Search results

  1. Samson Ernest

    Je, umewahi kupatwa na hali hii au unapitia kwenye hali hii?

    Hali hii ya mgandamizo, yaani unakuwa mzito, wasiwasi mwingi, maswali mengi, unajiuliza hivi nikiondolewa hapa nitaenda wapi? Mtu anafanya kazi mahali fulani ila haoni kabisa kitu kingine cha kufanya kwenye maisha yake isipokuwa hiyo kazi anayoifanya. Nikiwa na maana ofisi aliopo, haoni kitu...
  2. Samson Ernest

    Je Una Changamoto Ya Kusoma Biblia Kila Siku Au Ukisoma Huelewi? Suluhisho Limepatikana.

    Moja ya kitu ambacho hupaswi kukiruhusu ni siku yako kupita bila kusoma biblia yako na kutafakari. Tumekuandalia kundi zuri la wasap la kusoma biblia kila siku na kutafakari, sio hivyo tu, unapata ufafanuzi au uchambuzi wa sura moja ya biblia kila siku. Hii inakusaidia kuelewa kwa usahihi kile...
  3. Samson Ernest

    Tabia Ya Kudhulumu Vibarua Au Maskini Wanaofanya Kazi Haiwezi Kumwacha Mtu Salama

    Kum‬ ‭24:14‭-‬15‬ ‭SUV‬‬ [14] Usimwonee mtumishi mwenye ujira aliye maskini na uhitaji, kama ni wa nduguzo, au kama ni wageni wako mmojawapo walio katika nchi yako, ndani ya malango yako; [15] mpe ujira wake kwa siku yake, wala jua lisichwe juu yake; kwa maana ni maskini, moyo wake umeutumainia...
  4. Samson Ernest

    Usiipende rushwa hupofusha macho ya watu wenye akili

    ‭‭Kum‬ ‭16:19‬ ‭SUV‬‬ [19] Usipotoe maamuzi; wala usipendelee uso wa mtu; wala usitwae rushwa; kwa kuwa rushwa hupofusha macho ya wenye akili, na kugeuza daawa ya wenye haki. Agizo hili la kukatazwa kupokea rushwa walipewa maakida na waamuzi wa Israeli, waliagizwa wasipokee rushwa, maana rushwa...
  5. Samson Ernest

    Acha tabia ya kuahidi watu vitu ambavyo hutavitekeleza

    ‭‭Hes‬ ‭30:2‬ ‭SUV‬‬ [2] Mtu atakapomwekea BWANA nadhiri, au, atakapoapa kiapo ili kufunga nafsi yake kwa kifungo, asilitangue neno lake; atafanya sawasawa na hayo yote yamtokayo kinywani mwake. Ukisoma sura hii yote ya Hesabu 30 utaona kuwa Mungu aliwataka watu wake kutunza ahadi zao kwake na...
  6. Samson Ernest

    Gawia watu vitabu vyote ulivyovijaza kwenye shelfu/meza/kabati la vitabu

    Shelfu imejaa vitabu vizuri ikiwemo na biblia, vimepangwa katika utaratibu mzuri. Meza ya ofisi imejaa vitabu vikubwa vikubwa, vimepangwa vizuri na vinapendeza. Hatua kubwa sana kwako, mtu kukumbuka kuwa na kabati/shelfu zuri la vitabu na kuvijaza ni hatua kubwa sana. Mtu kununua vitabu...
  7. Samson Ernest

    Jiandae na hili katika Uongozi wako Ili usije ukakimbia nafasi yako

    "Watu wakawa na kiu huko; nao wakamnung’unikia Musa, wakasema, Mbona umetupandisha kutoka Misri, kutuua sisi na watoto wetu na wanyama wetu kwa kiu?" Kut 17:3 SUV. Musa alikutana na mengi katika uongozi wake wa kuwatoa Waisraeli Misri, tunaona hata walivyofika bahari ya Shamu na wakaona jeshi...
  8. Samson Ernest

    Zinaa siyo ya kuifurahia na kuimbilia kuifanya

    "Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe", 1 Kor 6:18 SUV. Zipo dhambi nyingi zilizo chukizo mbele za Mungu, lakini hizi dhambi zinatofautiana katika utendaji wake na viwango vyake. Zinaa ina...
  9. Samson Ernest

    Uhusiano sahihi kati Ya Kanisa na Serikali

    "Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu. Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu", Rum 13:1‭-‬2 SUV. Mungu ameweka bayana kuhusu kutii mamlaka ya serikali...
  10. Samson Ernest

    Usiwahukumu wengine kwa tabia bbaya uliyonayo na uliyoshindwa kuiacha

    "Hivyo wewe mwanadamu, utoapo hukumu juu yao na bado unafanya mambo yale yale, unadhani utaepuka hukumu ya Mungu?" Warumi 2:3 NEN. Wapo watu hupenda kusema usiangalie tabia yangu bali zingatia ninachokuambia au ninachokuhubiri au ninachokufundisha. Hatujui kuwa watu hujifunza zaidi kwa matendo...
  11. Samson Ernest

    Sumu kali na hatari Inayoua haraka mtu mwenye huduma ya Utumishi/Uongozi

    "Basi siku moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifalme, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa hotuba mbele yao. Watu wakapiga kelele, wakisema, ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwanadamu. Mara Malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu; akaliwa na chango, akatokwa na...
  12. Samson Ernest

    Ijue nguvu ya ajabu inayotamaniwa na wachawi na waganga wa kienyeji

    "Hata Simoni alipoona ya kuwa watu wanapewa Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono ya mitume, akataka kuwapa fedha akisema, Nipeni na mimi uwezo huu, ili kila mtu nitakayemweka mikono yangu, apokee Roho Mtakatifu. Huna fungu wala huna sehemu katika jambo hili, kwa kuwa moyo wako si mnyofu mbele za...
  13. Samson Ernest

    Mtunze/Mlee Yule Uliyeachiwa Maagizo Na Marehemu

    "Yesu alipomwona mama yake mahali pale pamoja na yule mwanafunzi aliyempenda wamesimama karibu, akamwambia mama yake, “Mwanamke, huyo hapo ndiye mwanao,” Kisha akamwambia yule mwanafunzi, “Nawe huyo hapo ndiye mama yako.” Tangu wakati huo yule mwanafunzi akamchukua mama yake Yesu nyumbani...
  14. Samson Ernest

    Je, tuache, tusifanye, tusitende na tusipende?

    Tunajenga nyumba nzuri na za viwango vya juu lakini zinaungua moto, zinabomolewa na kuharibiwa vibaya sana ila hatuachi kujenga. Magari yanapata ajali na kuteketea kwa moto ila hatuachi kununua, kuyapanda na kusafiri nayo. Watu wanafiwa na watoto wao, wanazaa wengine wanakuwa walevi...
  15. Samson Ernest

    Je, Mwanaume Kulia Machozi Ni Vibaya?

    Sio ajabu kuliona hili hasa kwenye jamii zetu za Kitanzania, mwanaume kulia machozi anaonekana kwenye jamii kama mtu wa kulialia hovyo na asiye na ukomavu wa mambo. Kasumba hii imesababisha wanaume wengi kukaa na uchungu mwingi vifuani mwao huku wakijizuia kulia juu ya mambo yanayowasibu katika...
  16. Samson Ernest

    Wanaokuambia usiogope tupo pamoja na wewe usije ukawaamini asilimia zote watakuja kukumbia

    “Akamwambia, Bwana, niwapo pamoja nawe, mimi ni tayari kwenda gerezani au hata kifoni”, Lk 22:33 SUV. Petro alikuwa ni mmoja wa wanafunzi wa Yesu mahiri na waliokuwa karibu sana na yeye, ukimfuatilia Petro utaona matukio kadhaa aliyoyafanya akiwa na Yesu, huyu huyu Petro ndiye aliyeahidiwa...
  17. Samson Ernest

    Uaminifu wa mtu unavyoweza kumpa fursa ya kupata na kumiliki vikubwa

    "Akamwambia, Vema, mtumwa mwema; kwa vile ulivyokuwa mwaminifu katika neno lililo dogo, uwe na mamlaka juu ya miji kumi", Lk 19:17 SUV. Mtu yeyote ambaye amekuwa mwaminifu katika kumtumikia Mungu na kulitumikia lile kusudi lake kwa uaminifu, mtu huyo atapata thawabu kubwa katika dunia ya sasa...
  18. Samson Ernest

    Acha Wacheke Na Waonyeshe Dharau Zao Kwa Unachofanya/Unachotaka Kufanya

    "Na watu wote walikuwa wakilia na kumwombolezea; akasema, Msilie, hakufa huyu, bali amelala usingizi tu. Wakamcheka sana, maana walijua ya kuwa amekwisha kufa", Lk 8:52‭-‬53 SUV. Wakati mwingine huwa tunaonekana kama tumechanganyikiwa au hatuna akili sawa sawa, hasa tulioamini. Kuna mambo...
  19. Samson Ernest

    Jenga Mtazamo Sahihi Juu Ya Wanaume/Wanawake Kabla Hujaoa/Hujaolewa

    Tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, watu baadhi wameingia kwenye ndoa na watu sahihi ila mitazamo yao juu yao sio sahihi, wapo wameingia kwenye ndoa sio sahihi kwa sababu ya mitazamo yao isiyo sahihi, na wapo hawataki kuingia kwenye ndoa wamebaki kutangatanga na kila...
  20. Samson Ernest

    Onesha Ushirikiano kwa Makarani wa Sensa

    Kesho 23.8.2022 ni siku ya kuhesabiwa(sensa) kwa nchi yetu Tanzania, hili ni suala la kibiblia kabisa watu kuhesabiwa wala sio suala la kisiasa. Namaanisha usichanganye siasa na Sensa, utaratibu wa kuhesabiwa umetajwa kwenye biblia (LK 2:1-5). Wala hujapingwa au kukatazwa. Nakusihi uonyeshe...
Back
Top Bottom