Mafundi wengi ni wababaishaji nifanyeje?

Epuka mafundi wa Mwenge ITV ukimuamini ukamuachia gari anaenda kuchonga na funguo kabisa. Then anakufuatilia nyendo zako
 
Kuna fundi anaitwa magoti jnr hapo dar no fundi mzuri sana kwenye upande wa mechanics.Kama tatizo la gari yako haliwezi ana hakikisha anakutafutia mtu anayeweza kusolve.Anapatikana Facebook kwa jina la magoti jnr.
 
Kwa mtu ambae yupo musoma aje hapa st.martin auto works tatizo la gari litapona bila shaka yoyote
 
Kwanza lazima ujenge tabia ya kulifahamu gari lako. Hii itakusaidia kuweza kupata angalau mwangaza kidogo wa nini hakiko sawa wakati unaliendesha. Hii itakusaidia hata unapokwenda kwa fundi, unamuelezea sehemu unayohisi ni tatizo badala ya kugusa kila kona.

Pili usiache gari lako kwa fundi wakati linatengenezwa. Mafundi wetu wengi hawajali saana mali za wengine. Sinama kila process, huku ukiuliza maswali, hii itakusaidia kujua kama fundi anajua kazi yake. Na pia itakusadia siku likitokeza tatizo kama hilo na uko sehemu tofauti au fundi mwingine, utakua unajua nini hasa kinatakiwa kufanya.

Tafuta maintenance manual ya gari lako, au ingia kwenye forums za gari husika, au forums kama hizi. Kuna watu wana uzoefu saana wa magari, na unaweza pata mwenye uzoefu wa gari kama lako, hivyo ukapata ushauri wa nini hasa kinatakiwa kufanyika.

Pia jenga mazoea ya kuwa na fundi mmoja. Sio kuhama hama. Hii itasababisha ujenge uaminifu kwa huyo fundi kiasi kwamba ataweza kukushauri vizuri nini cha kufanya.

Na mwisho, jaribu kufanya repairs ndogo ndogo mwenyewe. It takes time and passion, ila ukiamua utaweza. Kuna kila kitu on the internet. Jaribu kutafuta utajifunza. Hii itasaidia kuepuka mafundi wababaishaji.

Mimi sio fundi, ila angalia collection yangu ya tools hapo chini.
20181025_115055.jpg
 
Wakuu habari za majukumu ya kila siku. Nimepata shida sana napopeleka gari iwe ni service au Normal maintanance ya kubadili spea. Nashangaa nikienda garage badala ya gari kupona nakuta mafundi kwa uzembe wanazalisha tatizo jingine hapo hapo.

Na wengine wamejaliwa maneno sana yaaani utamuamini tu. Anakupa sababu kiabao kama vile anajua tatizo kumbe wapiiiiiiii.........!

Yaani sijui nifanyeje kupata permanent solution ya hii shida. Nipeni mawazo jamani......!
Nenda maeneo ya KAWE kabla ya kituo cha polisi ukiwa unatokea bondeni hapo ulizia jamaa anaitwa Beda ni fundi na hana tamaa na utashukuru.
 
Uchebe ni fundi mzuri sema hana haraka service ya kawaida inaweza kuchukua wiki nzima
 
Wakuu habari za majukumu ya kila siku. Nimepata shida sana napopeleka gari iwe ni service au Normal maintanance ya kubadili spea. Nashangaa nikienda garage badala ya gari kupona nakuta mafundi kwa uzembe wanazalisha tatizo jingine hapo hapo.

Na wengine wamejaliwa maneno sana yaaani utamuamini tu. Anakupa sababu kiabao kama vile anajua tatizo kumbe wapiiiiiiii.........!

Yaani sijui nifanyeje kupata permanent solution ya hii shida. Nipeni mawazo jamani......!
COME INBOX
 
acha kwenda garaje za chini ya miembe...

kuna garaje kubwa na nzuri ambazo zinajali mteja...zinajali mali ya mteja na pia zinajari reputation yao peleka huko
 
Mi nomba kuuliza wataalam wa maswala ya gear box. Gari yangu aina ya Toyota volts ilikuwa na tatizo la speed ilikuwa aichanganyi inaishia 60 tu! Nikawapa mafundi uchwala wa mtaani wamekorokochoa gear box sasa hivi gari imekuwa nzito zaidi. Kwa wale wataalamu nomba mnisaidie mawazo au ushauri ili niweze nijue namna ya kumaliza hili tatizo, Mi nipo chalinze
 
Kwanza lazima ujenge tabia ya kulifahamu gari lako. Hii itakusaidia kuweza kupata angalau mwangaza kidogo wa nini hakiko sawa wakati unaliendesha. Hii itakusaidia hata unapokwenda kwa fundi, unamuelezea sehemu unayohisi ni tatizo badala ya kugusa kila kona.

Pili usiache gari lako kwa fundi wakati linatengenezwa. Mafundi wetu wengi hawajali saana mali za wengine. Sinama kila process, huku ukiuliza maswali, hii itakusaidia kujua kama fundi anajua kazi yake. Na pia itakusadia siku likitokeza tatizo kama hilo na uko sehemu tofauti au fundi mwingine, utakua unajua nini hasa kinatakiwa kufanya.

Tafuta maintenance manual ya gari lako, au ingia kwenye forums za gari husika, au forums kama hizi. Kuna watu wana uzoefu saana wa magari, na unaweza pata mwenye uzoefu wa gari kama lako, hivyo ukapata ushauri wa nini hasa kinatakiwa kufanyika.

Pia jenga mazoea ya kuwa na fundi mmoja. Sio kuhama hama. Hii itasababisha ujenge uaminifu kwa huyo fundi kiasi kwamba ataweza kukushauri vizuri nini cha kufanya.

Na mwisho, jaribu kufanya repairs ndogo ndogo mwenyewe. It takes time and passion, ila ukiamua utaweza. Kuna kila kitu on the internet. Jaribu kutafuta utajifunza. Hii itasaidia kuepuka mafundi wababaishaji.

Mimi sio fundi, ila angalia collection yangu ya tools hapo chini.
View attachment 910268
Asante mkuu
 
Nimejifunza mengi sana kwenye huu Uzi, mimi naamini suluhu pekee ya kuepukana na hawa mafundi uchwara ni kuanza kula kozi taratibu ya ufundi magari, elimu hii inapatikana sana huko you tube unaweza jifunza mambo mengi sana ambayo usingehitaji kwenda kumwona fundi. Nimegundua wenzetu huko mamtoni kwa asilimia kubwa wanamiliki garage zao majumbani mwao, vitu kama services , kubadilisha spear wanafanya wenyewe unless kuna ishu kubwa sana hapo ndo watatafuta fundi. Tujifunze wadau yanawezekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom