Je Una Changamoto Ya Kusoma Biblia Kila Siku Au Ukisoma Huelewi? Suluhisho Limepatikana.

Samson Ernest

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
404
651
Moja ya kitu ambacho hupaswi kukiruhusu ni siku yako kupita bila kusoma biblia yako na kutafakari.

Tumekuandalia kundi zuri la wasap la kusoma biblia kila siku na kutafakari, sio hivyo tu, unapata ufafanuzi au uchambuzi wa sura moja ya biblia kila siku.

Hii inakusaidia kuelewa kwa usahihi kile unachosoma, pia inakujengea uwezo mkubwa wa kukusaidia kukabiliana na mafundisho mengi potofu.

Inakujengea uwezo wa kujiamini na kutotetereshwa na kila upepo unaoinuka nyakati za Sasa.

Kusoma biblia inaweza ikawa changamoto kwako, ila kwa utaratibu tulioweka unaweza kusoma biblia yako kila siku kwa mwaka mzima bila shida yeyote.

Ukiwa na kiu kubwa ya kusoma biblia na kutafakari, karibu uungane na wenye kiu wenzako, wasiliana nasi kwa wasap namba +255759808081, tuma ujumbe wako kwa namba hii utaunganishwa kwenye group hili zuri la kujifunza neno la Mungu.

Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia yako
Mungu akubariki sana
+255759808081
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom