Ujumbe mfupi wa meneno makapuni ya kubeti na michezo mbalimbali zimekuwa kero

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
881
303
Habari wakuu.
Kulingana na michezo mbali mbali ya kubashiri hapa nchini kuwepo, sasa imekuwa kero yaani haipiti nusu saa ujumbe wa maneno umeingia kwenye simu.

Pendekezo: kuwe na limit ya utumaji wa message hizo.
 
kiukweli ni tatizo lingine ambalo wahusika wanatakiwa wawe serious. unakuta inaissues za maana ghafla unasikia mlio wa sms na pengine ulikuwa na ahadi ya mtu akutumie hela sasa unasubiri. unasikia mlio unachukuwa simu kwa heshima zote lakini unakutana na huu upuuzi. pengine labda kwetu namba ya mtu ya mkononi ni jalala la kuingia kila sms.
 
Wanahitaji kubadilika..
 
Back
Top Bottom