Upgrading Old Mac Computers to latest OSX Versions and New Apps (Kuhuisha Mac ya zamani kwenda OS na Program Mpya)

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Habari zenu wana Jamiiforums na wote wanaopenda kufahamu zaidi maswala ya teknolojia.

Kwa walio wengi ambao ni watumiaji wa Mac Computers za zamani iwe ni PPC au Intel wamekutana na majawabu kadhaa kutoka kwa mafundi kwamba Computer zao zimepitwa na wakati na hivyo haziwezi tena kuingia Operating System (OSX) mpya na inawalazimi kununua Mac mpya kabisa ili kuendana na wakati na pia kuweza kuweka Application mpya kama za Adobe CC 2020.

Wengi wamejikuta ni wahanga wa kununua Mac mpya kila wakati kulingana na Software wanazonunua kukataa kuingia kwenye Mac za zamani na hiyo inatokana na OSX yao kuwa imepitwa na wakati.

Ninalo JAWABU kwa ajili yako

Usiitupe Mac Computer yako, ninaweza kukuwekea OSX Mpya kabisa kama;
  • OSX High Sierra (10.12.6),
  • OSX Catalina (10.15.7),
  • OSX Big Sur (11.0),
  • OSX Monterey (12.0)
Tutahuisha kulingana na uhitaji wa Application zako unazotumia.

Muhimu ni kwamba; Kwa wale wenye Mac za zamani kama za mwaka 2007 (Oldest Mac Computers) itawalazimu kuongeza RAM (Random Access Memory) ili hiyo OSX mpya iweze kufanya vizuri pamoja na programu zako (experiencing a speed up of OSX and apps).

Suluhisho la tatizo lako ninalo. Unaweza kunitafuta kwa namba zifuatazo tuhuishe Mac Computer yako;
+255 714 507 507 (Call/Text and WhatsApp Business)
+255 736 507 507 (Call/Text)
+255 786 507 507 (Call/Text and WhatsApp)

Eng. Kimox Kimokole
(BSc in Computer Engineering and Information Technology, CCNA)
 
Inafanya poa kabisa kama ni Intel ila kama ni PPC inafanya ingawa itakuwa tofauti kidogo na Intel
Zinakua nzito sana, ukifungua kitu unapata spinning ball kwa muda mrefu...

Ukipiga Command + Alt + Esc kupata force quit za applications unakuta app hazi repsond...

Ndiyo maana hata wao wanakuambia kabisa, kuna Vintage na Obsolete...
 
engineer unakwama wapi ?, umeona factor ya old mac ku cope na new OS ni RAM pekee ?

CPU an GPU je ?
Yupo sahih yang old model MacBook ya 2008 nimeweka Catalina na ram 6gb ipo flesh na perform well kwa basic task na technically gpu ya mac yang haisupport Catalina ila madeveloper wame tafuta tweaks za kufanya old drivers zifanye kaz bila ya kernel panic
 
engineer unakwama wapi ?, umeona factor ya old mac ku cope na new OS ni RAM pekee ?

CPU an GPU je ?
Nakwambia kitu ambacho nina uhakika nacho. Inafanya poa tu. Hebu tazama hapa hii specs na iko poa kabisa

IMG_20220212_143505.jpg


IMG_20220212_143635.jpg
 
Yupo sahih yang old model MacBook ya 2008 nimeweka Catalina na ram 6gb ipo flesh na perform well kwa basic task na technically gpu ya mac yang haisupport Catalina ila madeveloper wame tafuta tweaks za kufanya old drivers zifanye kaz bila ya kernel panic
Sahihi kabisa, asante kwa ushuhuda huu. Mi nilianza kuweka OSX kwenye PCs tangu 2007 kwa hiyo nazielewa vyema sana hizi mambo
 
Back
Top Bottom