Search results

  1. kadendu

    Kwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa

    Waziri mkuu kwa niaba ya wanakijiji wa Mtera staff mpwapwa DODOMA nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kukupa afya njema na kuendelea na majukumu yako ya kitaifa. Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa naomba nifikishe malalamiko yetu kwako juu ya mradi wa maji ambao umehujumiwa kwa muda...
  2. kadendu

    DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi. Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha...
  3. kadendu

    Prof. Ndalichako, Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino, Zainab Kishegwe hana sifa na hastahili nafasi hiyo

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa, nikupongeze pia kwa kuimudu vema wizara yako kwani unamsaidia vema mh Rais wetu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli. Niende sasa kwenye mada yangu lengo kubwa ni kutaka kujua hivi unajua kwamba Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Chamwino Zainab Kishegwe...
  4. kadendu

    Uchaguzi 2020 Taarifa kwa Makatibu CCM Taifa, mchakato wa kumchagua Mgombea Udiwani Kata ya Mtera ulikuwa na rushwa za wazi

    Nianze kukipongeza chama changu CCM kwa mchakato wa uchaguzi wa ndani, pili nichukue nafasi hii kufikisha kilio changu kwenu viongozi wangu wa juu namna mchakato wa kumchagua mgombea udiwani kata ya mtera ulivyokuwa na rushwa za wazi lakini pia ulikuwa ni mkakati wa mbunge aliyepita simbachawene...
  5. kadendu

    Msaada: Namna ya kuacha kuvuta ugoro

    Ndugu zangu naomba msaada, nitumie njia gani kuacha kuvuta ugoro? Ni Mwaka wa 4 sasa tangu nianze kuvuta baada ya kushauriwa kuwa inatibu shinikizo la damu. Kwa sasa maji yamenifika shingoni kwani unanikausha mwili wangu balaa.
  6. kadendu

    Kwa Kamanda polisi mkoa Dodoma

    kwanza tunakupongeza kwa namna ulivyoanza vema kushughurikia swala mauaji ya kijana saimon mapunda (24)yaliyotokea jana kwenye kituo cha polisi mtera,hakukuwa na ulazima wowote askari mwita kumshambulia yule kijana akiwa chini ya ulinzi tunaomba kama alivyotuambia leo rco dodoma kwamba mwili wa...
  7. kadendu

    Mh.Waziri Simbachawene na Mkurugenzi wa Mpwapwa mlitudanganya.

    kwa niaba ya wananchi wa mtera nianze kwa kuwaambia kwa masikitiko makubwa kwamba nyie viongozi wetu mliamua kutudanganya mbele ya mkutano wenu wa hadhara miezi kadhaa iliyopita mlitudanganya mpaka mwezi uliopita wa 9 bweni la shule la wanawake lililochukua miaka zaidi ya 10 litakuwa limekwisha...
  8. kadendu

    Muunge mkono Rais Magufuli afanikishe malengo ya uongozi wake

    Watanzania wenzangu nimeona ni vema nikaleta topic hii hili kwamba mwenye mawazo ya kizalendo ya kumuunga mkono Rais Magufuli ili afanikishe malengo yake ya kuiongoza nchi, aweze kutoa mchango wake wa kujenga (kizalendo) Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh. Rais Magufuli kwa namna anavyoiongoza...
  9. kadendu

    Ombi maalumu kwa kamanda Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime

    nachukua nafasi hii kwa niaba ya watu wa mtera kukutakia afya njema mwaka 2015,pili ombi letu linahusiana askari F7977 Pc julius maalufu kama masai tutakupa baadhi matukio machache aliyotufanyia sisi wananchi ambayo kimsingi ni udhalilishaji kwanza mwaka jana alimbaka mke wa mkazi mmoja...
  10. kadendu

    Kwako waziri Magufuli

    Mh waziri hii imetokea muda huu hapa Mtera wananchi tunashuhudia tairi mpya zaidi ya 20 na mapipa ya lami pamoja na dizeli kenta ya tani tatu imejaa vitu ambavyo vimeibiwa kwenye ghala la kampuni ya ujenzi ya barabara Sietco kilichotushangaza mwizi wa mali hizo ni mfanyakazi wa SHIRIKA LA UMEME...
  11. kadendu

    Halmashauri ya Mpwapwa rudisheni fedha za kijiji cha Mtera

    Ndugu mkurugenzi tunazo taarifa kutoka kwa Mtendaji kata na baadhi ya wajumbe wa serikali kuwa mmelazimisha kuchukua fedha zaid ya mil25 kwa ajili ya kuwalipa watendaji wenu hivi mlikubaliana na nani kufanya hayo? Sasa tuko kwenye mchakato kumuona mh rais kwani tutashitaki kuanzia hujuma ya...
Back
Top Bottom