TBC inafunga mitambo yake leo usiku, Inakuwa TV ya kwanza na ya kisasa zaidi barani Afrika

Yaani wewe kubalansi ni chadema kuitumia? Kuna mtu kawakataza hao chadema kuitumia au fikra zao wenyewe ndio zinawaumiza juu ya tbc?
Yaani mkuu ulicho andika hapa nafananisha na kitendo cha kuwepo katikati ya watu halafu umejamba either kwa bahati mbaya au makusudi halafu wewe mwenyewe tena uliye jamba ndio unakuwa wa kwanza kuuliza "nani aliye jamba?". Usijifanye ni kama huelewi mkuu kuhusu swali lako. Majibu unayo
 
Tatizo sio mitambo yenu,bali ni vipindi vyenu sio vya kisasa na ubunifu mdogo wa viongozi wenu.kwanza fanyeni utafiti kujua nini watanzania wa kizazi hiki wanataka,badilikeni wale wa kuamini propaganda bila kuoji hawapo,wa sasa wanaoji,mpaka wakati mwingine wanakera.Ryoba kazi bado,hatujaona ubunifu wako.....
 
Naimani wale wadada wa kinyakyusa sasa nitawaona kwa uzur zaidi, zamani niliwaona kama screen jivu ila Yule Mramba ndo atang'aa zaidi.
Hongera Serikali, nadhani kesho tutazindua.
Hahah, sam mahela alikuwa hana vipele alipokuwa ITV ila akiwa TBC mkorogo wa scrubs unaonekana live
 
Tatizo sio mitambo yenu,bali ni vipindi vyenu sio vya kisasa na ubunifu mdogo wa viongozi wenu.kwanza fanyeni utafiti kujua nini watanzania wa kizazi hiki wanataka,badilikeni wale wa kuamini propaganda bila kuoji hawapo,wa sasa wanaoji,mpaka wakati mwingine wanakera.Ryoba kazi bado,hatujaona ubunifu wako.....
Kwanza TBC inaongozwa kisiasa,pili, TBC haina pesa za kutosha.TBC ni Mali ya umma,sasa inakuwaje shirika hilo kumilikiwa na ccm??
 
Kwa akili hizi bado mnawaza kukabidhiwa madaraka ya nchi hii...wakati kwa kauli zenu mnadharau...'instruments' za nchi yetu. 'Instruments' za serikali...serikali yetu sisi watanzania. Yaani sijui huyo anayewasimamia na kuwafunda kufikiri kifikra tunduizi anawaza nini?
Amesema ccm kwa sababu ccm ndo wanapiga makofi kwa kila kitu kufunga mitambo ya kisasa ni jambo nzuri lakin bila maudhui mazuri ya vipindi tbc ni ileile
 
Shida siyo tu kufunga yenye ubora shida ni mauthui ya vipindi vyao vimekaa ki CCM sana
 
Kwani hiyo mitambo itabadili taarifa zake za habari au?Kama ni kuboresha tu picha bado kutakuwa na tatizo sababu watazamaji wengi ck hizi hawapendi kuangalia taarifa ambazo siyo balanced pamoja na vipindi ambavyo haviendi na wakati.
 
Mimi pia nawapa hongereni sana kwa hatua hii ya kufunga mitambo ya kisasa. Lakini kama mtaendelea kutangaza kizamani na kuwa na watangazaji wenye mambo ya kizamani hata hiyo mitambo pia itaonekana ya kizamani. Andaeni vipindi vizuri vinavyoendana na mahitaji ya leo ili muwezi kuonekana wa tofauti. Mambo yetu ya kijani hatukatai maana ndo dunia tunamoishi. Lakini pia muwe na vipindi kwa ajili ya mambo mengine Yenye kuekuelimisha na kuburudisha. Jifunzeni pia kwa wenzenu kama yapo mazuri ili kuleta mvuto zaidi. Naamini TBC Mkiamua kuwa kama mashirika makubwa huko duniani mnaweza ila mkiamua kufail pia na kuwa na mambo yaleyale mnaweza pia. competent biulds competence.
 
Kwa mfano TBC2,iko underutilized. Naamini lengo la TBC2 lilikua kuonyesha vipindi maalum vya burudani vya kuchochea biashara. Kama EPL,Ligue1,Santander nk.

Watu wakishasikia tu chombo cha uma, hawaumizi akili kuwaza kwamba kinatakiwa kijiendeshe kibiashara.
Na kwa vile wanauhakika hata wasipozalisha au kukamata soko na kufanikisha kibiashara, bado watapata ruzuku yao bila kujali ufanisi wa kazi yao.

Ndio maana wanaweza kusingizia mitambo mibovu au ibadilishwe na likatekelezewa bila kupitia kwa umakini tija ya hilo ombi.
 
Rubbish , bora niangalie porn za msambwanda wa cherokee d'ass siku nzima kuliko huu upupu wa TBC , damn ! I hate this TV network
 
Back
Top Bottom