Happy Birthday Mzizimkavu

Happy Birthday Mzizimkavu

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,041
Reaction score
772
happy-birthday-to-you-2.png

Happy Birthday MziziMkavu, napenda kuvhukua fursa hii kukutia siku njema ya kukumbuka kuzaliwa kwako na kukutakia maisha marefu zaidi ingawa unazeeka sasa!
 
Last edited by a moderator:
♡ Hongera Sana♡
MziziMkavu Mungu akupe maisha marefu, Hekma iwe kila muda imea kwako.
 
Happy Birthday!

Umezeeka sasa, zile tabia zako uziache mkuu.

Ana miaka sabini kwa sasa Mungu amuepushie asipate ule ugonjwa wa tezi dume hela za kumchangia kwenda india hatuna ale vizuri afanye na mazoezi.
 
Ishi maisha marefu kama kobe,yenye furaha kama mtoto mchanga,yenye amani na upendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom