahili. Ni vyema sana hawa wasanii wakawa na ELIMU…!!! Ya Sheria Kuelewa Kwa Undani Mikataba wanayo ingia badala ya kuja Public na kutafuta Huruma Ya watu Wa Instagram kuhisi unanyonywa wakati Sio. Nacho elewa ni kuwa Ukiwa Chini Ya Record label Au Kampuni Yoyote kuna Vitu vingi kisheria unakuwa hauhisiki moja Kwa Moja na Badala Yakd kampuni inakuwa inakusimamia.

Ni wakati sasa Wa Harmonize kukubari kuwa kuna Pahala Alikosea na Hayupo Tena Wasafi. Otherwise afanye Publication ya Makubaliano waliyo yafanya Ili wale waliobobea Sheria Wamsaidie. Management ya Harmonize inakosea Vitu vingi sana na Ipo siku watakuja Kulipa Gharama kubwa sana kama wenye Hizi Kampuni anazo Zishambulia Public wakiamua Kutafuta Heshima Yao mahakamani na Kuchoshwa Kuuliwa Brand Yao. Harmonize Hajafikia Level ya Kuwatishia Mzikii au Wasafi kwasababu Alikotokea Kila Mmoja Anakujua.

Ni wakati sasa wa yeye kuacha Wachumba zake kuwa Ma-manager na Kuwatafuta watu wenye uweledi wamsaidie katika management ya Mziki wake. Huwezi Ukamuweka Mpenzi wako ambaye hata hamjaoana kuwa Manager wako ukategemea mafanikio.View attachment 2525256
View attachment 2525257
View attachment 2525258
Kiki iyo
 
Kiki ya kubusti kwangwaru izidi viewers 100 izo
 
Yaani huyu jamaa kanishangaza sana na hizo post zake inaelekea hata music industry haelewi na haelewi hata Royalties zinakuwaje katika music industry yaan kifufupi yeye na team yake hawaelewi haya masuala...

1..Anasema anamiliki asilimia 100 ya kazi zake wakati hapohapo anasema anacollect kazi zake kwa distribution company(ambayo kaitaja hapo ni ziiki media) hadi hapo kashakosa uhalali wa kumiliki kazi yake kwa asilimia 100 maana hizo distribution companies music royalties zote wanakuwa wanazishikilia wao kazi yao hapa inakuwa tu kugawana rights za royalties kwa songwriters, recording artists, labels, publishers, producers kulingana na mkataba wa aslimia..sasa hatujui mkataba walioingia na hao ziiki media maana sometimes Distributors wanakuwa na hatimiliki ya asilimia mia ya kazi zako sometimula chako before,sasa hatujui huenda

hivi hizi distribution company kama ziiki zina distribute kazi wapi ambapo msanii wa tanzania anaweza kupata pesa?
 
Binafsi ninashindwaga kumuelewa Harmonize hoja nyingi alizojenga hapo ukiangalia hapo hapo kuna majibu ambayo yanaenda against na malalamiko yake sasa sijajua shida anajua anachofanya kutafuta kiki? Hajui au hana elimu ya Mziki? Mwisho msanii yoyote mwenye jina kubwa hawezi kubehave kama anachofanya harmonize.Harmonize haoneshi kama msanii mkubwa anakuwa kimziki bali matendo yako yanaonesha yeye ni still ni msanii mdogo anayepambana kuwa msanii mkubwa
 
Back
Top Bottom