Green Guard wanazichapa, Buku 7 (7,000) si mchezo!

Green Guard wanazichapa, Buku 7 (7,000) si mchezo!

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,041
Reaction score
772
Green Guard wanagombania 7,000, unawajua? Hebu wataje

Buku 7.jpg
 
Mgao huo kwa wauza drugs chezea buku 7 wewe!
 
duu kama ni kweli raha sana kufanya kazi na ccm buku 7 bila ya jasho..
 
Jamaa anachezea kichapo cha ukweli, huyo wa kushoto nadhani anajiandaa kumpa 'kifuti'.
 
Semeni kweli, Kuna uwezekano mkubwa huyo ni bavichaa alitinga na jezi za green guard wakamstukia wakampa kichapo.
 
Semeni kweli, Kuna uwezekano mkubwa huyo ni bavichaa alitinga na jezi za green guard wakamstukia wakampa kichapo.

Angalia bibi unachezea kibarua chako wajukuu zako watakufa njaa buku 7 nyingi.
 
tehe tehe kwisha habari, mbuga zimekwisha twiga wote na tembo Kinana kasafisha mgao hakuna tena
 
Back
Top Bottom