Nimepata Baby Boy

Nimepata Baby Boy

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,041
Reaction score
772
Wandugu wana JF na marafiki wote wa JF, napenda kuwapa habari njema kuwa nimepata Mtoto wa Kiume kwa mkewangu mpenzi. Nimempa jina "NSALA" kwa wale Wasukuma wekeni maana hapo kwenye Bold....

Nsala.jpg
 
Mkuu Kimox Kimokole na familia yako hongereni sana kwa baby boy. Kwa sisi watumishi hatutaacha hiii habari iende kimya kimya.Tafadhari soma vifungu vifuatavo viendelee kukufundisha na kukuelimisha kuhusiana na bibilia inasemaje kwa habari ya watoto wetu wadogo.

Imeandikwa katika Mithali 22:6 "Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee." Mungu anatarajia nini kutoka kwa wazazi wanapo wakuza watoto wao Imeandikwa Kumbukumbu la Torati 6:6-7. "Na maneno haya ninayokuamuru leo yata kuwa katika moyo wako nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii nakuyanena uketipo katika nyumba yako na utembeapo njiani na ulalapo na uondokapo."

Mungu anawatazamia wazazi wawe wavumilivu. Imeandikwa katika Wakolosai 3:21 "Nanyi akina baba msiwachokoze watoto wenu wasije wakakata tamaa."

Nidhamu ni namna yakuonyesha upendo kwa mtoto. Imeandikwa katika Mithali 13:24 "Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; bali ampendaye humrudi mapema."
Nidhamu njema humfunza mtoto imeandikwa Mithali 29:15 "Fimbo na maonyo hutia hekima bali mwana aliyeachiliwa humuaibisha mamaye."

Sababu ya kumwathibu mtoto nikumfanya akuwe vema. Imeandikwa Waefeso 6:4 "Nanyi akina baba msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana."
 
hongera sana,mtoto mzuri ntamzalia mchumba (just kidding)
 
hongera sana mkuu, nowdays ni wachache sana wanafanikiwa kupata watoto wa kiume.
 
Amen ubarikiwe mtumishi
 
Safi saana,kimox tu toto la kiume hiloo,kweli tunaopata watoto wa kiume ni wachache nowadays,congrats kimokole.
 
Back
Top Bottom