Calender za CHADEMA 2013

Calender za CHADEMA 2013

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,041
Reaction score
772
Nimeshamaliza kuDesign Calender za CHADEMA, nahitaji kuziPrint. Wapi nitapata Printer wa bei nafuu kwa Calender ya Leaf 6 size ya A2 (A2 Six Leaf Calender)

CDM 2 March 1.jpg
 
mkuu nimeipenda sana hiyo imekaa vizuri sana fanya mchakato wa kupata mtu wa ku-print tuweze kuzipata sie wazee wa m4c.
 
Kazi nzuri, hongera mkuu Kimox Kimokole! Ukiweza kuprint na kusambaza mpaka vijijini itakuwa poa sana.
 
Back
Top Bottom