Naomba leo nikutoe tongo tongo la ufahamu kidogo: Je, wajua hichi kifaa cha ujasusi?

Apr 18, 2012
95
213
49106282_1192569930894957_1644607543881760768_n.jpg

UNA AMBIWA NDICHO KILICHOTUMIKA KUMPELELEZA DOGO KIDUKU MAARUFU KAMA RAIS KIM WA NORTH KOREA BAADA YA MAREKANI NA NDUGU ZAKE KUSHINDWA KUPATA CHOO CHAKE KIPINDI WALIPOKUTANA NA RAIS TRUMP..........ENDELEA... Huyu sio mbu yule mdudu bali ni micro camera ya kijasusi (spy camera), lakini kinang'ata kama ilivyo mbu yule mdudu wa marelia na inasemekana endapo wakitaka kufanya majaribio yao kwa kupandikiza baadhi ya vimelea au kupachika sumu kwa wanadamu hasa wa dunia ya pili na tatu hukitumia kukamilisha mipango yao kwa siri......Utasikia raisi wa nchi flani kaumwa gafla n kufariki dunia.. . Dunia inazunguka kwa speed sana, wakati nyie mnafikiria kuua upinzani ili chama tawala kiendelee kutawala, Huko duniani USA, Urusi, Uchina Uk nk wanaielekeza dunia kule watakako wao sio dunia itakako.
48425112_1192569924228291_6922179214502264832_n.jpg

Kifaa hiki kinakung'ata kama mbu anavyong'ata na kazi yake kubwa ni kuchukua sampuli za damu kwaajili ya DNA na mengineyo, au kinaweza kutumika kuchoma sindano ya sumu nk. Kinaweza kutumwa kutoka Langley Makao Makuu ya CIA Marekani kije Mbutu Kigamboni nyumbani kwangu kining'ate mimi au familia yangu na kikaondoka na damu zetu mpaka USA na wakipata damu yetu tayari kwa sampuli za DNA kwa shughuli zao. Kifaa hiko kimetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu na kinachajiwa kikiwa mbali bila kuhitaji kisimame ndio kiunganishwe na umeme,
Kinatumia muundo unaoitwa Inductive charging (also known as wireless charging) uses an electromagnetic field to transfer energy between two objects through electromagnetic induction. ... Energy is sent through an inductive coupling to an electrical device, which can then use that energy to charge batteries or run the device.

Katika ulimwengu huu mpya, hiki ndio kifaa hatari zaidi kwa ujasusi leo, kikitumika kwa hujuma dhidi ya maadui na kupata taarifu za kitabibu dhidi ya adui yoyote yule na kuzitumia kuhujumu, kifahaa hiki kinauwezo wa kutambua binadamu waliofungwa vifaa viitwavyo Heart Pacemaker,

Kwenye cable info's kati ya Langley, Landon, Beijing na Moscow kwa miezi kadhaa kumekuwa na habari za kijasusi zinazohusu Heart Pacemaker, inaaminika mmoja wa viongozi wa Mashariki ya Mbali anaumwa ugongwa wa moyo na amefungwa vifaa hivyo, japo haiwekwi wazi, lakini taarifa za kijasusi ni kama zinamlenga kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un,

Kwamjibu wa nyaraka za maabara maalumu ya CIA iitwayo Primex Clinical Laboratories, Inc, iliyofanya uchunguzi na upembuzi wa ugonjwa wa Heart Pacemaker, zinasema sehemu kubwa ya binadamu wanaoumwa ugonjwa huu huwa na ukichaa, na hilo hujidhihirisha katika maamuzi mengi ambayo kwakiongozi huwa ya kidikteta na kwa Korea udiktata wa kiongozi huyo unatokana na ugongwa huo , sehemu ya ripoti inasema huenda waliopata kuwa madikteta wengi walikuwa ni wangonjwa, hivyo inawalazimu CIA kufanya utafiti wa kina kwa kila namna ili kujiridhisha na hilo. Hili ndio linafanya kifaa hiki kuwa hatari zaidi hasa kwa hujuma kwenye nchi za dunia ya tatu.
noma sanaa

Credit:Yeriko Nyerere
 
Hii inadhihirusha jinsi mwandishi wa makala hii alivyo na ukichaa utokanao na madhara ya ujasusi,

Huku tz kwetu kulivyo na kunguru/na mwewe wengi kitapita wapi maana kitakavyo pigwa sijui...
 
Hicho ndicho kiboko cha madikteta wote. Madikteta wote wana shida kweli akili akujakaa sawa nati zimelegea
 
HAINA NENO TUTAMWAMBIA RAIS WETU KIPENZI AWE ANAFUNGA NETI POPOTE ANAPOKUWA ILI HAWA JAMAA WASIJE WAKATULETEA MAMBO YA entrepreneurship hapa TZ. waishie hukohuko na mbu wao wa kuchonga
Kwa Kiswahili Ni Ujasiriamali (Entrepreneur)
 
Mchina naye kakitengenezea sumu inayoitwa "Rungu". Akiipuliza/jipaka kikija kinalegea na kuanguka halafu kule hawapati tena report, Ingelikuwa sio mchina, nadhani Africa viongozi wengi wangesha tutoka. Kiongozi mwenye akili amejiunga na mchina. Sio kwa maslahi ya taifa lake bali kwa manufaa yake binafsi kulindwa na hicho kifaa. Wengine weshaona mbali sana
 
:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom