ugoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Wanawake wengi Kanda ya Ziwa huweka ugoro sehemu za siri ili kujistarehesha

    Baadhi ya vitu wanavyofanya baadhi ya watu vinaweza kuwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi Kanda ya Ziwa, ingawa hakuna tafiti zinazoonesha kuwa vitu hivyo vinaweza kuwa visababishi vya moja kwa moja. Meneja wa Ubora na Uvumbuzi kutoka Mradi Mtambuka wa Saratani Tanzania (TCCP) Aga Khan...
  2. Uboboh

    Ushawahi kula ugoro wewe?

    Hahaha enzi za ujana wangu niluenda mtembelea bibi huko Tanga, Alikua anamiti ya ugoro na tumbaku + ule ugoro wa kununua Nilikuwa na gonga nae pasu pasu alinipenda sana soon nitaenda kumuona tena Ni feel the difference Gily mshamba_hachekwi Mshawahi pata hii kitu Na members wengine toeni...
  3. Chief Kumbyambya

    Hivi kuna siri gani kwenye ugoro wazee?

    Wadau za kutwaa!!! Jana katika pita pita Kwa wadau wangu kadhaa wakongwe mujini nikawachana kuwa wadauee "eeee" Leo kijana wenu Dina hela hata ya kipiga masta hebu nitoeni basi mdogo wenu nikazibue kichwa hata na tingisha mbili tu. Ndiyo lijendi mmoja akafungua kanailoni flani kabluu nikaona...
  4. Nakadori

    Maulidi kitenge: Wanawake wajipaka tumbaku sehemu za siri kupata msisimko wa mapenzi

    Assalam aleykum Kama mnavyosoma hapo inaaminika wanawake zaidi ya asilimia 80 wanatumia tumbaku ili kujiongezea hamu ya mapenzi. Sasa ninachojiuliza ni kwamba mbona vitu vya kuongeza ashki ni vingi sana kwanini watumie ugoro?? Dah Kama wanawake wenzangu hadi tumbaku mnaweka kwa bibi basi mna...
  5. MSAGA SUMU

    Utumiaji wa ugoro kwa vijana ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo

    Suala la vijana wa kitanzania kuamia katika matumizi ya ugoro ni suala la kupongezwa na kila mpenda maendeleo nchini. Utumiaji wa ugoro una faida mbalimbali za kiuchumi kwa watumiaji na wafanyabiashara Kama ifuatavyo. 1. Tofauti na hennesy ,matumizi ya ugoro uacha hela yote nyumbani, kuanzia...
  6. Shushani Ngomeni

    Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro Arusha, wananchi wazidiwa nguvu

    Wana Jamvi Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Tanzania Nimerudi kwa mara nyingine kukumbusha Mamlaka juu ya Mgogoro wa shamba la Kwa Ugoro kijiji kilichopo Wilaya ya Meru Mkoani Arusha. Siandiki kwa faida yangu, wala sina cha kupata isipokuwa furaha ya nafsi hasa pale haki inapotendeka kwa watu...
  7. J

    Watumia ugoro kama mbadala wa tendo la ndoa

    Kama unadhani ugoro hutumika mdomoni na puani pekee kama sehemu ya kilevi, basi fahamu umeongezewa matumizi mengine kwa wanawake, wanautumia kukata hamu ya tendo la ndoa. Iwapo utapewa kiburudisho hicho kwa mara ya kwanza, hakika hutothubutu kukigusa kutokana na ukali wake, lakini hivi sasa...
  8. mdalla 1

    Nini madhara ya matumizi ya ugoro?

    Ndugu wataalamu wa afya, husika na kichwa tajwa hapo juu. Kutokana na zuio la Serikali juu ya uuzaji na utumiaji wa pombe aina ya viroba hapa nchini, vijana wengi wa Kitanzania sasa wamejikita na matumizi ya ugoro. Je, nini athari na faida zake kwa ujumla?
  9. Ibrahim daud

    UGORO

    Habari zenu wakuu Naomba kupewa madhara ya matumiZi ya ugoro. Mimi nimtumiaji mzuri sn A.k.a mzee wa kuseti
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Doromee kilevi hatari kinachotumika kuwaibia watu magari

    Jeshi la polisi mkoani Njombe limewatahadharisha wananchi na wamiliki wa vyombo vya moto kuwa makini pindi wanapokuwa sehemu za starehe ili kuepuka kuwekewa vilevi katika vinywaji vyao na kusababisha kuibiwa magari yao, baada ya kupewa vinywaji ambavyo vinachanganywa na ugoro na Valium ambavyo...
  11. kiben10

    Ugoro unaharibu meno yangu

    Naombeni ushauri, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 ila ninapenda kula UGORO kwa takribani miaka 6 sasa toka niko A level Morogoro Sekondari, Chuo UDSM na sasa niko kitaa nawait ajira ila kila nikitaka kuacha kula Siwezi kabisa. Sasa nishaurini Dawa ya kuacha kula UGORO maana ndio STIMU yangu...
  12. Mshana Jr

    Toka mtandaoni: Madhara ya sigara na ugoro

    [emoji1593]Wataalamu wa matibabu wanaonya kuwa kutibu madhara ya sumu hii huhitaji teknolojia ambayo ni ghali mno na kuwa sio nchi nyingi zina uwezo wa kuyatibu. [emoji1593]Kwa hiyo ukipata sumu hii ameugua, itabidi tu ajitayarishe kupoteza maisha. [emoji1593]Dkt Gakunju anaongeza kuwa jani...
  13. kadendu

    Msaada: Namna ya kuacha kuvuta ugoro

    Ndugu zangu naomba msaada, nitumie njia gani kuacha kuvuta ugoro? Ni Mwaka wa 4 sasa tangu nianze kuvuta baada ya kushauriwa kuwa inatibu shinikizo la damu. Kwa sasa maji yamenifika shingoni kwani unanikausha mwili wangu balaa.
Back
Top Bottom