Search results

  1. K

    Dkt. Mwaka akiri kulala na wakeze wawili chumba kimoja. Ashikwa kigugumizi kuhusu kushiriki nao tendo kwa pamoja 'Threesome'

    Kiranga, Dkt wa nini kwanza tuanzie hapa, kasoima chuo kipi hapa duniani, kasooma miaka mingapi na wapi? anatambulika MCT,MAT au ndo walewale
  2. K

    Tunafunga na kuuza vioo vya TV

    ml tatizo mafundi mnatamaa sana kwa nn usi kusanye hicho kidogo kidogo ukapata wateja wengi, mm nashida na kioo chaTv aina ya HIER nchi 50 ila kwa bei hii ni shida sana
  3. K

    Clouds Media, mnapenda sana umbea

    pole sana mkuu ila ndo aina ya radio stations tulizonazo na ndo aina ya watangazaji.tuliona nao, wengi wao wana upeo wa kawaida sana kuweza kualika academic interllectuals na kuweza kufanya mijadala yenye mashiko na faida kwa jamii. so uwahurumie tu. pili hata huyo wanayemhoji professionally ni...
  4. K

    Magufuli the Dictator of the Corrupt government officers

    Nigrastratatract you have something to tell but your english is verge , please seat down be calm and re-write.
  5. K

    MAKAMBO ATOWEKA KAMBINI

    Hili bakuli linafanana na la marehemu matonya !
  6. K

    Nabii wa Kitunda, kumuona ni sh. laki na nusu

    tatizo hujawa wazi mafuta yake yapi? tulia uandike vizuri, wengine hawaelewi unazungumzia mafuta gani na ya ujazo upi?
  7. K

    Naomba leo nikutoe tongo tongo la ufahamu kidogo: Je, wajua hichi kifaa cha ujasusi?

    HAINA NENO TUTAMWAMBIA RAIS WETU KIPENZI AWE ANAFUNGA NETI POPOTE ANAPOKUWA ILI HAWA JAMAA WASIJE WAKATULETEA MAMBO YA entrepreneurship hapa TZ. waishie hukohuko na mbu wao wa kuchonga
  8. K

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    biashara zetu tunazifanya kiajabu ajabu sana mtu anauliza bei unamwambia aje whatsap, unaulizwa kila kitu njoo whatsap watu wengine wanaogopa security ya namba zao. isitoshe tupo wengi tunaopenda kujua hata hizo bei sasa kama kitu ni njoo whatsap inakuwa shida kidogo
  9. K

    Aliyeporwa ushindi atembelea ubalozi wa Marekani

    to understand this u need to think out of the box. hawa jamaa huwa wanamatusi ya kiwango cha juu sana si lazma wakunyoshee kidole. When they to they mean a lot. wenye upande ule wameelewa.
  10. K

    Ujumbe mfupi wa meneno makapuni ya kubeti na michezo mbalimbali zimekuwa kero

    kiukweli ni tatizo lingine ambalo wahusika wanatakiwa wawe serious. unakuta inaissues za maana ghafla unasikia mlio wa sms na pengine ulikuwa na ahadi ya mtu akutumie hela sasa unasubiri. unasikia mlio unachukuwa simu kwa heshima zote lakini unakutana na huu upuuzi. pengine labda kwetu namba ya...
  11. K

    "Amber Ruty" anaweza kuigiza filamu za ngono

    mimi nadhani BASATA nao ni jipu tuu kila mara wanawaita na kuishia hapo. au wanapowaita huwa wanatoa maelezo ambayo yanatosha kuhalalisha huu upuuzi wanaopost kwenye mitandao. mimi siyo mjuvi wa sheria lakini kwa haya yanayoyanayoendelea kuwekwa kwenye mitandao yanaonyesha ni aina gani ya jamii...
  12. K

    Shinikizo la juu la damu (High blood Pressure) Fahamu chanzo, kinga na tiba ya tatizo hili

    pole sana kwa kuuguliwa, mpe pole pia mama . ningekushauri aende akaonane na Dr. Zipo baadhi ya dawa za pressure ambazo baadhi ya side effects zake ni maumivu ya kichwa so Dr ataona kama ipo haja ya kubadirisha dawa au kupunguza dose. lakini pia anaweza kufanya baadhi ya vipimo ili kujiridhisha...
  13. K

    Mafundi wengi ni wababaishaji nifanyeje?

    Nenda maeneo ya KAWE kabla ya kituo cha polisi ukiwa unatokea bondeni hapo ulizia jamaa anaitwa Beda ni fundi na hana tamaa na utashukuru.
  14. K

    Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    Na kuna mwingine kaniambia hata hawa wanaojiunga na kupewa nafasi tena za kugombea kwa kumuunga mkono mkuu wetu eti nao ifikapo 2020 kama watapitishwa tena wana mpango wa kujitoa nyakati za mwisho na kuwaacha wale wengine wapite bila kupingwa kwa hiyo waambie pia waliangalie hili.kama wanaweza
  15. K

    TBC inafunga mitambo yake leo usiku, Inakuwa TV ya kwanza na ya kisasa zaidi barani Afrika

    Mimi pia nawapa hongereni sana kwa hatua hii ya kufunga mitambo ya kisasa. Lakini kama mtaendelea kutangaza kizamani na kuwa na watangazaji wenye mambo ya kizamani hata hiyo mitambo pia itaonekana ya kizamani. Andaeni vipindi vizuri vinavyoendana na mahitaji ya leo ili muwezi kuonekana wa...
  16. K

    Jamhuri: Mo Dewji alikuwa na Microchip iliyokuwa ikirekodi kila kitu na kutuma London Uingereza. CIA wanachunguza kimya kimya

    Baadhi ya waandishi wa habari na wahariri hawaitendei haki taalum hi ya uandishi wa habari na hata utangazaji hivi vi short course vya wiki 2 mtu tayati anakuwa mwandishi wa habari ni tatizo sana. Maana miruzi imekuwa mingi kiasi kwamba mbwa wanapotea sasa.
  17. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi ninaomba kufahamishwa kama kweli shirika letu lina uhaba wa nguzo kwa wateja wapya. Maana ninamiezi 4 sasa naambiwa hawana nguzo pamoja na kuelekezwa nilipie gharama za kuingiza umeme. Pia nikapewa surveyor akaja kukagua mfumo wa umeme na kusema sawa na kunielekeza kwamba inatakiwa nguzo 1...
  18. K

    Wenzetu wanatumiaje magari?

    Nadhani ungekuwa umetembelea mojawapo ya nchi za waliostaarabika pengine ungepata majibu mazuri Sana na huenda usingeshangaa. Akili zao ni zao, na akili zetu ni zao ila akili zetu n zetu.
Back
Top Bottom