Camera, Kofia,saa,nguo,kalamu,nk zenye camera zipo tele zinatumia betri ndogo za saa
Wanawafanya Watanzania kuwa mazwazwa! Microchip ya kupiga picha labda alifungiwa kwenye macho. Tatizo waandika habari wanadhani udaku unaweza kusaidia watu wasihoji.Hakuna microchip inayopiga picha bila camera. Microchip inahifadhi data zilizoingizwa ziwe picha, video au maandishi. I stand to be challenged
Gazeti la Jamhuri limeandika kuwa, Mfanyabiashara maarufu nchini aliyekuwa ametekwa, ana microchip mwilini iliyomsaidia kurekodi matukio yote yaliyokuwa yakifanyika tangu kutekwa kwake katika Hoteli ya Colosseum, jijini Dar es Salaam.
Kabisa nakubaliana na wewe!. pia data download sio kila sehemu maana aina power ya kutransmit hivyo wanavyotaka hawa Tanzanite tuelewe, sijui huyu Mwandishi amesoma nchi gani maana da sio kwa uabunuasi huuHakuna microchip inayopiga picha bila camera. Microchip inahifadhi data zilizoingizwa ziwe picha, video au maandishi. I stand to be challenged
Sasa ndiyo wataaibika, sijui wataficha wapi sura zaoHii ni habari katika gazeti la Jamuhuru la la Oktoba 23-29,2018 toleo namba 369.
Kwa mujibu wa gazeti, kifaa hiki kimerekodi kila walichofanya watekaji na taarifa imetumwa London-Uingereza, New York Marekani na Johannesburg-Afrika kusini.
Changia mada sio kuziba nafasi za kukaa watuNaweka kituo hapa
Ilo boya halijui chochote limeshoboka tuU.S walitaka kuingilia? Kivipi?
Sasa kama kaweka magadi badala ya sukari, ataaminika vipiMkuu, naona humwamini mpishi wa hii chai