Tunafunga na kuuza vioo vya TV

ml
TV original sony,Samsung, lg ,Philip inch 32 unaweza kunipa bei yake? Wew unajua bei ya kioo, na risk yake kusafirisha? Kioo kuwa na bei zaid ya TV sio ajabu worldwide

Sent using Jamii Forums mobile app
tatizo mafundi mnatamaa sana kwa nn usi kusanye hicho kidogo kidogo ukapata wateja wengi, mm nashida na kioo chaTv aina ya HIER nchi 50 ila kwa bei hii ni shida sana
 
Ufundi una mambo mengi kufanya replacement ya kioo kuna changamoto zake kinaweza kuwa ni brand sawa njia sawa kumi or 5 na still ikakuletea Ghost or upset down picture hapo fundi anatakiwa kuwa na utulivu grade 1 ili kufanikisha kazi so ni issue inayoitaji mda na Mindset iwe active sana sana ktk ghost sio tamaa ni mazingira tu ya kazi yenyewe
ml

tatizo mafundi mnatamaa sana kwa nn usi kusanye hicho kidogo kidogo ukapata wateja wengi, mm nashida na kioo chaTv aina ya HIER nchi 50 ila kwa bei hii ni shida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta Uzi daah nimekukubali mwanangu yaani unawapa Fact

Mwanangu thug life humu jamii forum kuna baadhi ya wanaume ni mashoga ila nahisi wewe hujui ila komaa

Kuna mtu anaishi kwa mama yake hadi kesho lakini likija humu eti nalo linavimba ha ha ha ha
 
Mkuu unasema ukweli wapo bwana...kuna wadau humu JF wanameangaika sana na hizo display miaka mingi huduma zilikuwa mbali jana kuna member amekuja offsin na curved yake machozi yamemtoka kwa furaha anasema toka 2014 TV ameweka ndani anatumia 32 ameangaika vioo bei juu jana TV yake imewaka jana na home free Delivery na installation na wall BRACKETS kapewa bure kama atapenda atapita hapa kuelezea..ila kuna vitoto humu vimeshazoea kucheza playstation vimenaongea ongea tu KUMBE SIO WENZETU
Mleta Uzi daah nimekukubali mwanangu yaani unawapa Fact

Mwanangu thug life humu jamii forum kuna baadhi ya wanaume ni mashoga ila nahisi wewe hujui ila komaa

Kuna mtu anaishi kwa mama yake hadi kesho lakini likija humu eti nalo linavimba ha ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAUZA NA KUFUNGA VIOO VYA FLAT TV AINA MBALI MBALI KUANZIA INCH 24 MPAKA 55
Location: Jengo la biashara machinga complex karume Jengo la upande wa Ilala
Time: Jumatatu-Jmosi kuanzia saa 3 asubhui mpka saa 2 usiku
Call: 0652608010 Michael
Wadau wa MIKOANI vioo atuvitumi ilete TV offsini ufungiwe
Bei....inch 24 display ni 200000/
Inch 32 display ni 300000/=
Inch 43 display ni 500000/=
Inch 49 display ni 700000/=
Inch 55 display ni 850000/=
Hizo bei ya display ni pamoja na ufundi..ukitaka nikuuzie kioo kama kioo ili ubebe ukafunge mwenyewe UNAUZIWA PIA..ILA KIOO kikitoka akirudi offisni Tena..bei ya kioo bila ufungaji Toa elfu 30 ktk kila bei za hapo juu.

KARIBUNI

View attachment 1361909View attachment 1361910View attachment 1361911View attachment 1361912View attachment 1361913

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu,
Nina Samsung inch 43, kuna wakati ilitokea kuwa na mistari miwili wima upande wa kulia kama interference hivi, nikampa fundi kurekebisha, aliniambia kuna mikanda anabadilisha tatizo litakwisha.Matokeo yake mistari imeongezeka na kuwa mitatu, fundi aliniambia hizo ni ghost za ile mistari ya awali, baada ya muda kidogo itapotea, lakini sasa ni mwaka wa 6 na uchanganyaji wake wa rangi katikati ya screen sio mzuri, wakati mwingine unaona rangirangi za dhambarau hivi.
Hebu niambie tatizo ni nini na suluhisho lake ni nini.
 
Binafsi TV ikifa kioo naenda dukani kununua nyingine. Huyu bwana hana bei kubwa bali ndio uhalisia wenyewe. Tofauti ya bei ya TV na kioo ni ndogo sana.
 
Kuna fundi aliniambia screen ya tv yangu, samsung, imeharibika, ingawa ilikuwa ukiiwasha inaleta jina la samsung kwenye initial blue display alafu inakuwa black screen. Sasa najiuliza kama ni display mbaya, si ata ile jina la samsung lisingesoma kwenye screen. Ipo imekaa tu kwenye boksi miaka 2 sasa. Ushauri wako nini mkuu, maana nakuaminia.
 
Kweli bongo tunasafari ndefu tutatusua kweli kijana kaweka uzi wake kwa ajili ya biashara yake Kama unahitaji kwenda unakwenda hutaki basi maana naona mpaka wengine wanajimwambafai na pia Kama unaona ni dalali si ametoa maekekezo ofisi ilipo kwa walio dar,nenda pale ofisini wakikutapeli siunaenda polisi na unakuja na uzi wako unautililisha,kingine hakuna biashara isiyokuwa na mtu wa Kati(dalali).

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nimesoma comments za huu uzi hadi nimetetemeka kumbe Mafundi wanafanyiana roho mbaya namna hii, mtu mpaka anasema habari za TCRA sijui kupotea milele mwingine bila haya wala soni anaweka bei zake yaan anatangaza biashara yake amuharibie mwenzie badala ya kufungua uzi wake,

Mmmh! Ngozi nyeusi ina kasoro waliosema sio waongo walai.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom