DOKEZO Barua kwa Camilius Wambura, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

kadendu

JF-Expert Member
Mar 30, 2014
519
337
1663294742838.jpg

Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi.

Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha Poliso Mtumba, Mji wa Kiserikali ambapo zipo ofisi za Wizara za Serikali.

Askari huyu amepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu Juni 26 2021 mpaka leo ni takribani mwaka mmoja na miezi mitatu (3) hakuna taarifa yoyote kutoka Jeshi la Polisi kwenda kwenye familia, nini tatizo? au jeshi lako linajua alipo?

Ni vema basi familia ikafahamishwa kwa barua maalumu, ndugu na jamaa majirani zake hapa Nkuhungu tunahitaji kujua hatima ya huyu jamaa ambae tuliishi nae vizuri sana.

Ndugu IGP, Emma ana mzazi mmoja ambaye ni mama, ni mjane alikuwa anamtegemea mwanaye kama nguzo kusaidia familia ikiwa ni pamoja na kusomesha wadogo zake.

Wakati anapotea wewe haukuwa IGP, nimeona nikuandikie BARUA hii sababu nafahamu utendaji wako na hautalipuuzia suala hili, nikutakie majukumu mema na Mwenyezi Mungu akuongoze uje na majibu ya kupotea kwa Emmanuelly Govella natanguliza shukrani.

Assalamu alaikum!
 
Mkuu Kadendu umeandika BARUA KWA hisia kali sana, ni kweli inauma sana ukiangalia kwanza ni Askari mwenzao, sasa ingekuwa ni raia wa kawaida si ndio imeisha hiyo, kwanza Askari anapoteaje zaidi ya mwaka? RPC wa DODOMA anasemaje? OCD wa DODOMA Mjini je? Kwa nini wapo kimya ni kweli kwamba hawajui alipo? Hivi kwa mfamo apotee RCO DODOMA kutakuwa na ukimya kama Askari huyu wa chini takribani mwaka?
 
Kumbuka ya Liberatus Barlow marehemu, wauaji wote walikamatwa haraka sana, huyu naona si muhimu au wamempoteza wenyewe.
 
Polisi kama taasisi ni mashetani,ibilisi,ukiingilia maslahi yao,haijakishi ni nani,wanakupoteza tu,polisi huua watu kwenye vituo vya polisi na kusingizia wamejinyonga,serikali na mamlaka haziwezi kufanya kitu,maana madudu ya serikali yqnalindwa na Hawa Hawa polisi,kwahiyo ni kama mkataba vile,nilinde,nisaidie nibaki Madarakani,na Mimi(serikali)sitatupia jicho unayowafanyia raia,waminye ila sio sana mpaka wapige kelele
 
D

Duh!
 
Kumbuka ya Liberatus Barlow marehemu, wauaji wote walikamatwa haraka sana, huyu naona si muhimu au wamempoteza wenyewe.
Mimi nafikiri mama yake huyo askari akaonane na mama samia amueleze USO kwa USO wa mama wanauchungu na watoro.
 
Mkuu Kadendu umeandika BARUA KWA hisia kali sana, ni kweli inauma sana ukiangalia kwanza ni Askari mwenzao, sasa ingekuwa ni raia wa kawaida si ndio imeisha hiyo, kwanza Askari anapoteaje zaidi ya mwaka? RPC wa DODOMA anasemaje? OCD wa DODOMA Mjini je? Kwa nini wapo kimya ni kweli kwamba hawajui alipo? Hivi kwa mfamo apotee RCO DODOMA kutakuwa na ukimya kama Askari huyu wa chini takribani mwaka?
Nguvu waliyotumia kudhibiti panyarodi ndani ya muda mfupi wangeitumia kumtafuta huyu kijana nafikiri wangempata tu
 
Kumbuka ya Liberatus Barlow marehemu, wauaji wote walikamatwa haraka sana, huyu naona si muhimu au wamempoteza wenyewe.
Kwa habari ya undani emmanuelly govella alikuwa OCS wa mtumba mji wa kiserikali ambapo ujenzi unaendelea Kuna kitu imenistua hapo.
 
Nianze kwa kukupa pole na majukumu ya kitaifa pia nikupongeze kwa kuaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, uwe Mkuu wa Jeshi la Polisi.

Sina shaka na utendaji wako uliotukuka, pichani ni Askari wako Inspekta Emmanuel Govella ambaye alikuwa Mkuu wa Kituo cha Poliso Mtumba, Mji wa Kiserikali ambapo zipo ofisi za Wizara za Serikali.

Askari huyu amepotea katika mazingira ya kutatanisha tangu Juni 26 2021 mpaka leo ni takribani mwaka mmoja na miezi mitatu (3) hakuna taarifa yoyote kutoka Jeshi la Polisi kwenda kwenye familia, nini tatizo? au jeshi lako linajua alipo?

Ni vema basi familia ikafahamishwa kwa barua maalumu, ndugu na jamaa majirani zake hapa Nkuhungu tunahitaji kujua hatima ya huyu jamaa ambae tuliishi nae vizuri sana.

Ndugu IGP, Emma ana mzazi mmoja ambaye ni mama, ni mjane alikuwa anamtegemea mwanaye kama nguzo kusaidia familia ikiwa ni pamoja na kusomesha wadogo zake.

Wakati anapotea wewe haukuwa IGP, nimeona nikuandikie BARUA hii sababu nafahamu utendaji wako na hautalipuuzia suala hili, nikutakie majukumu mema na Mwenyezi Mungu akuongoze uje na majibu ya kupotea kwa Emmanuelly Govella natanguliza shukrani.

Assalamu alaikum!
Labda ameenda kozi, nasikia watu wa usalama wakienda kozi huwa hawaagi, au kama anaenda special mission. Unaweza kukuta yuko Congo au Kigoma kaambiwa ajifanye chizi ili apate taarifa fulani
 
Naomba nipate ufafanuzi kwa wadau hivi kwa kesi kama hii na huyu hajapatikana mwaka wa nne huu inakuaje kuhusi haki zake kazini
 
Labda ameenda kozi, nasikia watu wa usalama wakienda kozi huwa hawaagi, au kama anaenda special mission. Unaweza kukuta yuko Congo au Kigoma kaambiwa ajifanye chizi ili apate taarifa fulani
Anaendaje kozi vyeti vyote kuanzia primary mpaka chuo aliviacha,kadi za benki simu vyote aliacha.
 
Back
Top Bottom