Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

Endelea kudukua ila angalia hicho unachodukua kisijekukuangukia usoni na kukuponda ponda
 
Taarifa za ' Kiudukuzi ' kabisa na ambazo hadi kupelekea Mwandishi wa huu ' uzi ' kuzipata ilibidi afanye ' Kazi ' ya ' ziada ' na ambayo bila ya ' ulinzi ' na ' kudra ' zake Mwenyezi Mungu hivi sasa yangekuwa mengine ni kwamba aliyekuwa ' Mtia nia ' mmoja ndani ya Chama Tawala cha CCM na ambaye hata katika 10 ' bora ' kisha katika ' 7 ' bora alikuwepo amepanga ' mkakati ' mkali sana wa kujiunga rasmi na Upinzani ili kuweza ' kugombea ' Urais kwa kushindana na Rais wa sasa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mwaka 2020.

Habari za ' udukuzi ' na zilizotukuka kabisa zinazidi kusema kuwa ' Kada ' huyo wa CCM ambaye kwa sasa hafichi tena ' unafiki ' wake ndani ya Chama Tawala cha CCM anafanya mazungumzo ya ' Siri ' kabisa na Viongozi wa Vyama viwili ambacho kimoja kimeshajizolea ' umaarufu ' japo hadi sasa kimeshia tu kuja na ' matamko ' ya hapa na pale na yasiyotekelezeka huku Chama kingine kikiwa ni kidogo lakini ambacho kiliweza ' kuwashtua ' Watanzania mwaka jana 2015 kutokana na ' Sera ' zake zenye ' maono ' hasa ukizingatia kuwa kina ' zawadi ' ya kuwa na Mwanasiasa ' Kijana ' ili aweze kujiunga navyo na aweze kupambana na Rais Dkt Magufuli mwaka 2020 kwani anasema kuwa ana uhakika wa ' kushinda ' kwa jinsi alivyojipanga.

Taarifa zaidi za ' Kidukuzi ' zimeenda mbele na kusema kuwa ' mkakati ' wake wa kwanza ni mwaka 2018 kujiunga ' rasmi ' na moja ya hivyo Vyama ' tajwa ' kimafumbo hapo juu ili aanze kutambulishwa, kukijua hicho Chama vizuri kisha aanze kuzungushwa nchi nzima katika moja ya ' Kampeni ' ya Chama kimoja ambayo wanapanga kuifanya mwaka huo wa 2018 ili kujijenga na kujipanga kwa ' ushindani ' katika ' Uchaguzi ' Mkuu mwaka 2020 huku akiwa na ' jeuri ' ya kuungwa mkono na nchi kubwa tatu duniani za Ujerumani, Canada na Uingereza.

CCM najua fika kuwa leo mnaanza ' Vikao ' vyenu vidogo chini ya Mwenyekiti wenu wa ' Taifa ' hivyo jitahidini na hili mliangalie kwa umakini wenu mkubwa kwani huyo ' Nyoka ' mwenye ' Sumu ' kali bado mpo nae humo humo na sasa amekaa ' kimya ' tu lakini akikusanya ' Sumu ' ambayo kama hamtaiwahi kuimaliza mapema kutokana na ' uzoefu ' wake mkubwa na kukijua Chama vilivyo huku akiwa na 'mbinu ' zote za ' Kidiplomasia ', ' Propaganda ' na hadi za ' Usalama ' mwaka 2020 mnaweza kupata wakati ' mgumu ' pengine hata kuliko wa mwaka jana ( 2015 ) kwani katika hivyo Vyama viwili ambavyo anajipanga kujiunga na kimoja wapo kuna Watu wawili ambao wana ' ushawishi ' mkubwa sana katika ' Jamii ' yetu na ambao pia wanajua kupanga ' mikakati ' vizuri mno kitu amacho kinaweza kumrahisishia huyu ' Kada Mnafiki ' wa CCM kuweza ' kuchafua ' kabisa hali ya hewa.

Baada ya ' Kazi ' ngumu ya ' Kudukua ' naomba niishie hapa tafadhali na nisali huku nikimshukuru Mwenyezi Mungu kwani naamini bila kunipa ' ujasiri ' na kuniongoza kwa ' nguvu ' zake nisingeweza kutokana na ' unyeti ' wake.

Kila la kheri.
Hivi hii taarifa ndiyo imekumbushiwa kwenye gazeti la leo la Tanzanite One? Ndiyo yenyewe?
 
Atakuwa yule wa Mtama nini..!! Lakini 2020 ki ukweli asijisumbue tu JPM anazichukua zaidi ya 95%.
 
  • Thanks
Reactions: Oii

Kila la kheri.[/QUOTE
 
Na kuna mwingine kaniambia hata hawa wanaojiunga na kupewa nafasi tena za kugombea kwa kumuunga mkono mkuu wetu eti nao ifikapo 2020 kama watapitishwa tena wana mpango wa kujitoa nyakati za mwisho na kuwaacha wale wengine wapite bila kupingwa kwa hiyo waambie pia waliangalie hili.kama wanaweza
 
Si unajua tena Mkuu GENTAMYCINE huwa anaanzisha na wengine wanafuata?

Mzee acha fujo. Usije ukasababisha watu wakawajia juu wakiwatuhumu kuiba taarifa. Ni kweli hawaja-quote source ya taarifa yao na hiyo ukiwabana vizuri unaweza ukawaweka katika hali ngumu sana mimi naamini!
 
Sitofanya hivyo bali nawashukuru tu kwamba wanatumia ' Fikra ' zangu katika Kujipatia Kipato hivyo kwa namna moja au nyingine nami nimewasaidia Kuimarisha Maisha yao. Na labda kwa taarifa na faida yako tu ni kwamba ni kwamba ' Media ' nyingi na ' Mitandao ' mingi hupenda kutumia ' Mabandiko ' yangu katika ' Kujijenga ' zaidi na huwa nafarijika mno. Jaribu sana Kusikiliza ile ' Segment ' ya ' Habari Nyepesi Nyepesi ' ya Radio One ambayo huwa yupo Mtani wangu wa Kihaya Deogratius Rweyunga ambapo mara nyingi mno hupenda kutumia ' Vituko ' na ' Vibweka ' vyangu ambavyo ambavyo huwa napenda kuviweka / kuviandika hapa.
 
Taarifa za ' Kiudukuzi ' kabisa na ambazo hadi kupelekea Mwandishi wa huu ' uzi ' kuzipata ilibidi afanye ' Kazi ' ya ' ziada ' na ambayo bila ya ' ulinzi ' na ' kudra ' zake Mwenyezi Mungu hivi sasa yangekuwa mengine ni kwamba aliyekuwa ' Mtia nia ' mmoja ndani ya Chama Tawala cha CCM na ambaye hata katika 10 ' bora ' kisha katika ' 7 ' bora alikuwepo amepanga ' mkakati ' mkali sana wa kujiunga rasmi na Upinzani ili kuweza ' kugombea ' Urais kwa kushindana na Rais wa sasa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mwaka 2020.

Habari za ' udukuzi ' na zilizotukuka kabisa zinazidi kusema kuwa ' Kada ' huyo wa CCM ambaye kwa sasa hafichi tena ' unafiki ' wake ndani ya Chama Tawala cha CCM anafanya mazungumzo ya ' Siri ' kabisa na Viongozi wa Vyama viwili ambacho kimoja kimeshajizolea ' umaarufu ' japo hadi sasa kimeshia tu kuja na ' matamko ' ya hapa na pale na yasiyotekelezeka huku Chama kingine kikiwa ni kidogo lakini ambacho kiliweza ' kuwashtua ' Watanzania mwaka jana 2015 kutokana na ' Sera ' zake zenye ' maono ' hasa ukizingatia kuwa kina ' zawadi ' ya kuwa na Mwanasiasa ' Kijana ' ili aweze kujiunga navyo na aweze kupambana na Rais Dkt Magufuli mwaka 2020 kwani anasema kuwa ana uhakika wa ' kushinda ' kwa jinsi alivyojipanga.

Taarifa zaidi za ' Kidukuzi ' zimeenda mbele na kusema kuwa ' mkakati ' wake wa kwanza ni mwaka 2018 kujiunga ' rasmi ' na moja ya hivyo Vyama ' tajwa ' kimafumbo hapo juu ili aanze kutambulishwa, kukijua hicho Chama vizuri kisha aanze kuzungushwa nchi nzima katika moja ya ' Kampeni ' ya Chama kimoja ambayo wanapanga kuifanya mwaka huo wa 2018 ili kujijenga na kujipanga kwa ' ushindani ' katika ' Uchaguzi ' Mkuu mwaka 2020 huku akiwa na ' jeuri ' ya kuungwa mkono na nchi kubwa tatu duniani za Ujerumani, Canada na Uingereza.

CCM najua fika kuwa leo mnaanza ' Vikao ' vyenu vidogo chini ya Mwenyekiti wenu wa ' Taifa ' hivyo jitahidini na hili mliangalie kwa umakini wenu mkubwa kwani huyo ' Nyoka ' mwenye ' Sumu ' kali bado mpo nae humo humo na sasa amekaa ' kimya ' tu lakini akikusanya ' Sumu ' ambayo kama hamtaiwahi kuimaliza mapema kutokana na ' uzoefu ' wake mkubwa na kukijua Chama vilivyo huku akiwa na 'mbinu ' zote za ' Kidiplomasia ', ' Propaganda ' na hadi za ' Usalama ' mwaka 2020 mnaweza kupata wakati ' mgumu ' pengine hata kuliko wa mwaka jana ( 2015 ) kwani katika hivyo Vyama viwili ambavyo anajipanga kujiunga na kimoja wapo kuna Watu wawili ambao wana ' ushawishi ' mkubwa sana katika ' Jamii ' yetu na ambao pia wanajua kupanga ' mikakati ' vizuri mno kitu amacho kinaweza kumrahisishia huyu ' Kada Mnafiki ' wa CCM kuweza ' kuchafua ' kabisa hali ya hewa.

Baada ya ' Kazi ' ngumu ya ' Kudukua ' naomba niishie hapa tafadhali na nisali huku nikimshukuru Mwenyezi Mungu kwani naamini bila kunipa ' ujasiri ' na kuniongoza kwa ' nguvu ' zake nisingeweza kutokana na ' unyeti ' wake.

Kila la kheri.
Asa ndo umeandika nini
 
kitu kikubwa kwa wapinzani ni kuondoa imani kwa watanzania kwamba ni lazima ccm ishinde.
imani hii ni kirusii hatari sana kinachowafanya wengi wasipige kura au hata wakipiga wanaipigia ccm kwa imani tu kuwa wapinzani hawawezi kushinda.
wanaamini kuwa ccm wana nafasii ya kutumia ujanja na nguvu na hawaoni ni nani ataondoa hiki kitu.
Anayetaka kuhama anatumia haki ya kidemokrasia na si unafiki!
 
Nimeyaelezea Matako / Makalio yako yanavyotoa Mavi / Kinyesi mfululizo baada ya kutokea ' hitilafu ' kubwa katika njia yako ya Haja Kubwa.

Taratibu mzee mwenzangu, mwenzio nimetoka jela leo tu kwa kuwaambia ukweli mazwazwa wenyewe wanaita matusi kumbe ni sifa zao.
 
Mkuu huu ni udukuzi au Udakuzi?
Angalia usije mpoteza mtu wa watu bure na hizi habari rusha roho zako!
 
Taarifa za ' Kiudukuzi ' kabisa na ambazo hadi kupelekea Mwandishi wa huu ' uzi ' kuzipata ilibidi afanye ' Kazi ' ya ' ziada ' na ambayo bila ya ' ulinzi ' na ' kudra ' zake Mwenyezi Mungu hivi sasa yangekuwa mengine ni kwamba aliyekuwa ' Mtia nia ' mmoja ndani ya Chama Tawala cha CCM na ambaye hata katika 10 ' bora ' kisha katika ' 7 ' bora alikuwepo amepanga ' mkakati ' mkali sana wa kujiunga rasmi na Upinzani ili kuweza ' kugombea ' Urais kwa kushindana na Rais wa sasa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli mwaka 2020.

Habari za ' udukuzi ' na zilizotukuka kabisa zinazidi kusema kuwa ' Kada ' huyo wa CCM ambaye kwa sasa hafichi tena ' unafiki ' wake ndani ya Chama Tawala cha CCM anafanya mazungumzo ya ' Siri ' kabisa na Viongozi wa Vyama viwili ambacho kimoja kimeshajizolea ' umaarufu ' japo hadi sasa kimeshia tu kuja na ' matamko ' ya hapa na pale na yasiyotekelezeka huku Chama kingine kikiwa ni kidogo lakini ambacho kiliweza ' kuwashtua ' Watanzania mwaka jana 2015 kutokana na ' Sera ' zake zenye ' maono ' hasa ukizingatia kuwa kina ' zawadi ' ya kuwa na Mwanasiasa ' Kijana ' ili aweze kujiunga navyo na aweze kupambana na Rais Dkt Magufuli mwaka 2020 kwani anasema kuwa ana uhakika wa ' kushinda ' kwa jinsi alivyojipanga.

Taarifa zaidi za ' Kidukuzi ' zimeenda mbele na kusema kuwa ' mkakati ' wake wa kwanza ni mwaka 2018 kujiunga ' rasmi ' na moja ya hivyo Vyama ' tajwa ' kimafumbo hapo juu ili aanze kutambulishwa, kukijua hicho Chama vizuri kisha aanze kuzungushwa nchi nzima katika moja ya ' Kampeni ' ya Chama kimoja ambayo wanapanga kuifanya mwaka huo wa 2018 ili kujijenga na kujipanga kwa ' ushindani ' katika ' Uchaguzi ' Mkuu mwaka 2020 huku akiwa na ' jeuri ' ya kuungwa mkono na nchi kubwa tatu duniani za Ujerumani, Canada na Uingereza.

CCM najua fika kuwa leo mnaanza ' Vikao ' vyenu vidogo chini ya Mwenyekiti wenu wa ' Taifa ' hivyo jitahidini na hili mliangalie kwa umakini wenu mkubwa kwani huyo ' Nyoka ' mwenye ' Sumu ' kali bado mpo nae humo humo na sasa amekaa ' kimya ' tu lakini akikusanya ' Sumu ' ambayo kama hamtaiwahi kuimaliza mapema kutokana na ' uzoefu ' wake mkubwa na kukijua Chama vilivyo huku akiwa na 'mbinu ' zote za ' Kidiplomasia ', ' Propaganda ' na hadi za ' Usalama ' mwaka 2020 mnaweza kupata wakati ' mgumu ' pengine hata kuliko wa mwaka jana ( 2015 ) kwani katika hivyo Vyama viwili ambavyo anajipanga kujiunga na kimoja wapo kuna Watu wawili ambao wana ' ushawishi ' mkubwa sana katika ' Jamii ' yetu na ambao pia wanajua kupanga ' mikakati ' vizuri mno kitu amacho kinaweza kumrahisishia huyu ' Kada Mnafiki ' wa CCM kuweza ' kuchafua ' kabisa hali ya hewa.

Baada ya ' Kazi ' ngumu ya ' Kudukua ' naomba niishie hapa tafadhali na nisali huku nikimshukuru Mwenyezi Mungu kwani naamini bila kunipa ' ujasiri ' na kuniongoza kwa ' nguvu ' zake nisingeweza kutokana na ' unyeti ' wake.

Kila la kheri.
Nasikia ndiyo sababu ya kumhoji tajiri kijana kwa siku 9 ccm wakihofia kama pesa zinapitia kwake za kampeni.Pia ndiyo sababu ya kufanya mabadiliko wizara ya mambo ya ulaya kwa kushindwa kumdhibiti mla maembe
 
Alifika saba bora...
Ni Mama au Baba..
Uzoefu diplomasia..
Germany,Uk,France.
Wafikirie hawa:Asha Rose..Amina...Membe..January.
Nimesema tu...lakini muhimu ni Amani na Upendo na kumuomba Mwenyezimungu wa kweli atuongoze na siyo Mungu mtu

Ukijiuliza kama kulikuwa na 7 bora au hakuna, ndiyo utapata jibu............
 
Back
Top Bottom