Nabii wa Kitunda, kumuona ni sh. laki na nusu

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,802
Wakuu,

Leo nilikuwa kwenye kanisa moja lililopo Kitunda, kwa wasio pafahamu, ili kufika kitunda unaingilia njia ya Banana iliyopo barabara ya Gongo la Mboto.

Kama una shida yoyote ile na unahitaji kumuona Nabii huyo basi utatakiwa kulipia laki moja na nusu kama "consultation fee"

Nabii huyo, huwa anauza mafuta yake kwa waumini wake. Bei ya hayo mafuta ni kuanzia sh. 150,000

Hivyo wenye pesa huanza kununua mafuta kwa laki na nusu, baadae bei inashuka inafika laki moja, badae elfu hamsini na mwisho kabisa ni buku mbili.

Yani mafuta yale yale ambayo wengine wamenunua kwa laki na nusu lakini wewe unanunua buku mbili, nini maana yake? Kimsingi nabii hataki urudi nyumbani na pesa, yani pesa yoyote ile uliyonayo anaitaka na ndiomana huwa anaanzia bei ya juu huku akiendelea kushusha ili kuhakikisha kuwa kila mtu ametoa.

Endeleeni tu kwenda kanisa wakuu
 
Tupac asantte sana kwa kutujuza kilichopo nyuma ya pazia. Na je sio huyo anauza na maji na je wanapona watu baada ya kutoa 150 tshs
 
Wakuu,

Leo nilikuwa kwenye kanisa moja lililopo Kitunda, kwa wasio pafahamu, ili kufika kitunda unaingilia njia ya Banana iliyopo barabara ya Gongo la Mboto.

Kama una shida yoyote ile na unahitaji kumuona Nabii huyo basi utatakiwa kulipia laki moja na nusu kama "consultation fee"

Nabii huyo, huwa anauza mafuta yake kwa waumini wake. Bei ya hayo mafuta ni kuanzia sh. 150,000

Hivyo wenye pesa huanza kununua mafuta kwa laki na nusu, baadae bei inashuka inafika laki moja, badae elfu hamsini na mwisho kabisa ni buku mbili.

Yani mafuta yale yale ambayo wengine wamenunua kwa laki na nusu lakini wewe unanunua buku mbili, nini maana yake? Kimsingi nabii hataki urudi nyumbani na pesa, yani pesa yoyote ile uliyonayo anaitaka na ndiomana huwa anaanzia bei ya juu huku akiendelea kushusha ili kuhakikisha kuwa kila mtu ametoa.

Endeleeni tu kwenda kanisa wakuu
Mjini mipango
 
Mjini shule, shamba kilimo.
 
tatizo hujawa wazi mafuta yake yapi? tulia uandike vizuri, wengine hawaelewi unazungumzia mafuta gani na ya ujazo upi?
 
Siku hizi siendi kanisani kabisa sababu hata hiyo biblia yao inasema mwili ni hekalu la bwana. Sasa technically natembea na hekalu/kanisa sasa naenda tena kanisani kutafuta nini? Eti niende nikakutane na kijeba ambayo kila muda inataka hela kwa kisingizio inataka impelekee Mungu.
Yani Mungu mwenye uwezo wote kaumba mbingu na nchi baadae tena atake vihela vilivyotengenezwa na Mjeremani? Huyo Mungu atakuwa labda shemeji yake na kichekomtata.
 
Wakuu,

Leo nilikuwa kwenye kanisa moja lililopo Kitunda, kwa wasio pafahamu, ili kufika kitunda unaingilia njia ya Banana iliyopo barabara ya Gongo la Mboto.

Kama una shida yoyote ile na unahitaji kumuona Nabii huyo basi utatakiwa kulipia laki moja na nusu kama "consultation fee"

Nabii huyo, huwa anauza mafuta yake kwa waumini wake. Bei ya hayo mafuta ni kuanzia sh. 150,000

Hivyo wenye pesa huanza kununua mafuta kwa laki na nusu, baadae bei inashuka inafika laki moja, badae elfu hamsini na mwisho kabisa ni buku mbili.

Yani mafuta yale yale ambayo wengine wamenunua kwa laki na nusu lakini wewe unanunua buku mbili, nini maana yake? Kimsingi nabii hataki urudi nyumbani na pesa, yani pesa yoyote ile uliyonayo anaitaka na ndiomana huwa anaanzia bei ya juu huku akiendelea kushusha ili kuhakikisha kuwa kila mtu ametoa.

Endeleeni tu kwenda kanisa wakuu
Hilo kanisa linaitwaje?
 
tatizo hujawa wazi mafuta yake yapi? tulia uandike vizuri, wengine hawaelewi unazungumzia mafuta gani na ya ujazo upi?
Kweli, ujazo ni uleule kwa bei hizo? Kitu gani kinazuia kusubiri kununua ili bei ishuke
 
Back
Top Bottom