Search results

  1. Eng Kimox Kimokole

    Tangazo la Kazi: Sales Representative

    Sales Representative
  2. Eng Kimox Kimokole

    Upgrading Old Mac Computers to latest OSX Versions and New Apps (Kuhuisha Mac ya zamani kwenda OS na Program Mpya)

    Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia. Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
  3. Eng Kimox Kimokole

    Upgrading Old Mac Computers to latest OSX Versions and New Apps (Kuhuisha Mac ya zamani kwenda OS na Program Mpya)

    Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia. Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia...
  4. Eng Kimox Kimokole

    Chombezo: Paula Mfaransa mwenye visa

    CHOMBEZO: PAULA MFARANSA MWENYE VISA SEHEMU YA KWANZA Mtunzi: Eng. Kimox Kimokole - 0786507507 Ni asubuhi njema sana yenye kajimvua ka kiaina kanakosababisha kuwepo na hali ya vuguvugu lenye kukera kiasi. Naamka kivivu kitandani kama nimelazimishwa. Nasikilizia viungo vya mwili vinavyokataa...
  5. Eng Kimox Kimokole

    Wanangu leo nataka nikusimulieni Hadithi....

    WANANGU LEO NATAKA NIKUSIMULIENI HADITHI >>>>>>>>>>>>>>>>>>> HADITHI YETU INAITWA 'ESKROO' ILIYORAHISISHWA! ITAKUWA KATIKA MFUMO WA SOMO, ELIMU YA MSINGI - Darasa la VII >>>>>>>>>>>>> Mzee Uledi na Bwana Mussa ni marafiki. Wamefahamiana baada ya kuishi mtaa mmoja kwenye maeneo ya 'Uswazi'...
  6. Eng Kimox Kimokole

    Happy Birthday Mzizimkavu

    Happy Birthday MziziMkavu, napenda kuvhukua fursa hii kukutia siku njema ya kukumbuka kuzaliwa kwako na kukutakia maisha marefu zaidi ingawa unazeeka sasa!
  7. Eng Kimox Kimokole

    tiGO inanipa raha sana

    Yaani napata raha kweli kweli, mitandao mingine mtasubiri sana mimi na tiGO tu mpaka mjirekebishe
  8. Eng Kimox Kimokole

    Babuu, FURSA umeitumia vyema, Shavu dodo!!

    Babu wa Loliondo, Ambilikile Mwasapile
  9. Eng Kimox Kimokole

    Mitandao ya Simu KERO..KEROOO, WIZI MTUPU!!!

    HEBU TUZITAZAME HIZI KERO ZA MITANDAO YETU YA SIMU >>> Binafsi ninazo 'line' za mitandao yote minne inayofanyakazi hapa Nchini. Sikupenda tu kuzimiliki bali nililazimishwa na ukali wa gharama za kuunganishiwa simu pale unapompigia simu mtu mwenye mtandao tofauti! Nikajikuta nimemiliki line hizo...
  10. Eng Kimox Kimokole

    Hapa: New Huawei WiFi Mobile Partner Dashboard

    Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza. Dashboard hii ukii-run itaingia moja kwa moja kwenye Modem yako ya Huawei. Pia Dashboard hii ina-support Windows, OSX (Macintosh)...
  11. Eng Kimox Kimokole

    Green Guard wanazichapa, Buku 7 (7,000) si mchezo!

    Green Guard wanagombania 7,000, unawajua? Hebu wataje
  12. Eng Kimox Kimokole

    Mwenye CineStyle Plugin Pls!!!

    Wandugu msaada wa CineStyle Profile kwa mwenye nayo anisaidie au anipe link, ninaitafuta sana.
  13. Eng Kimox Kimokole

    Ujio wa Obama Tuandamane dunia ijue uovu wa CCM

    Wandugu wapenda mabadiliko na wapinga uonevu unaoendelea nchini Tanzania na wale wote wenye kuchukizwa na madudu yanayofanywa na "Serikali hii sikivu". Je inawezekana kuandamana na mabango yenye jumbe mbalimbali siku ya ujio wa Obama nchini Tanzania tumuoneshe yeye na Ulimwengu wote madhambi...
  14. Eng Kimox Kimokole

    Self Defence Section 18 of the Penal Code

    Mwenye kujua kipengele hiki kinasemaje kuhusu Self Defence atuwekee hapa tafadhali
  15. Eng Kimox Kimokole

    Self Defence Section 18 of the Penal Code

    Can anyone give me a "quote" of the Self Defence Section 18 of the Penal Code?
  16. Eng Kimox Kimokole

    tiGO, hadi raha dah!

    Kuna wakati tiGO wananifurahishaaaa, hebu ona leo hapo kwenye kaduara kekundu hadi raha jamani mweh!
  17. Eng Kimox Kimokole

    M4C Mwendo Mdundo!!!

    Kamata kitu cha M4C
  18. Eng Kimox Kimokole

    Nimepata Baby Boy

    Wandugu wana JF na marafiki wote wa JF, napenda kuwapa habari njema kuwa nimepata Mtoto wa Kiume kwa mkewangu mpenzi. Nimempa jina "NSALA" kwa wale Wasukuma wekeni maana hapo kwenye Bold....
  19. Eng Kimox Kimokole

    Calender za CHADEMA 2013

    Nimeshamaliza kuDesign Calender za CHADEMA, nahitaji kuziPrint. Wapi nitapata Printer wa bei nafuu kwa Calender ya Leaf 6 size ya A2 (A2 Six Leaf Calender)
  20. Eng Kimox Kimokole

    Nataka Kuwashitaki tiGO Msaada...

    Wandugu nina tatizo kubwa sana hapa. Mimi ninamiliki line ya tiGO toka 2009 Mwezi wa 10 nilipokea msg kwenye simu yangu ikisema "Mr. 714507507, Your service class changed from Tigo PPS to ConVen1, and the new service class effects on 2012-10-12" Sasa baada ya ujumbe huo nikaanza kuona...
Back
Top Bottom