Clouds Media, mnapenda sana umbea

Ndo maana na ninyi hapo studio, wooote mmekaa mnamsikiliza mteja wenu Dr. Mwaka, mnashindwa kuwapa huduma wasikilizaji wenu waliopo nje ya nchi kusikiliza content hiyo, mmewapa matangazo.
Angekuwepo Ruge angewapa adhabu.
Hiyo Content inaweza kuwepo pasipo Redio husika? Bila hao Clouds Media kuwa na hiyo Content ungekuwa unaisikiliza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana na ninyi hapo studio, wooote mmekaa mnamsikiliza mteja wenu Dr. Mwaka, mnashindwa kuwapa huduma wasikilizaji wenu waliopo nje ya nchi kusikiliza content hiyo, mmewapa matangazo.
Angekuwepo Ruge angewapa adhabu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umethibitishiwa na nani pasi na shaka kuwa Mzukulu Mimi ni Staff wa Clouds Media Group? Kumbe Mtu akiwa anatetea Taasisi fulani basi Kwako Wewe Mvivu wa Fikra unamaanisha kuwa nae ni Mfanyakazi wa hapo? Ushauri wangu Kwako ni kwamba jaribu Kuufanyia Kazi haraka mno uwezo wako wa Kufikiri na Kujenga Hoja kwani ni mdogo sana na hapa unajichoresha tu huku wenye Akili wakiwa Wanakusanifu tu.
 
Na kwa kawaida, MTU ANAPOZIDI KUELEZEA JAMBO ASILOLIJUA, NDO ANAZIDI KUJIONYESHA KWA KIASI GANI HALIJUI JAMBO ANALOLIELEZEA
 
Hiyo tv na radio station ilianzishwa kwa kusudi la kuhudumia jamii yote ya watanzania,hivyo wanapoleta uhuni kwenye huduma ni wajibu wa Kila mmoja wetu kupaza sauti na kukosoa.

Au ulitaka uanze kukosoa wewe?
Heshimu mawazo ya wengine mkuu.
Clouds watangazaji wake ni wahuni, angalia kipindi Cha 360 kwenye tv Chanel yao,wale jamaa wawili na yule mama.
Wakianza kubishana Kila mmoja anaongea,huwezi elewa mkuu msikilize yupi. Maana ya mjadala au uchambuzi inapotea kabisa. KELELEEEE, Mimi hujiuliza,ivi Hawa jamaa Wana familia kweli,na Kama wanazo hizo familia zinamaadili gani. BADIRIKE
Ukiwatukana hivyo Pumbavu sana kama ulivyowaambia hapa ndiyo itasaidia Kutatua tatizo lako? Kwani hao Clouds Media huwa wanatulazimisha Watu tuwasikilize au ni Sisi wenyewe tu kwa Utashi wetu binafsi ndiyo huwa tunawasikiliza? Hivi Tanzania nzima Redio ya Kusikiliza ni hiyo hiyo ya Clouds fm? Na ukisema kuwa Clouds Media wanapenda Umbea unakosea bali ukweli ni kwamba kila Binadamu ni mbea kwa Kiwango chake na usisahau Maisha ya Mwanadamu yoyote yule hayaendi bila mambo makuu mawili ambayo ni Umbea na Unafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani tunaosikiliza redio kupitia itune mmetuwekea matangazo mmesahau kabisa kutuunganisha na live fm wote hadi mafundi mitambo mmeungana kusikiliza udaku wa Dk.Mwaka na wake zake hadi mmesahau kazi yenu ya msingi, pumbavu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
pole sana mkuu ila ndo aina ya radio stations tulizonazo na ndo aina ya watangazaji.tuliona nao, wengi wao wana upeo wa kawaida sana kuweza kualika academic interllectuals na kuweza kufanya mijadala yenye mashiko na faida kwa jamii. so uwahurumie tu. pili hata huyo wanayemhoji professionally ni herbalist ila kwa kuwa kila mtu anajuwa kucheza na low IQ za wasikilizaji wa hizi stations basi maisha yanaenda. usiwatukane mkuu wewe switch to other channels. wajinga ndiyo waliwao
 
Back
Top Bottom